Utabiri wangu karibia utimie. Yanga msidhani TP Mazembe hii ndiyo ile mliyojipigia miaka 2 iliyopita. TPM hii imewekeza na ilifika nusu fainali msimu uliopita.

Utabiri wangu Yanga safari yenu imeishia hapo. Hamvuki hatua ya makundi. Hakuna timu hapo ambavyo mtaweza kupata hata sare kwao na kuna wawili watakuja kuwakanda hapa hapa nyumbani kwenu.

Hapo kachungulia kaona kuna Al Ahly, Esperance na Mazembe, kwa nini usiombee Mamelodi?

Ngoja mpangiwe Mamelodi, MC Alger na Al Hilal. Nitacheka saaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…