CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

Mbona mnateseka hivi.? Walioanzisha mashindano ni CAF na ndio watoaji wa pesa Kwa timu shiriki. Walisema kabisa kwamba watazingatia records za timu shiriki katika michuano ya CAF Kwa miaka mitano iliyopita. Haya tuseme Simba anaondolewa, ukanda huu Kuna timu gani nyingine? Tunasahau kwamba timu inayopiguwa kelele kwamba ni Bora imechukua miaka zaidi ya 20 bila kuingia hata makundi? Simba hajachukua kikombe Cha Afrika, ni sawa. Timu gani ya Afrika mashariki imebeba kikombe Cha CAF? Mbona haya ni maswali mepesi TU? Sasa hivi mnaliita bonanza na wakati Kuna waziri alitumwa akaombe na Yanga pia ijumuishwe kwenye vilabu vya AFL? Shida ni nini hasa? Mbona siku hizi watu hawajadili mpira nchini mwetu? Tumekuwa na mihemko inayotuondoa kwenye uhalisia. Tukiwasikiliza wale wachaMBUZI basi tunatoka tumebeba maneno ya hovyo na kushindwa kutafakari vizuri. Tuzungumze mpira Kwa akili na utashi unaoleta mwangaza Kwa wengine.
Usimba na uyanga ni tatizo sana. Yaani ukiingia damuni mtu hata akili anaziweka kando.
 
Mleta uzi hana mashaka na Simba bali ameomba ufafanuzi kuhusiana na Enyimba.
 
Ukiandika kwamba mashindano yameandaliwa kwa kuangalia ubora wa vilabu kwa miaka mitano sikweli kwakua Simba aipo katika nafasi 8 za juu za vilabu vilivyo fanya vizuri katika miaka 5.
Enyimba aipo katika vilabu bora 8 Afrika au viabu vilivyo fanya vizuri ndani ya miaka 5.

Kuna kitu kimoja kinaleta logic, Yule boss Motsepe alipigiwa pande na Senzo kwa yule bibie mwenye kitoto kwasasa.
Senzo ali mtonya Motsepe udhaifu ya yule bibie ni umaarufu na sifa za kijinga.

Motsepe aka muingia bi Miwani, na kumpa nafasi kama mjumbe wa mashindano ya wanawake na unaibu katibu wa mipango ya Caf.

Fikiria mtu asiyejua chochote katika soka tena recruit wa Magori, anakwenda kuwa naibu katibu mipango Caf!!!

Mwamba kajitafunia na Simba kufaidika kwao ni kupata iyo nafasi kama Mashemeji .

Ili kunogesha, Mwamba BIG G kaiongezea sukari kwa kufanya Simba awe mwenyeji.

Ukitaka kuwauliza,.wao wenyewe caf baadhi ya wajumbe hawaelewi ata vigezo vilivyo tumika ni vipi maana ukiwa serious kwa vigezo vinavyo tamkwa na wenyewe mbumbumbu fc hawa fit popote.

Ni mambo ya kishemeji zaidi ndiyo yanayo ibeba Simba kule Caf kwasasa, ata ilo kundi lao la champion league shemeji Motsepe ndie aliye litengeneza.
Tupe timu hapa ambazo ww unadhani zilistahili kuwepo.
 
Wewe Yanga unatakiwa uingie huko kwa kigezo kipi.?

Ni vyema ungejikita hapa ili utushawishi kutukuelewe kuwa Simba Sc kapendelewa.
Kwa hiyo nyie mnawazidi Raja casablanca
Hilo ni bonanza tu
 
Kwa ukanda huo amechukuliwa WYDAD, ningekuona ufikiri vizuri kama ungeleta hoja ya kwanini kwa ukanda ule kachukuliwa Wydad mbele ya Raja, kitu abacho ni wazi kuwa Wydad kamzidi parefu sana Raja.

Team zimechaguliwa kwa ukanda, na kwa ukanda wa Africa Mashariki imeonekana Simba, kule magharibi ikaonekana ENYIMBA, Kusini ikaja MAMELOD Nk.

Kama ni hoja ya kupinga, inatakuwa upinge kwa kupendekeza "kanda fulani ilitakiwa team fulani kwa vigezo fulani" sio kwa hizo hoja zako.
 
Kwanini Enyimba na sio Asec Mimosa ama Rivers united?
 
Vigezo ni vitatu, Udadi ya mashabiki na muitikio wao viwanjani, Ushiriki mashindano ya CAF vilabu na hatua zinazofikiwa na team husika, history and Legacy.

Ili mambo yakae vizuri ni lazima utafutwe uwiano mzuri wa hizo sifa kwa kila club. ASEC na RIVERS zipo vizuri zikilinganishwa na ENYIMBA lakini kibiashara bado sio machaguo mazuri (hawawezi kulipa) kutokana idadi yao ya mashabiki na muamuko wao kuja viwanjani wanapolinganishwa na Enyimba.

