Wewe msimu uliopita si ulisema kwenye kundi atapita Ahly ahly na cr belouzdad? Au unadhani tumesahau!Nikumbushe niliposema Yanga itaburuza mkia msimu uliopita.
Na hapo nimesema kutoa sare ugenini sijasema mechi zote 6. Mlidai mnawataka Mamelodi, mmepangwa na TP Mazembe mnashangilia. Uto bana. Hapo hamna tena mbeleko ya kucheza mechi za nyumbani na ugenini Chamazi, Al Hilal wenyewe wanawapeleka LIbya. Mshukuru watacheza bila mashabiki wao, kidogo hapo ndiyo nafuu yenu ilipo ila kwenye pitch hamtakuwa na kazi rahisi hata na hao.