Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Hiyo sijui ndiyo inaitwa inferiority complex? Hawa jamaa siyo kabisa!
 
Mwongezee na Burundi! Pale Waislam wengi wako Bujumbura kwenye mtaa wa Buyenzi! Ukimaliza hiyo mpe na Rwanda ni zaidi ya 90% Christian!
 
Tulia upate dawa , yaani mpka dawa ikuingie usiwadanganye wanyonge kanisani kwa maslahi mafupi ya kilimwengu
Imekua ni fujo tena inaonekana wewe ni mshari sana
mara dawa ikuingie ni kauli za vurugu vurugu

Ulizaliwa ukaukuta ukristo na utakufa utaacha huwezi shindana nao
 
Imekua ni fujo tena inaonekana wewe ni mshari sana
mara dawa ikuingie ni kauli za vurugu vurugu

Ulizaliwa ukaukuta ukristo na utakufa utaacha huwezi shindana nao

Yaani kukuwekea mistari ya biblia unaoniona mshari ??
Ulitaka watu wasimjue Mungu wa kweli waendelee kudanganywa na akina nyinyi , na sisi tukae kimya tu ??
 
Yaani kukuwekea mistari ya biblia unaoniona mshari ??
Ulitaka watu wasimjue Mungu wa kweli waendelee kudanganywa na akina nyinyi , na sisi tukae kimya tu ??
Unachoandika wewe ni repetition na pumba kwa asilimia 100

We sio wa kwanza kusema Yesu si Mungu, Yesu hakufa msalabani wako waliosema miaka 1000 iliyopita mfano da vinci alisema Yesu alioa na alikua na mahusiano na mary magdalena ila alifika wapi na hiyo acquisition yake hakufika popote

Ukristo una miaka 2000 jiulize wewe una miaka mingapi
 
Austria
Denmark
Sweden
Vatican
Botswana
Namibia
Zimbabwe.
 
Why can't muslims coexist with other religions?
 
Hata wasio dini wamefikia miaka zaidi ya ukristo , wewe una miaka mingapi ?

Wewe ndiyo Wale Bwana Yesu aliwaita wenye mioyo migumu
 
Hata wasio dini wamefikia miaka zaidi ya ukristo , wewe una miaka mingapi ?

Wewe ndiyo Wale Bwana Yesu aliwaita wenye mioyo migumu
Jagina. Una maua yako Allah akulinde 😘😘
 
DRC , usa , Canada , urusi, France , spain, italy, England , Germain , Rwanda , Burundi , ni nyingi
 
Umeanza na mji, na wakati umeambiwa utaje Nchi, au hujui maana ya neno City?
By the way robo tatu ya ulivyo taja ni visiwa vingine vidogo sana pengine kama Wilaya moja ya Tanzania au hata Kijiji.... Kisiwa kina watu laki moja nacho ni Nchi
We jamaa ujue hiki unakaza fuzu kuandika baada ya kijibiwa ndiyo vile unawakilisha waislam wengi mlivyo.

Yaani mkiona mtu anaelekea kuwashinda kwa hoja, hiki unachozunguka hapa baada ya kujibiwa ndicho huwa mnafanya kuharibu mihadhara au mada!.

takbiiiiiir!.
 
Dini ya kipwindi sana ndio maana wanaswali kwa kuputama makalio juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…