Ukiutafuta uwiano wa hizo sifa kwa Enyimba kidogo unapatikana. Nikimaanisha ndani ya miaka hii mitano huku CAF wanashiriki na wanafika hatua zinazoonekana japo si sawa na hao wengine uliowataja, Wana mashabiki wengi hivyo watazalisha pesa, lakini pia wana Legacy kubwa inayowafanya wajulikane kwa wengi kuliko hao uliowataja hivyo ni rahisi kuvuta attention ya wafuatiliaji.....nk.

Haya sio mashindano ya kuchezesha uwanja ukiwa mweupe.Kwa ukanda wetu huu, kama sio Simba Sc basi Yanga ingefaa kutokana na kukidhi hivyo vigezo, tatizo ni kwenye hicho kigezo cha ushiriki wa mashindano ya CAF vilabu, ni wazi kuwa Simba Sc yupo mbele ya Yanga (kama hautaendekeza ushabiki) sasa kwakua vingine vyote Simba na Yanga wanalingana, hicho ndio kikafanya Simba Sc iwe hapo.

Tujaadili kwa hoja bila kuendekeza USHABIKI, leta hoja nyingine.
 
Bora umeweka vigezo vitatu humu wengi wamechukulia kama mashindano ya vipanga vya CAF. Kumbe kuna ishu zingine zitakazovutia kibiashara na sio ubora pekee.
 
Ukilijadili hili swala kwa kutanguliza ushabiki, halifiki mwisho. Ni lazima utembee na vigezo vyote vitatu bila kuacha hata kimoja.

Simba na Yanga wamelingana kwa kila kitu (mashabiki & Legacy ) ila wamekuja kutenganishwa na ushiriki na hatua waliofika kila mmoja kwenye mashindano ya CAFCL ndano ya hii mitano.

Sasa hapo ukitaka Yanga iwekwe kwakuwa watajaza watu pia basi ujue hata kule South Kizer na Orlando zitaomba pia, pale Sudani Hilal na Merreikh wataleta mgogoro, pale Morocco Raja nae atataka, Egypty Zamalek atataka, Algeria Belouzidad watataka yaani itakuwa ni mzozo.

Sasa kama hayo mafanikio ya Simba Sc huko CAFCL ikilinganishwa na Yanga ndio yanayowapa haki mashabiki wa Simba Sc kijiita vipanga mbele ya Yanga Sc, sina cha kuchangia.
 
Sijui Simba kaingiaje kwenye huu mjadala, swala lilikuwa ni Enyimba na kwa maelezo yako ni kwamba kwa mafanikio ya miaka mitano Enyimba hampati Rivers na Asec Mimosa ila tu sababu ya kigezo cha mashabiki ndio kimewaondoa Asec na Rivers. Enyimba ameingia kwenye mashindano sio kwa rank ya 5 years bali ni kwa vibe la mashabiki na ndio maana nikasema sio mashindano ya vipanga pekee yao.
 
Ungezingatia heading na mada ya muanzisha uzi wala usingeuliza Simba Sc imeingiaje hapa, hoja sio ENYIMBA, hilo la Enyimba limeletwa na nyinyi wachangiaji.

Hoja ni vigezo vilivyotumika kuchagua team AFL, sasa kama unadhani Simba Sc haihusiki kwenye hizo team, hilo sio tatizo langu.
 
Nanukuu "Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba"
 
Kujizungushazungusha tu lakini hapo ndiyo hasa wanalenga.[emoji23]
Ukweli usemwe Yanga wanaumia sana sana sana.
Kuona Simba inaangaliwa na Dunia nzima kwenye Super Cup.

Kibaya zaidi tarehe 20 inafungua mechi na Bingwa wa Afrika.
Kibaya zaidi mechi mechi inachezwa Tanzania.
Kibaya zaidi Simba inajitangaza duniani kote.

Kibaya zaidi wadhamini wa mpira wa miguu na viongozi wa mpira wa Dunia nzima wapo Tanzania na wataangalia game ya Simba.

Kibaya zadi kwa hizi wiki mbili Yanga haitajwi kabisa na Vyombo vya habari wakiwemo wacha-mbuzi wao Uchwala.

Hapo ndio mjue kuwa Simba ni Damu yenu Nyekundu, ipo katika kila mwili wa mtu.
 
Nanukuu "Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba"
Kawaulize hao CAF, au hujui Website Yao.
Wacha kusumbua watu humu wakati unajua jinsi ya kuwauliza CAF.
 
Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
Walitumia CAF Ranking kwa msimu wa 2022/2023.

Kwa kila confederation.

COSAFA Sundowns na Petro
UNAF Al Ahly, Wydad na Esperance
West Africa kwenye category ilikuwa Horoya, Lobi Stars, Enyimba, Cotton Sports na Asec Mimosas kwenye raking na vigezo vingine vya Club licensing Enyimba akaqualify.

Central Mazembe na CECAFA Simba alikidhi vigezo vya Club licensing vingi kulinganisha na zingine plus Caf Ranking
 
Yanga ambayo kwa miaka 25 haijawahi kushiriki tu japo makundi champions league au kuna yanga nyingine
Club zisizokuwa na malengo, yaani miaka 25 unapelea timu uwanjani - kuingia makundi ya mabingwa Africa hola ? kweli.

Miaka 25 ni umri wa mtu tena mwenye mji wake kabisa sheikh...
 
Back
Top Bottom