CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
Kwa hao waarabu mkuu?

Hapana, labda key players waumie mkuu
Mimi ndio nakuambia hapo Simba tunasubiria draw ya nusu robo fainali tu
Wakuu bado kikosi chetu hakijajipata asilimia zote, bado kuna mlima mbeleni angalieni vizuri.

Kumbukeni tunahitaji kuvuka zaidi ya robo, hapo pia kwa timu yetu hii kibarua kipo
 
Back
Top Bottom