CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

Ukweli ni Kwamba Marehem Magufuli alipenda kutumia nguvu kubwa kufikia malengo au ndoto zake binafsi na sio kufanya tafiti ya kina na tafakari shirikishi kwanza.

Alichokiona CAG Ni kweli kabisa.
 
Kuna siku tutawachoka tutafanya ambayo hamtamani kuyaona wala kusikia kwa sasa endeleeni na upuuzi wenu
 
Umejitahidi kutetea legacy, ukweli serikali kulinda mipaka yake hakuna uhusiano hapo na huo uwanja.

Bora ungeshauri upunguzwe uwe air strip, watalii watakuja tu.

Airport ya int. Standard ni gharama kuitunza Mkuu.
 
Heri ya ufisadi wa dikteka JPM kuliko haki ya kina Nape na Kinana. Tulipata shida lakini sasa cha moto tunakiona.
 
Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.

Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.

.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Sahihi uwanja ndege wa Chato hauna faida kuliko safari za helikopter anazofanya Nape.
 
Kwa sasa tunajadili ripoti ya CAG juu ya manufaa ya uwanja wa ndege wa chato.
 
Kulikuwa na viashiria vya udikiteeta kwenye maamuzi
Unakumbuka shauri LA "Dictator Uchwara" Mmawia?Like shauri lilikuwa nikupinga jpm kuitwa dictator uchwara.Hiyo maana yake kam siyo uchwara basi alikuwa Dictator Halisi na siyo vinginevyo.
Tulikuwa na Lunatic as The Presida.
 
Unakumbuka shauri LA "Dictator Uchwara" Mmawia?Like shauri lilikuwa nikupinga jpm kuitwa dictator uchwara.Hiyo maana yake kam siyo uchwara basi alikuwa Dictator Halisi na siyo vinginevyo.
Tulikuwa na Lunatic as The Presida.
Wakakutana na gwaji la sheria mh Lissu akawatoa ko
 
Halafu ikishatua hapo?!!!ndo maana CAG anasema hakuna feasibility study. Viability ipo wapi kwenye hiyo project?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…