Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Hii ratiba imepangwa na Hersi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiharage kinakuwashaMungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.
Ruksa nawapeni!Wale wa Loser cup wanaruhusiwa kuchangia humu ?
Orlando pirates sio wa kitotoLitaisha kama lilivyo😅🤣
Ananzia wapi kulibeba, kwa forward za akina ateba wanaopata magoli ya zali la mentali.Simba asipobeba hili kombe ataonesha udhaifu mkubwa sana.
Rage ajengewe sanamuPoa....tupo hapa hapa JF....
Nakuhakikishia Kombe litakalokuwa linafuatilwa kwa wingi zaidi Afrika likakuwa Kombe la Shirikisho....Simply kwasababu ya Simba ..
Njoo tuoane ila mimi simba,njooMungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.
Mke wa mtu sumu.Njoo tuoane ila mimi simba,njoo
Achana na habari za shirikisho, Tp mazembe hii sio kama ile ya shirikisho tukienda kwa rekodi za H2H hata Man city ni kibonde wa Wigan ila sasaivi wigan hata Ligi kuu hayupo,Hivi haya maswali yako yanafuta matokeo ya Yanga na TP Mazembe kwenye mechi nilizokuwekea?
Huku tunaongea kuhusu timu za club bingwa, Simba tulieni hadi tuanze kuzungumzia mashindano ya akina mama.Nikumbushe niliposema Yanga itaburuza mkia msimu uliopita.
Na hapo nimesema kutoa sare ugenini sijasema mechi zote 6. Mlidai mnawataka Mamelodi, mmepangwa na TP Mazembe mnashangilia. Uto bana. Hapo hamna tena mbeleko ya kucheza mechi za nyumbani na ugenini Chamazi, Al Hilal wenyewe wanawapeleka LIbya. Mshukuru watactuheza bila mashabiki wao, kidogo hapo ndiyo nafuu yenu ilipo ila kwenye pitch hamtakuwa na kazi rahisi hata na hao.
Mnazisumbuaga timu maskini zisizo na experience.
Asante Mzee wa kumaanisha kinyumeUto ndio mnyonge hapo
Ila waha Kwa ubishiAchana na habari za shirikisho, Tp mazembe hii sio kama ile ya shirikisho tukienda kwa rekodi za H2H hata Man city ni kibonde wa Wigan ila sasaivi wigan hata Ligi kuu hayupo,
Muendelezo wa ubora wa Timu ndo hutoa mwangaza wa mshindi wa mechi, Tp mazembe kwa sasa ni bora kuliko Yanga kipindi mnakutana nayo walikuwa wabovu ila sasivi ni hatari usiombe tarehe ya mechi ifike maana mtalia na kusaga meno(kama mtabaki nayo lakini).
Kwahiyo, Yanga ya shirikisho ndo Yanga hii ya sasa?Achana na habari za shirikisho, Tp mazembe hii sio kama ile ya shirikisho tukienda kwa rekodi za H2H hata Man city ni kibonde wa Wigan ila sasaivi wigan hata Ligi kuu hayupo,
Muendelezo wa ubora wa Timu ndo hutoa mwangaza wa mshindi wa mechi, Tp mazembe kwa sasa ni bora kuliko Yanga kipindi mnakutana nayo walikuwa wabovu ila sasivi ni hatari usiombe tarehe ya mechi ifike maana mtalia na kusaga meno(kama mtabaki nayo lakini).
Kolo liku juu kirenki dhidi ya UTO lakini CAFCL kwenye Yale makundi manne halionekani, isitoshe lilichezea 1-5, 2-1 na 1-0 baada ya msaada wa somebody salleliii, kwa hiyo rank za CAF si hoja. Ndio maana kuna timu zinaingia na kutoka na kupishana kwenye nafasi.ilikuwa lini na lilikuwa kombe gani na baada ya hapo nani alifika nusu fainali Klabu bingwa ? Na mpaka sasa nani yupo juu ya mwenzake kwenye Ranking ?