Wewe msimu uliopita si ulisema kwenye kundi atapita Ahly ahly na cr belouzdad? Au unadhani tumesahau!Nikumbushe niliposema Yanga itaburuza mkia msimu uliopita.
Na hapo nimesema kutoa sare ugenini sijasema mechi zote 6. Mlidai mnawataka Mamelodi, mmepangwa na TP Mazembe mnashangilia. Uto bana. Hapo hamna tena mbeleko ya kucheza mechi za nyumbani na ugenini Chamazi, Al Hilal wenyewe wanawapeleka LIbya. Mshukuru watacheza bila mashabiki wao, kidogo hapo ndiyo nafuu yenu ilipo ila kwenye pitch hamtakuwa na kazi rahisi hata na hao.
Hapo juu umesema nilisema Yanga itashika mkia, nionyeshe wapi nilisema hivyo.Wewe msimu uliopita si ulisema kwenye kundi atapita Ahly ahly na cr belouzdad? Au unadhani tumesahau!
Simba bado inajenga timuVipi nyie mnaojitaga Majayantiiiii mshatoboa, maana Magori kuna kipindi anahojiwa na Azam kipindi cha michezo cha Asubuhi, alisema malengo yenu ya msimu huu ni kuingia fainali shirikisho. So kabla hujawapa angalizo Yanga,ungeanza na kiongozi wa club yaok,maana yy mwenyewe kajipa asilimia zote.
Yanga mwendo wameumaliza makundi hawavuki.Ibenge naamini hatofanya makosa achilia mbali Mazembe
Kuna watu watamaliza nafasi ya 3
Sasa pawe na goli la Baba pia.Twende na Utabiri wako.
Usije hapa kulia tukishampiga huyo Al Hilal wakoNikumbushe niliposema Yanga itaburuza mkia msimu uliopita.
Na hapo nimesema kutoa sare ugenini sijasema mechi zote 6. Mlidai mnawataka Mamelodi, mmepangwa na TP Mazembe mnashangilia. Uto bana. Hapo hamna tena mbeleko ya kucheza mechi za nyumbani na ugenini Chamazi, Al Hilal wenyewe wanawapeleka LIbya. Mshukuru watacheza bila mashabiki wao, kidogo hapo ndiyo nafuu yenu ilipo ila kwenye pitch hamtakuwa na kazi rahisi hata na hao.
Mnazisumbuaga timu maskini zisizo na experience.
Usije hapa kulia tukishampiga huyo Al Hilal wako
Yanga ni team kubwa
Kumbuka na Simba kapigwa 5
Na tarehe 19 mnaingia geto la pdidy
Wazee wa kujumlisha na kutoa, safari hii mnatupiga ngapi? Mbona sisikii tena 1+9 = 10?Usije hapa kulia tukishampiga huyo Al Hilal wako
Yanga ni team kubwa
Kumbuka na Simba kapigwa 5
Na tarehe 19 mnaingia geto la pdidy
HeheeeeWalitolewa na Timu iliyoingia kama Underdog.
Maniema, timu ya Zamani ya Max Mpia Nzengeli
Kwa sababu amekupididi mwaka janaKundi la mamelod la kifo na msumu huu mamelod atoboi?
Yanga wanafikiri Mazembe ni Pamba
Kwani nani wapo vilevile mwaka ule na mwaka huu?Sio ile ya mwaka ule
Yanga wanafikiri Mazembe ni Pamba
Tutampiga hata kws mlungula πππ japo tutegemee mechi ngumu sanaa kama za ligi mana washatujua kwamba tunahitaji kukaziwaHapo Yanga na MAZEMBE ndio wanapita.
Al hilal tunampiga nje ndani akifanya utani.