Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Za Banga - Gbadolite today
View attachment 2187222 View attachment 2187225 View attachment 2187204 View attachment 2187226
CAG aliwekwa afiche ukweliKipindi kile alisemaje ?
Kama kipindi kile alikaa kimya kwa kuogopa Mamlaka tunajuaje kama kipindi hiki asemi kila anachotakiwa kusema ili mradi tu kuridhisha mamlaka ?
Hii nchi unafiki mwingi sana kwamba ingebidi aombe wananchi msamaha na ajiondoe kwenye hio kazi sababu inaonyesha ni bendera fuata upepo
Nadhani bado haijafutwa ileNakumbuka yule aliyekuwa waziri wa maliasili Ndumbalo pale chato aliwahi kusema kuwa chato/burigi ndiyo kitovu cha utalii.
Jiwe ni Rais wa nchi gani sasa hivi..., takuwa chizi kupigana na Mizimu au kutetea mizumi au kusema kwamba ni sawa upuuzi sasa ufanyike sababu marehemu fulani alifanya...., keeping in mind anayetetewa alikuwa ni part ya huo huo so called uharibifu uliofanyika huko nyuma...Hiyo ni imani yako hakuna mtu mwenye haki ya kukufanya usiamni unacho kiamini.
Ila ukweli jiwe aliharibu sana maisha ya watanzania na kutumia hivyo fedha za umma.
Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Legacy ya dikteta inazidi kuyeyuka!!Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Hatari Sana,bwana yule alikuwa anaelekea kuuza au kufilisi NchiIlikuwa ni Serikali ya kifisadi pia🐒🐒🐒
View attachment 2187006
Wazee wakutetea mfu mshafikaHivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Legasi kwisha habari yakeTulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
huu uchumi unaosingiziwa urusi na ukrain uliharibika tangu awamu iliyopita. Tuliwaonya huko mbele watakwama tuHatari Sana,bwana yule alikuwa anaelekea kuuza au kufilisi Nchi
mmh!!Pamoja na yote, ila Mwenyezi Mungu anatuambia tusimseme vibaya Marehemu. Punguza jazba za kijanga, we all belong to Allah na kwake tutarejea.
Madini yameporwa na Nani? Kuwa muwazi tu kuwa CCM ndo waporaji, kwa nini uzunguke mbuyu?Afadhali uwanja upo hata mkisema mpaka mapovu yawatoke ni sawa tu maana Geita utabaki uwanja wao! Ile sehemu mmepora madini sasa hivi kumebaki maandaki maana hata mchanga umabebwa, no replacement!
Madini mliobebea yakiisha siku moja tutapata watalii watakaokuja kutembelea mashimo waliochimba Geita!
Mjinga anayeenda kuweka kitu mahali kisipohitajika wakati kulikuwa na mambo msululu ambayo yangewasaidia watu wa Chato.Bomoeni mpeleke nyumbani kwenu kupiga kelele hakuwasaudii .
Wajinga ni watu na watu ni ninyi.
Sasa hivi uwanja wa ndege kila inapofika July, August, September, tunautumia kuanikia mpunga na mihogo.Pendezesha kwenu kwa kujenga vitu vitakavyo tumika na watu wote, pia vitakavyo kuwa na faida. Sasa huo uwanja wa ndege una faida gani ikiwa kwa mwezi unaingiza watu wachache hivyo? Angejenga barabara labda. Sasa ona hasara hiyo kubwa
Yaan wewe kil.AZA huwe na akili kuliko CAG?! kumbuka pia huyo CAG Ni chaguo la JiweCAG kwa hili sijui kama yuko sahihi Mapori yaliyoko Kule mijambazi ya Rwanda na Burundi ilikuwa inasumbua sana
Magufuli akatangaza kuwa yale maeneo ni mbuga za taifa sababu kuonekana mbugani kama sio mtalii unapigwa risasi .umefuata nini mbugani
Kwa kuanzisha mbuga akawa kakomesha utekwaji magari na mabasi kwenye yale Mapori sababu majambazi wanyarwanda na warundi walijikatia mapori yale wengine wakaanzisha hadi mashule na vituo vya ujambazi .Tatizo hilolimekuweko Serikali zote Magufuli Ndie alibadilisha hiyo hali
Tatizo Serikalini coordination hamna kilichotakiwa ni wizara zote kushirikiana ku push agenda ya utalii kule ili uwanja uwe active
Lakini pia Jeshi huo uwanja ungewasaidia!!
Sasa tuchukulie mfano Serikali iseme hauna faida ufungwe wanatakaje na zile mbuga zifungwe wanyama warudishwe walikotoka na mapori yale waachiwe Majambazi wa kinyarwanda na kirundi waendelee kuteka mabasi na magari na Kuua raia?
Anyway huo ni uamuzi wa Serikali
Ila Nadhani siku ingine CAG akifanya ukaguzi ni vizuri kupata information za kutosha zaidi ya hizo za profit and loss
Nakumbuka swali lilikuwa "Kuna trilioni 1.5 iliyo ibiwa,CAG akajibu hapana"hii ilikuwa "technical question and technical answer"Nilicheka sana siku ambapo Prof. Mussa Assad alipoulizwa ghafla kama kweli kuna upotevu wa ile Trillion 1.5! Kiufupi
alijibu kwa wepesi tu "Hapana Mweshimiwa Rais" [emoji51][emoji51][emoji51]
Na hapo hapo kwenye mitandao habari ndiyo ilikuwa inazunguzwa kweli kweli! Hakika yule Mzee alikuwa anaogopwa na wasaidizi wake mpaka basi.