Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Tulia upate dawa , yaani mpka dawa ikuingie usiwadanganye wanyonge kanisani kwa maslahi mafupi ya kilimwenguUkishajua itakuongezea nini kwenye maisha yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia upate dawa , yaani mpka dawa ikuingie usiwadanganye wanyonge kanisani kwa maslahi mafupi ya kilimwenguUkishajua itakuongezea nini kwenye maisha yako
Hiyo sijui ndiyo inaitwa inferiority complex? Hawa jamaa siyo kabisa!Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha
Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?
Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.
mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi 71% lakini imani za waislam zinaheshimiwa, wakati huo huo nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikiheshimiwa lakini visiwani Zanzibar kulikojaa waislam hali ni tofauti.
Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza
Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa
View attachment 2909299
Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578
Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,
Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.
View attachment 2909283
Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa
Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja
View attachment 2909277
Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wanaona wana haki ya kumuadhibu,
Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,
View attachment 2909278
taasisi za elimu kama vyuo vya kikristo wala haviingilii uhuru wa wanafunzi wa kislam lakini kwa upande wa vyuo vya kiislam hali ni tofauti, mfano chuo cha kiislam cha Morogoro hairuhusiwi kwa mwanafunzi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume hata kufanya discussion isipokuwa awepo mtu wa tatu, kuna video iliwahi kuvuja ikionyesha watu wazima wa chuo hicho wakidhibiwa kwa viboko.
View attachment 2910122
Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam, Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Mwongezee na Burundi! Pale Waislam wengi wako Bujumbura kwenye mtaa wa Buyenzi! Ukimaliza hiyo mpe na Rwanda ni zaidi ya 90% Christian!Brazil, phillipines, Congo zina wakristo zaidi ya asilimia 90
Nakuongezea zingine
1 croatia
2 Romania
3 Papua New Guinea
4 Tonga
5 vatican city
6 Armenia
7 Namibia
8 Marshall Islands
9 Moldova
10 Solomon Islands
Imekua ni fujo tena inaonekana wewe ni mshari sanaTulia upate dawa , yaani mpka dawa ikuingie usiwadanganye wanyonge kanisani kwa maslahi mafupi ya kilimwengu
Imekua ni fujo tena inaonekana wewe ni mshari sana
mara dawa ikuingie ni kauli za vurugu vurugu
Ulizaliwa ukaukuta ukristo na utakufa utaacha huwezi shindana nao
Unachoandika wewe ni repetition na pumba kwa asilimia 100Yaani kukuwekea mistari ya biblia unaoniona mshari ??
Ulitaka watu wasimjue Mungu wa kweli waendelee kudanganywa na akina nyinyi , na sisi tukae kimya tu ??
AustriaPamoja na kuwa sikusudii kubadilisha mada yako
Naomba unitajie Nchi walau 5 zenye Wakristo kwa asilimia 90 (hata sio hiyo 99% uliyo iliyotaja) kwani nikisema 99% unaweza ukaambulia sifuri
ANGALIZO: Utaje Nchi na sio utaje visiwa vyenye watu 65,000 kama kitongoji umaanishe ni Nchi
Why can't muslims coexist with other religions?Ulimaanisha biblia hii ??
"He that hath seen me hath seen the father."
Let us look at the context:
"Philip saith unto him, Lord, shew us the Father, and it sufficeth us. Jesus saith unto him, Have I been so long time with you, and yet hast thou not known me, Philip? he that hath seen me hath seen the Father; and how sayest thou then, Shew us the Father?"
John 14:8-9
Philip wanted to see God with his own eyes, but this is impossible sinceno one can ever do ever do that. The Bible says:
"No man hath seen God at any time,"
John 1:18
"No man hath seen God at any time,"
1 John 4:12
"And the Father himself, which hath sent me, hath borne witness of me. Yehave neither heard his voice at any time, nor seen his shape."
