Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Huyu ana elimu kubwa kumzidi huyo dogo wa Dar, na pia ni mtu anayepiga kazi.Inasemekana huyu wa TPA naye ni mtu wa inner circle kwa hiyo naye ni kama Bashite. Hawezi kutolewa
Wewe utakuwa ni jamaa wa Ngara, wavuye he muhungu. Bavandimwe.Huyo anatafuta pesa za kumalizia Sheli ya Mafuta iliyoko Rulenge-Ngara-Kagera ambayo imeshindwa kukamilika tofauti na Ngaraoil ya juzi tu lakini inapiga kazi.
Sawa Phillipo Bukililo nimekuelewa, anapiga kazi kama anavyopiga hela!!Huyu ana elimu kubwa kumzidi huyo dogo wa Dar, na pia ni mtu anayepiga kazi.
Kumbuka kuna maktaba nzuri humu.CAG anajitambua, anajuwa kuwa kuna maisha baada ya Awamu ya 5. Kwa hiyo yeye anayaandika na kuyabwaga, wasipotekeleza shauri yao. Hongera KICHEERE
Tatizo la Assad kwy WIZI alikuwa anakazia kwamba sehemu fulani pesa haionekaniki anakadhia sasa huyu Kichere yeye sehemu yenye WIZI akaziii mpaka wachambuzi wetu wa jamiii forum wapaishe sehemu zenye WIZI ndio watu wajue kwa sababu hatuna desturi ya kusoma somaIlikuwa ni ushabiki tu wa mambo hakuna CAG wa kulinda madudu.
Tanzania kila mtu akipata nafasi lazima apige pesa. Hii ndio desturi yetu toka enzi hizo. Ndio maana hatuwezi kuendesha kitu kikafanikiwa. Viwanda vyote viko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wizi, tamaa, uongo, utapeli hatuwezi kuvuka kiuchumi hata miaka 600 ijayo
Wenzetu wamedhibiti hayo ndio maana wana maendeleo
Hakuna uchawi bali sisi ndio wachawi
Sent from my iPhone using Tapatalk
Nani ametudanganya kufanya kazi ofisi za umma ndio ticket ya kufanya chochote bila madhara yoyote?
Wizi wa mali za umma unakera sana. Sijui watu wanajua hilo
Na hutakaa uelewe.Kwa hiyo jamani huyu CAG si mlisema amewekwa kumlinda mkuu, inakuwaje amemgeuka na kuanza kuibua madudu?
siwaelewi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bandari ya Kigoma walifanyaje mkuu?Huyu ni mpigaji sana wachunguze upigaji wa bandari ya Kigoma. na wachunguze washauri au wapigaji walio karibu naye Mr. Tony aliyekuwa TAFFA na wengine
Tafuteni bilioni tisa zilitumikaje na zaidiBandari ya Kigoma walifanyaje mkuu?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Tony Swai ni mpigaji waulizeni TAFFATony Swai, funguka mkuu
Usipopiga hela wakati hujui utakufa lini maana yake wewe una matatizo makubwa.Sawa Phillipo Bukililo nimekuelewa, anapiga kazi kama anavyopiga hela!!
Siyo kweli nenda kaulize kwa watu wa kitengo. Mbarawa alisambaratishwa na Kakoko tu!! Na ndiyo anawatisha hata watumishi wa TPA kuwa akaiwa sambaratisha hawawezi kurudishwa hata waende kukata rufaa kwa JPM.Mbarawa alipelekwa Maji kimkakati, miaka ilikuwa inakwenda na miradi ya maji ilikuwa haina muelekeo mzuri. Mzee aliyekuwa Maji akapelekwa mawasiliano.
Ilipangwa kimkakati sio kweli kwamba kulikuwa na mkwaruzano kati ya Mbarawa na Kakoko, ni kwamba Mzee ambaye yupo mawasiliano ambaye alipewa warning kule Morogoro kasi yake ni ndogo ukizingatia kuwa umri umesogea.