CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

Swali la kijinga sana lini. Kwahiyo tumuache kisa yeye sio wa kwanza au wa mwisho.
Stupidity at its best. So what is the point of fighting with the deceased? Will that make any difference that you wish to see?
 
Jiwe alikuwa jambazi
 
CAG kama Ludovick Utouh na Prof Assad walikuaga hatari sana kuliko huyu wa sasa.
 
Sasa uchunguzi ukisema Biswalo yuko clean, inamaana CAG ndiyo atakua kacheza fraud kwenye report yake kuhusu Biswalo na itatakiwa ashitakiwe kwa kumtuhumu Biswalo bila ushahidi!! Maana tunajua matokeo ya uchunguzi yanaweza kua positive au Negative!!
 
Hivi kwenye hii ishu ya Biswalo zimeliwa shilingi nagapi ukilinganisha na hizi[emoji116]
 
Sukuma gang ni majambazi
Kwamba hawa wanaoongoza sasa hivi ni sukuma gang?

Si mlisema mama aliwakomesha wote?

We my wife vipi bhana unakuwa huna kumbukumbu?
 
Kwamba hawa wanaoongoza sasa hivi ni sukuma gang?

Si mlisema mama aliwakomesha wote?

We my wife vipi bhana unakuwa huna kumbukumbu?
Miradi yote ya Jiwe ndiyo leo inaongoza kwa ufisadi lkn mama tulisha mwambia kuwa afukuze hilo kundi haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…