CAG: Hela za Plea Bargaining(Kesi za uhujumu) za mabilioni ziliingia mifukoni mwa watu-hazikuingia Serikalini!

Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.

Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Slaa keshawehuka hasa baada ya kuona mwenzake Mrema kaoa binti mbichi mweupe yeye akaishia kukamatishwa lisimbe la kihaya tena lenye mapepo 7
 
Halafu uwezo wenu was kuelewa Mambo pia ni mdogo Sana.Kwa kuwa unaposema serikali ni watu wengi.Hamjui pia mnamtukana Rais aliyepo kwa kuwa na yeye alikuwa ni miongoni mwa wasaidizi.Au mnamtukana Dr Mpango na mawaziri Kama Mwiguru kwa kuwa nao ilikuwa sehemu ya serikali.Serikali haiwezi kuwa ya mtu mmoja.Halafu report ya CAG,tuna inteprete sio siasa za mavi mnazozianzisha.Tuna interprete kuwa hii pesa ilitumika kujenga Barbara.Document zake zilikuwa hazijafika.Hiyo inaitwa physical verification.Nyie wapumbavu Sana.
 
Hela za bureau de change je?

Maana ile mishindo watu walipoteza hela Hahaha

Vp watarudishiwa ?

Hii ndiyo bongo bana

Ova
 
SSH hahusiki, mwizi ni JPM
 
Slaa amesema red brigade ya chadema hua inateka watu na kuua watu.

Hiyo mada sioni ikijadiliwa vya kutosha.
Siasa za kike hizi. Kama anaushahidi apeleke kwa vyombo husika, ili vichunguze na kuchukua hatua.
 
Nasema uongo Ndugu zangu?😁
 
Kama Mwanamlya una doubt ripoti ya CAG Kicheere, na kura za uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 kuwa hazikuibiwa na Magufuli basi jihesabu wewe ni MPUMBAVU.

Hamna nna tunaweza kukusaidia hata kama utavunjwa vunjwa uwe mchanga halafu uumbwe upya.
 
Hizo PESA m

Hizo PESA ndo Zimejenga izo Flyover mnazopita, zmenunua ndege nk. Tofauti ni kuwa hazikupita mfumo rasmi. Yaani MTOTO unamwona halafu unasema MZAZI alikuwa MGUMBA!!!!!!! Tuambieni mlichofanya Hadi sasa ninyi.
 
SSH hahusiki, mwizi ni JPM
Yaan Chinembe nilishakwambia kuwa elimu yako ni ya form four na ukiwa umesoma Sana Basi una degree ya kuunga unga.Yaan unatumiwa Sana kuandika humu lakin upo shalowa Sana.Nitakupa somo kidogo.Unapoongelea masuala ya serikali ,unaongelea team work.Kuna Rais,Wazir mkuu,mawaziri,wakuu wa mikoa na wilaya.Wakurugenzi na nk.Sasa kwa Sasa suala linalotengenezwa na wahuni wachache ,wanataka kuwafanya watanzania kuwa hawana uelewa wowote.Kumbe wao ndio sisi tunawaona Kama mazombi tu.Nitaongea issue mbili.Kwanza issue ya kusema serikali iliyopita iliiba pesa.Basi wote waliokuwemo watakuwa wameiba.Pili.Unaposema GAG ,ametoa report.Ni suala la interpretation tu.Report inakuwepo lakin je physical verification zimefanyika kuhusu hizo document?Zitto Kabwe ni mburura.Hajui kitu.Amesoma economic.Sisi wataalamu wa uhasibu ,tunajua kuwa ni mpumbavu tu.Halafu kwa Sasa ategemee maadui wengi.
 
DPP aliuepewa ujaji anajua kila kitu, tafadhali atupe majibu huyu shetani
 
Nenda kazikwe naye, alikuwa mwizi kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru, hiyo certificate ya uhasibu si Mali kitu, pale Ofisi ya CAG waliofanya ukaguzi Wana CPA na ma digrii kama yote, alikuwepo mpaka Prof Assad, narudia, profesa alisema JPM kaiba trilioni moja na nusu
 
tuna inteprete sio siasa za mavi mnazozianzisha.Tuna interprete kuwa hii pesa ilitumika kujenga Barbara.Document zake zilikuwa hazijafika.
Ona sasa upuuzi unaoandika!! Pesa za barabara zinatoka road fund huko zinatunzwa hazina na pesa inatoka procedure zinafahamika.

Pesa za plea bargaining zinaenda BOT huko na hazikuwa na Sheria inayosema zipelekwe wapi kutumika so haziguswi. Ghafla zinaenda mfukoni mwa wahuni wachache wanapokea hadi Kodi za majumba yaliyotaifishwa alafu unasema zimejenga barabara??

Kwanini mnatetea ufisadi? Hamuoni aibu
 
CAG aonyeshe cashflow?? Hivi unaongea vitu Gani wewe? Cashflow kwenye Plea Bargaining account iliyopo BOT?

DPP alishasema hakuna Sheria inayosema wazi pesa zinazopatikana kwa njia hii zitumike vipi. Kumbuka zinaletwa as cash so hazina control number Wala nini.

Meaning pesa yoyote ikihamishwa kutoka account hii ni ufisadi maana hakuna legal framework ya matumizi yake.

Hivi hiyo nayo inahitaji "cashflow statement"!! Siamini wafuasi wa JPM mnatetea mafisadi.

Kama.Sabaya kakutwa na hatia ya ufisadi kwanini hamuamini kuna mafisadi awamu ya 5??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…