Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k. wala hakuna shida.
Mfano tu kwa hapa Tanzania wakristo ni kama asilimia 65 lakini waislam wana uhuru wa kiimani.
Ila sasa nchi / state ikiwa na waislam hata asilimia 55 kuna uwezekano mkubwa imani nyingine zikaanza kuminywa, kunakuwa hakuna tolerance ya imani zingine.
Na hii sio tuhuma ama tetesi, ni uhalisia wenye shahidi kibao
inapotokea nchi ina waislam wengi basi hata sheria za nchi zinakuwa hazina nguvu mbele ya sheria za kiislam na wote inabidi mzifuate, nchi inahama kutoka secular kuwa religous
MIFANO.
Makanisa yanavunjwa, Ujenzi wa makanisa unaminywa, makanisa kuwa machache huku misikiti ikijengwa kwa uhuru
Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza
Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa
View attachment 2909299
Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,
Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.
View attachment 2909283
Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa
Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja
View attachment 2909277
Eneo likijaa waislam watataka kuanzisha mahakama za sharia na kila mtu afate sharia hata kwa wakristo, katika nchi kama Indonesia ni kawaida kukuta mkristo anapewa adhabu ya sharia hasa viboko,
Huyu kakutwa amelewa huko Zanzibar
View attachment 2909278
Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kisha usubiriuamuzi wa baraza, mfano nchi kama Malaysia