John 5:37
But they were listening to Jesus' voice and looking at him standing before them! Jesus was simply simply telling us that his own actions and miracles should be a sufficient proof of the existence of God without God having top hysically come down and let himself be seen every time someone is doubtful. This is equivalent to for example:
1)John 8:19: "Then said they unto him, Where is thy Father? Jesus answered, Ye neither know me, nor my Father: if ye had known me, ye should have known my Father also."
2)John 12:44 "Jesus cried and said, He that believeth on me, believeth not on me, but on him that sent me."
3)John 15:23 "He that hateth me hateth my Father also."
4)Matthew 10:40-41 "He that receiveth you receiveth me (Jesus), and he that receiveth me receiveth him that sent me. He that receiveth a prophet in the name of a prophet shall receive a prophet's reward; and he that receiveth a righteous man in the name of a righteous man shall receive a righteous man's reward."
5)Judges 13:20-22: "For it came to pass, when the flame went up toward heaven from off the altar, that the angel of the LORD ascended in the flame of the altar. And Manoah and his wife looked on [it], and fell on their faces to the ground. But the angel of the LORD did no more appear to Manoah and to his wife. Then Manoah knew that he [was] an angel of the LORD. And Manoah said unto his wife, We shall surely die, because we have seen God."
If we want to insist that when Philip saw Jesus (pbuh), he had actually physically seen God "the Father" because Jesus "is" the father and both are one "Trinity," and Jesus is the "incarnation" of God, then this will force us to conclude that John 1:18, 1 John 4:12, John 5:37..etc. are all lies.
Well, is Philip the only one who ever "saw the father"? Let us read:
"Not that any man hath seen the Father, save he which is of God, he hath seen the Father."
John 6:46
Who is this who "is of God" and had seen the Father you ask? Let us once again ask the Bible:
"He that is of God heareth God's words: ye therefore hear them not, because ye are not of God."
John 8:47.
And
"Beloved, follow not that which is evil, but that which is good. He that doeth good is of God: but he that doeth evil hath not seen God"
3 John 1:11.
Have all people who have done good also physically seen God?
"No vision can grasp Him, but His grasp is over all vision. He is the Subtle,the Well-Acquainted [with all things]"
The noble Qur'an, Al-Anaam(6):103
Ask ChademaWhy can't muslims coexist with other religions?
Hata wasio dini wamefikia miaka zaidi ya ukristo , wewe una miaka mingapi ?Unachoandika wewe ni repetition na pumba kwa asilimia 100
We sio wa kwanza kusema Yesu si Mungu, Yesu hakufa msalabani wako waliosema miaka 1000 iliyopita mfano da vinci alisema Yesu alioa na alikua na mahusiano na mary magdalena ila alifika wapi na hiyo acquisition yake hakufika popote
Ukristo una miaka 2000 jiulize wewe una miaka mingapi
Jagina. Una maua yako Allah akulinde 😘😘Hata wasio dini wamefikia miaka zaidi ya ukristo , wewe una miaka mingapi ?
Wewe ndiyo Wale Bwana Yesu aliwaita wenye mioyo migumu
Sote insha AllahJagina. Una maua yako Allah akulinde 😘😘
Why cant you guyz live with other people peacefully?Ask Chadema
Pamoja na kuwa sikusudii kubadilisha mada yako
Naomba unitajie Nchi walau 5 zenye Wakristo kwa asilimia 90 (hata sio hiyo 99% uliyo iliyotaja) kwani nikisema 99% unaweza ukaambulia sifuri
ANGALIZO: Utaje Nchi na sio utaje visiwa vyenye watu 65,000 kama kitongoji umaanishe ni Nchi
We jamaa ujue hiki unakaza fuzu kuandika baada ya kijibiwa ndiyo vile unawakilisha waislam wengi mlivyo.Umeanza na mji, na wakati umeambiwa utaje Nchi, au hujui maana ya neno City?
By the way robo tatu ya ulivyo taja ni visiwa vingine vidogo sana pengine kama Wilaya moja ya Tanzania au hata Kijiji.... Kisiwa kina watu laki moja nacho ni Nchi