CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

Hamna CAG pale ni mletaji wa Taharuki....! Maghufuli watu kama hawa alikuwa anawala kichwa juu kwa juu
 
Inabidi mke wake aitwe polisi atoe maelezo hizo pesa zilipo enda.

NB: nakumbuka samia alisema kuna pesa ziko kwenye account za benki za china au ushasahau?
 
Yaani wewe ndiye unajifanya mkamilifu kuliko taasisi ya CAG?
 
Jiwe alikuwa ni mtu hatari sana
 
Yaani wewe ndiye unajifanya mkamilifu kuliko taasisi ya CAG?
Yako maeneo naweza kuwa mkamilifu kuliko yeye yeye pia ni banadamu na lile suala alienda mtu kana wewe toka ofisi ya CAG ambaye anaweza kuwa na upungufu wa weledi kumbuka wakaguzi wa nasomea uhasibu mambo ya technical hawayajui ndio maana wameanza kuajiri mainjinia , maafisa kilimo nk ili walau waweze kusaidia technical issue.
 
Zile hazikua chunguzi za CAG,zilikuwa time maalum linalodili na tatizo husika
 
Kutaja tu bila kuchukuliwa hatua [emoji1241]
 
Pigo kubwa kwa walinda legacy!!
 
Na walioongeza bei ya ndege ni kundi la jiwe pia?
 
Hata kama tutaliona mbona wizi unaendelea kwa huyu mzuri wenu. Tena wizi wa kutisha?
Hilo swali gumu sana kujibu, wataishia vitisho na matusi.
Wakitajiwa kuna ufisadi mkubwa unaendelea wao wanasema Jiwe alikwa jambazi. Jibu hizo hoja za CAG zilizopo.
By the way, CAG amezungumza nini kuhusu USD 30 million February Marope alizotumia TANESCO kuweka mfumo eti wa kuuza umeme. Au na hii nayo haimo kwenye ripoti? Anachagua vitu vya kiweka
 
Ilifunguliwa akaunti binafsi China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…