CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
Hivi haya maswali yako yanafuta matokeo ya Yanga na TP Mazembe kwenye mechi nilizokuwekea?
Achana na habari za shirikisho, Tp mazembe hii sio kama ile ya shirikisho tukienda kwa rekodi za H2H hata Man city ni kibonde wa Wigan ila sasaivi wigan hata Ligi kuu hayupo,

Muendelezo wa ubora wa Timu ndo hutoa mwangaza wa mshindi wa mechi, Tp mazembe kwa sasa ni bora kuliko Yanga kipindi mnakutana nayo walikuwa wabovu ila sasivi ni hatari usiombe tarehe ya mechi ifike maana mtalia na kusaga meno(kama mtabaki nayo lakini).
 
Nikumbushe niliposema Yanga itaburuza mkia msimu uliopita.

Na hapo nimesema kutoa sare ugenini sijasema mechi zote 6. Mlidai mnawataka Mamelodi, mmepangwa na TP Mazembe mnashangilia. Uto bana. Hapo hamna tena mbeleko ya kucheza mechi za nyumbani na ugenini Chamazi, Al Hilal wenyewe wanawapeleka LIbya. Mshukuru watactuheza bila mashabiki wao, kidogo hapo ndiyo nafuu yenu ilipo ila kwenye pitch hamtakuwa na kazi rahisi hata na hao.

Mnazisumbuaga timu maskini zisizo na experience.
Huku tunaongea kuhusu timu za club bingwa, Simba tulieni hadi tuanze kuzungumzia mashindano ya akina mama.
 
Achana na habari za shirikisho, Tp mazembe hii sio kama ile ya shirikisho tukienda kwa rekodi za H2H hata Man city ni kibonde wa Wigan ila sasaivi wigan hata Ligi kuu hayupo,

Muendelezo wa ubora wa Timu ndo hutoa mwangaza wa mshindi wa mechi, Tp mazembe kwa sasa ni bora kuliko Yanga kipindi mnakutana nayo walikuwa wabovu ila sasivi ni hatari usiombe tarehe ya mechi ifike maana mtalia na kusaga meno(kama mtabaki nayo lakini).
Ila waha Kwa ubishi

Sasa kama wale waliopigwa nje ndani sio hawa
Kwaiyo Yanga wenyewe hawajaimarisha kikosi chao
Tp Mazembe walifungwa na Farid Musa ambaye hana namba kikosi cha Yanga
Tp Mazembe walifungwa na Kisinda na Morrison ambao washatemwa Kwa viwango kushuka
Ina maana wamekuja wachezaji hatari zaidi

Tp Mazembe ilicheza na akina lomalisa, Juma Shaban, Mauya, Morocco, Kisinda, Farid nk
 
Achana na habari za shirikisho, Tp mazembe hii sio kama ile ya shirikisho tukienda kwa rekodi za H2H hata Man city ni kibonde wa Wigan ila sasaivi wigan hata Ligi kuu hayupo,

Muendelezo wa ubora wa Timu ndo hutoa mwangaza wa mshindi wa mechi, Tp mazembe kwa sasa ni bora kuliko Yanga kipindi mnakutana nayo walikuwa wabovu ila sasivi ni hatari usiombe tarehe ya mechi ifike maana mtalia na kusaga meno(kama mtabaki nayo lakini).
Kwahiyo, Yanga ya shirikisho ndo Yanga hii ya sasa?
 
ilikuwa lini na lilikuwa kombe gani na baada ya hapo nani alifika nusu fainali Klabu bingwa ? Na mpaka sasa nani yupo juu ya mwenzake kwenye Ranking ?
Kolo liku juu kirenki dhidi ya UTO lakini CAFCL kwenye Yale makundi manne halionekani, isitoshe lilichezea 1-5, 2-1 na 1-0 baada ya msaada wa somebody salleliii, kwa hiyo rank za CAF si hoja. Ndio maana kuna timu zinaingia na kutoka na kupishana kwenye nafasi.
 
Kila shabiki wa Yanga unayekutana naye analaumu Caf kuwa huenda wameombwa na hizo timu zisipangwe na Yanga.

Yaani timu giant za Caf zinaikimbia Yanga
 
Nafasi bado unayo ya kukutana nao kama utakuwa una uwezo wa kukimbizana nao kuelekea fainali
 
Back
Top Bottom