nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba Bingwa
Mahesabu ya mfukoni haya chief.....hamna kazi nyepesi hapo ndugu.Simba Bingwa
Iliondolewa na ile timu ya Congo Manyema ambaye IPO champion'sIvi Petro de Luanda ya Angola haiko kokote apo maan ilikuwa fire last season
Kwa hao waarabu mkuu?Aiseee Simba tuache kupiga hesabu za mfukoni, mpira mchezo wa kikatili mno.
Mimi ndio nakuambia hapo Simba tunasubiria draw ya nusu robo fainali tuMahesabu ya mfukoni haya chief.....hamna kazi nyepesi hapo ndugu.
yanga inauawa mapema sana na belouzidadYanga ilete heshima
Kwa hao waarabu mkuu?
Hapana, labda key players waumie mkuu
Wakuu bado kikosi chetu hakijajipata asilimia zote, bado kuna mlima mbeleni angalieni vizuri.Mimi ndio nakuambia hapo Simba tunasubiria draw ya nusu robo fainali tu
Kuongea ni rahisi sana, mnadhani wale ni coastal union?Bravos lazima atuachie points 6 za uhakika, hao waarabu wawili watatuachia points zetu 3 Mkapa stadium then kwao wanaweza kubahatika sare.
Mwarabu kitu gani bhana.....hawatutishiKazeni budi, draw hiyo sio ya Dodoma jiji, kuna waarabu 2.
nyakubonga Scars Tsh OKW BOBAN SUNZU KiweriweriSimba asipobeba hili kombe ataonesha udhaifu mkubwa sana.
Belouzidad hawezi kukutana na yanga hatua hiiyanga inauawa mapema sana na belouzidad
kibarua peleka nyuma mwikoWakuu bado kikosi chetu hakijajipata asilimia zote, bado kuna mlima mbeleni angalieni vizuri.
Kumbukeni tunahitaji kuvuka zaidi ya robo, hapo pia kwa timu yetu hii kibarua kipo