CAF yaamuru mechi ya fainali Simba Vs Berkane ichezwe New Amaan, Zanzibar Mei 25, 2025

Simba washinikize MwanaFA na Msigwa wajiuzulu kwa kusema uongo kuhusu ukarabati wa uwanja na kushindwa kusimamia utetezi wa Timu yao kucheza uwanja wa nyumbani.
 
Kwa wale msio fahamu, Timu zote zinazo shiriki mashindano ya CAF ngazi ya vilabu kanuni za mashindano zinataka uwe na viwanja viwili utakavyo vitumia kama uwanja wako wa nyumbani.
Viwanja ivyo vyote lazima view vimekaguliwa na CAF na kupewa Certificate.
Ndio maana CAF walipo ukagua uwanja wa Amani mara ya mwisho walipendekeza uwanja uo usitumiwe mara kwa mara ili ku ufanya ubora wake uwe katika Viwango.

Hali iyo ikapelekea mashindano ya muungano yaende Pemba maana kama wange lazimisha uwanja wa Amani ya chezwe mashindano ya muungano na uwanja unge haribika, saaizi Simba wange kua wanatafuta Uwanja wa kucheza fainal nje ya Nchi maana pale Azam complex wana paogopa.
 
Kumbuka kwamba hii ni mechi ya fainali kombe uwanjani. CAF wanachosema wanahofia mambo mawili; kwanza ni hali ya hewa isiyotabirika kwa sasa ya jiji la Dar es Salaam, ambapo mvua zinanyesha nyesha bila utaratibu na pili ni kuhusu kuhofia yale yaliyotokea katika mechidhidi ya Al Masry, uwanja ulipojaa maji kwenye Pitch, kiasi cha kupigwa deki, yasije yakajitokeza tena na kuharibu ladha ya mechi ya fainali ambayo itakuwa ikitazamwa na dunia nzima. Lakini nyongeza ya hayo CAF imesema kwa kuwa marekebisho ya pitch ya kuchezea bado yanaendelea hadi sasa, wameona ni vizuri zaidi wakaziachia mamlaka husika uwanja huo uweze kurekebishwa vizuri zaidi na kwa muda wa kutosha, ili uje kutumika kwenye fainali za michuano ya CHAN zinazotarajiwa kuanza mwezi Agosti.
 
MUNGU fundi
MUNGU fundi
MUNGU fundi

BAADA ya kufanya uhaini na kubebwa na BODI ya ligi na mwisho kugomea mechi ya derby tar 8

Sasa Simba UMEANZA kulalamikia UWANJA hauna usalama

Hahahahaaaa shame n u magori usalama WA amani unaujua weweee

Unahisi wale n TFF kama mlivyowachezeaaaa

Vipi na rushwa hamjaiona kwenye final

Hiki kikombe lazima mkinywe hakuna jinsiiii
 
Kuna kiongozi 1 wa simba na baadhi ya wachambuzi walioko kwenye payroll mmoja wapo ni Juma Ayo, wanalamika kuhusu viungilio vya mashabiki waliokata tiketi, najiuliza mbona derby ya kariakoo mpaka leo watu hawajui hatima ya tiketi zao na wamemute sikuona wakilalamika 🤔 ❓️ 🤔 😀
 
Pumbavuuuu waleeee Mungu KAWAPIGAA kitu kizitooo
 
Alafuuu tunadnaganywa na siasaaa umekamilikaa asilimia za kucheza final msiwe na wasiwasi

Jamaa kagoma kuhongeka
 
Kwa hiyo wale waturuki wanaorekebisha pitch ya mkapa kwa kutumia simu, wametupiga?
Hivi ni Bilioni ngapi walivuta kwa kupiga tu picha zile nyasi?
 
Kwa hiyo wale waturuki wanaorekebisha pitch ya mkapa kwa kutumia simu, wametupiga?
Hivi ni Bilioni ngapi walivuta kwa kupiga tu picha zile nyasi?
Mnapigwa na watanzania wenzenu. Waturuki mnawonea tu. Haiwezekani mamia ya mabilioni yayeyuke halafu msemaji anakuja kusema hayakuhusisha marekebisho ya PICHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…