CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
Kazeni budi, draw hiyo sio ya Dodoma jiji, kuna waarabu 2.
Na nyie waarabu wangapi?!mkachukue tu yale mafuta ya PDidy mapema.
Huo Mwiko bila mafuta utatoka na damu
FB_IMG_1723693412822.jpg
 
Utabiri wangu karibia utimie. Yanga msidhani TP Mazembe hii ndiyo ile mliyojipigia miaka 2 iliyopita. TPM hii imewekeza na ilifika nusu fainali msimu uliopita.

Utabiri wangu Yanga safari yenu imeishia hapo. Hamvuki hatua ya makundi. Hakuna timu hapo ambavyo mtaweza kupata hata sare kwao na kuna wawili watakuja kuwakanda hapa hapa nyumbani kwenu.

Hapo kachungulia kaona kuna Al Ahly, Esperance na Mazembe, kwa nini usiombee Mamelodi?

Ngoja mpangiwe Mamelodi, MC Alger na Al Hilal. Nitacheka saaana.
 
Back
Top Bottom