Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Ni ujinga tu waislamu wa huku Buza. Nimetembea Senegal ina 95% Waislamu lakini hawana hizi ushamba kwanza za kuwa na sigida usoni, kunyanyasa Wakristu hata kuwabagua. Ni hawa wa huku kwetu tu akina Ponda ndiyo wana mambo ya kindezi
 
Nimekuambia Utaje Nchi tano Duniani Zenye 90% Christian???
Australia ina 44% hata nusu haijafika
 
Latin America zote
unaona mnavyo unga unga data?
Wakristo sio wengi Duniani kama unavyofikiri.
Kuna mmoja alikuja hapa akifikiri Mataifa yenye nguvu Duniani yanaongoza kwa wakristo; kupewa data akabaki mdomo wazi
Ukifuatilia hata huko Israel ndio utashangaa; hakuna wakristo huko sijui ndio wanakaribia 2%
 
Nimekuambia Utaje Nchi tano Duniani Zenye 90% Christian???
Australia ina 44% hata nusu haijafika

Tano chache sana Nakuwekea nchi 10 na asilimia za wakristo waliopo katika hizo nchi. Na ukitaka nakuongea zaidi

1 Vatican City 100%
2 Romania 99%
3 Papua New Guinea 99%
4 croatia 99%
5 paraguay 99%
6 Armenia 98.5%
7 Namibia 97.6%
8 congo 90.5%
9 Moldova 97.5%
10 Solomon Islands 97.5%
11 Brazil 91 %
 
Mmiliki wa hiyo dini ndio katoa maagizo sio Mungu
 

Umeanza na mji, na wakati umeambiwa utaje Nchi, au hujui maana ya neno City?
By the way robo tatu ya ulivyo taja ni visiwa vingine vidogo sana pengine kama Wilaya moja ya Tanzania au hata Kijiji.... Kisiwa kina watu laki moja nacho ni Nchi
 
Umeanza na mji, na wakati umeambiwa utaje Nchi, au hujui maana ya neno City?
By the way robo tatu ya ulivyo taja ni visiwa vingine vidogo kuliko Zanzibar au niseme vidogo kama Wilaya moja ya Tanzania
Mkuu naomba tuhusike na maada ya mezani inayojikita kujua ni sababu gani zinapelekea kwamba nchi ikiwa na wakristo wengi kuzidi waislam bado waislam wanakuwa huru lakini ikiwa kinyume chake wakiristo wanaanza kuminywa,

Mfano tu kwa hapa Tanzania wakristo ni kama asilimia 65 laini tunaishi vizuri tu na waislam

hio ndio mada iliyopo mezani
 
Umeanza na mji, na wakati umeambiwa utaje Nchi, au hujui maana ya neno City?
By the way robo tatu ya ulivyo taja ni visiwa vingine vidogo kuliko Zanzibar au niseme vidogo kama Wilaya moja ya Tanzania

Hujui kama vatican city ni nchi inayojitegemea. Kama huamini Ukipenda toa vatican city weka Paraguay kufidia

Tena huko mbali sana nakutajia nchi jirani za Africa zenye zaidi ya 90 % ya population wakristo

1. Rwanda
2. Zambia
3. Namibia
4. Congo
5.sheli sheli
 
Hii dini ni njanga la dunia,na ndio maana India kaweka Sheria Kali ni marufuku waislamu kutoka nchi jirani kuhamia kwao.Nchi nyingi za kiislamu zinafinya magaidi ya kidini kimya kimya.
 
Bahati mbaya sana wenzetu hawana religious tolerance, its very unfortunate. Niliishi Unguja kipindi fulani, nyakati za mfungo zilikuwa ngumu sana kwa mkristo yoyote, kuna nyakati walifunga speakers karibu na makanisa ili tu watu wakose utulivu katika ibada zao.

Imani ya kikristo, pamoja na kuwa ina madhaifu mengi sana ila inafundisha uvumilivu kiimani.
 
Lakini siyo moslems.
 
Usisahau The Sovereign Military Order of Malta.
 
Uislamu ni ushetani na wanaabudu majini
 
Hata ikitokea umemuangalia kwa muda upitilizao dakika tano ataanzisha vagi.Vagi kama vagi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…