CAG aibua ufisadi TPA ya Deus Kakoko, Ni mbaya kuliko wa Kigwangalla

Subra,ni kitu kizuri, inabidi CAG afafanue ni kigezo kipi kunatumika kutoa maamuzi kwamba sababu za single sourcing procurement hazikuwa za msingi, TPA wangejuaje kwamba sababu zao so za msingi?Je single sourcing hairuhusiwi?
Ili ifanyike single sourcing mahitaji yake ni yapi?Elimu zaidi inahitajika ili tupate kufahsmu vizuri kabla ya kurukia kwenye tuhuma za kudai kuna wizi,tutende haki ,tusiwe ba mihemko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umesha sema ni poti! Hapo kuna swali tena?
In God we Trust
 
Kumbe Kakoko naye ni booti?
Huyo anatafuta pesa za kumalizia Sheli ya Mafuta iliyoko Rulenge-Ngara-Kagera ambayo imeshindwa kukamilika tofauti na Ngaraoil ya juzi tu lakini inapiga kazi.

In God we Trust
 
Mwizi ni mwizi tu hakuna cha afadhali
Hamisi wana m target sana kisiasa. Sio mbaya hivyo. Kuna watu wabaya zaidi. Shida ya Hamisi ni kuongea. Angekuwa anakaa kimya na kuignore baadhi ya mambo yangekuwa yanapita kimya kimya.

In God we Trust
 
Inasemekana huyu wa TPA naye ni mtu wa inner circle kwa hiyo naye ni kama Bashite. Hawezi kutolewa
Kimenukishwa tayari na Majaliwa, lakini kisiishie kwa Mkurugenzi wa Fedha na Mhasibu wa Matumizi. Lazima Deus Kakoko naye awajibishwe, au la tutaamini kuwa yasemwayo kuwa yeye ni mtu wa Meko ni ya kweli
 
MKUU HIYO NI FINAL AUDIT REPORT.YALE YOOTE YALIYOELEZWA KWENYE DRAFT MANAGEMENT LETTER YALIMALIZWA KWENYE FINAL EXIT MEETING.SO THATS THAT
 
Atang’oka aliyemlipua.
 
Huyu kakoko ni mbabe sana na mnyanyasaji wa wafanyakazi wa chini yake!
Aliwaondoa wengi (hadi majembe) aliowakuta TPA eti hawajui kazi sijui yeye alijulia wapi kazi!
Anapenda sana kujisifu na kutishia wengine kuwa 'nitaongea na no.1'
 
Labda walipiga dili wote huko TANROADS
 
Huyu kakoko ni mbabe sana na mnyanyasaji wa wafanyakazi wa chini yake!
Aliwaondoa wengi (hadi majembe) aliowakuta TPA eti hawajui kazi sijui yeye alijulia wapi kazi!
Anapenda sana kujisifu na kutishia wengine kuwa 'nitaongea na no.1'
Umenikumbusha Kipande mjomba wake JK!
 
Deus Kakoko naye aanze kujaza Mguu sawa. Maana huwa anadai yeye anaongea moja kwa moja na Rais.

Sasa tutaona ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…