CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Alimtanguliza MUNGU pamoja na nchi yake katika kuyatekeleza majukumu yake, alitekeleza majukumu yake Kwa hekima ya hali ya juu bila kujali wale waliokuwa wanampiga vita Kwa namna yoyote ile.

Kapumzike PROF.ASSAD hakika wewe ni mzalendo uliye tukuka.

Karibu kichere, acha upigaji uendelee [emoji850][emoji850][emoji850]
 
Muda wake wa miaka mitano umeisha. Pia umri nao umefikia ukingoni kuendelea kuwa CAG
Acha uongo wewe...Assad amezaliwa Oktoba 6, 1961... sasa umri umefika ukingoni kivipi?
 
Huyu kawekwa kuficha uchafu. Hana ubavu wa kupingana na Ikulu. Ni kibaraka mwoga na usitegemee kitu.

Fedha zitachotwa kupelekwa Chato na hatosema kitu. Nasikia kuna mchoro wa Chato itakuwa kama Shanghai.
Wivu tuuu mkuuu. Acha watu wamesoma wapeleke mema kwao. So kigezo ilikuwa no elimu aka?
 

Niimesoma hivyo vifungu Magu hapa hajavunja sheria. Term ni miaka 5 na eligible kwa renewal hii ina maana kisheria baada ya miaka mitano Magu akichagua mwingine yuko sawa lakini vilevile kisheria angeweza kumwacha kwa miaka mitano tu. Lakini kubadilishwa baada ya miaka mitano ni ruksa kisheria.
 
Kama tulitaka kumpa lowasa nchi kichere kuwa cag shida nini?
 
Kama hamjagundua Magufuli yupo kwa manufaa yake na kikundi cha wezi webzine aliofanya nao ujenzi tanroads na ndugu zake wa damu we are in shamble
 
Kitakachofuata hapo maafisa wa National Audit Office kuhamishiwa sehemu zingine na NAO kujazwa na Wana-Lumumba!! Ukaguzi hivi sasa utafanywa na Praise Team na kuwa endorsed na kubwa lao!!!
 
Wakati Katiba inasema CAG atakaa miaka 5 ofisini na astahili mkataba wake kuwa renewed kwa miaka mingine 5, atatakiwa kuachia ofisi akifikisha umri wa miaka 60 au umri mwingine utakaotajwa na sheria.
Mkuu nafikiri umelivuta sana hilo neno "ku-stahili" nawe umeligeuza kuwa lazima mkataba wake uwe renewed. Maana halisi ni kuwa anaweza akapewa mkataba mwingine au kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Tunaweza kujiuliza kwa nini raisi hakumpa mkataba mwingine lakini kisheria raisi yuko ndani ya sheria (Public Audit Act 2008)
 
Kichere ana bahati
Kumbuka alikuwa tanroad kama mhasibu mkuu,dotto naye(pay master general) na magu wote walikuwa tanroadd...unganisha nukta
Mmoja anatoa amri wa pili anagawa mahela,wa tatu anakagua
Tumekwisha
 
Public Audit Act imepewa na imetoa umri tu na sio mengineyo
Kwa mujibu wa katiba CAG analazimika kustaafu na miaka 65
Assad kafikisha hiyo miaka?
 
Lakini wizara ya fedha ndo itafanya AUDITING mkatae mkubali...
 
[Acha kuQUOTE="Victoire, post: 33349779, member: 11226"]
Assad hatimaye kastaafu. Hongera Mr Kichere kwa kuteuliwa kuwa Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali.
[/QUOTE]
Acha kuongea kama kah*ba la ambiance
Assad kafikisha miaka 65?
 
Nisaidie ili tusipoteze muda kama nimepotoka
Tuko hapa kujifunza pia
Rudi mchango #1 juu soma hiyo cut-and-paste ya kiingereza ambayo imetolewa Public Audit Act 2008. Hiyo ya kiswahili imepitwa na wakati.
 
Rudi mchango #1 juu soma hiyo cut-and-paste ya kiingereza ambayo imetolewa Public Audit Act 2008. Hiyo ya kiswahili imepitwa na wakati.
Nisaidie kuiweka hapa
Hata katiba ya kiswahili na english vimepishana
Hii nchi shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…