Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Huwezi kuweka giza na nuru pamoja lazima giza lififie mwanga ukiingia, hilo halina mjadala kabisa,
 
Mimi nauliza tu, hao Sunni na Shia wanataka kutawala nini hadi wagombane kama Uislamu ni mmoja ?​
 
Mimi nauliza tu, hao Sunni na Shia wanataka kutawala nini hadi wagombane kama Uislamu ni mmoja ?​
Niambie ni nchi gani haina utawala wa sehemu mbili ?😅😅😅

Mtume alisema kila ummah una fitna ila ummah wake fitna ni mali , uongozi kwa ujumla wealthy kwa aina yeyote utagawa watu.

Hao ni sehemu ya siasa na tamaa za watu ila sio uislamu ,nenda hata makanisa bado watu wanagombana hata uende ndani ya CCM na Chadema wanapingana pale vatican wapo wanampinga papa..Hate uende pale Bakwata watu bado wanapingana .

Kumuita mtanzani sunni au shia sio saw maana ni jamii ya kule sio sio Tanzania.
 
Ushaanza kutetea 😅😅😅ulikuwa mdogo sana Nyerere wale walipigania uhuru mpaka Bi titi alimsweka ndani..


Nenda kamuulize babu yako palikuwa na haja gani kulimaliza jiji la pili kiuchumi miaka ile .
Bibi titi huyu aliyepanga njama za mapinduzi?,kwahiyo ulitaka wachekewe na kwa taarifa tu wakristo walikuwepo walioswekwa ndani pamoja nao lakini hata hivyo walisamehewa.
 
Bibi titi huyu aliyepanga njama za mapinduzi?,kwahiyo ulitaka wachekewe na kwa taarifa tu wakristo walikuwepo walioswekwa ndani pamoja nao lakini hata hivyo walisamehewa.
Ile safu ya kupambania uhru wakristo hata 10% hawafiki, kiufupi Nyerere ndio kusaidia kukuza ukatoliki Tanganyika haipingwi ndio karudisha nchi nyuma
 
Utawala wa Kiislamu uko wapi sasa hadi Sunni na Shia waendelee kugombana ?​
Sunni na shia ni jamii mbili tofauti kila mmoja anaishi sehemu yake ...wanajitegemea kwani ulishasikia hapa Tanzania wakipigana ? Wale wapo sehemu moja kwingine wanafuata mkumbo ... Waislamu 80% hata hawajui sunni ni wpi na shia ni wap?

Hapa kwetu hata ukisikia mkristo anasema tumeshindwa kuoana kwa vile ni msabato na mkatoliki
 
Pamoja na kuwa sikusudii kubadilisha mada yako
Naomba unitajie Nchi walau 5 zenye Wakristo kwa asilimia 90 (hata sio hiyo 99% uliyo iliyotaja) kwani nikisema 99% unaweza ukaambulia sifuri
Mkuu angalia uingereza sasa hasa hasa london
 
Uwe unajielimisha mkuu,hayo madhehebu ya kiislamu kila mmoja ana taratibu zake na hata miundo ya misikiti ipo tofauti na ni hapa bongo,lete maneno
😅😅Hamna muundo wa msikiti kwa sababu mambo mengi ni uzushi hayapo ,kama wanatumia kitabu kimoja inakuwaje pawe na miundo tofauti?

Ujnzi wa majengo kama msikitini kuna vigezo vya kisheria hata nyumba ile ya kawaida inaweza kuwa msikitini, halafu kuna kufanya sehemu ya ibada ivutie inawezekana hata Mtume hakuwahi kuswali kweny majengo kama ya sasa...Sio mbaya kuwa na majengo mazuri na makubwa ila hayana maana mbele ya ibada nyumba nyingi zina prayer room pia ni msikiti.

Ujenzi hauna tija maana hata mmoja anaweza kumuiga mwenzie kikubwa uelekeo ndio uniformity mengine hata mavazi hayana tija kikubwa yafunike uchi kisheria kwa wanawake na wanaume.
 
Nyerere ana ushawishi gani aukuze ukatoliki,japo mimi sio mkatoliki lakini nikupe tu taarifa,idadi ya waumini wa katoliki duniani inazidi ya waislamu wote.
Basi huyo ndio kakuza ukatoliki nakupa task ndogo sana ,siku ya kumbukumbu ya Nyerere makanisa katoliki wanakuwa na ibada maalamu ili kuenzi mchango wake.
 
Kama Uislamu ni mmoja kwanini kuwe na makundi mbalimbali yanayovutana ?

Hapa Tanzania Sunni wapo na Shia wapo, hata kama hawavutani ila hawakai pamoja. Ni wewe tu ambaye unataka kulazimisha ionekane kwamba kila kitu kiko sawa, ila haiko hivyo. Hata sisi tunapoangalia sheria za kiislamu, tunaambiwa Tanzania ndani ya Sunni kuna dhehebu dogo la Shafii (Shafi Moslems) ambalo ndiyo kubwa hapa Afrika Mashariki. Wewe unavyopinga nakushangaa kweli.​
 
Sasa hayo makundi hayana uhusiano na uislamu ni jamii zao binafsi ,kuhitilafiana kulikuwepo mpaka Mtume anaondoka alishasema watu wafuate Uislamu tu hayo makundi mengine yatazuka ni upotofu..
 
Ni ujinga tu waislamu wa huku Buza. Nimetembea Senegal ina 95% Waislamu lakini hawana hizi ushamba kwanza za kuwa na sigida usoni, kunyanyasa Wakristu hata kuwabagua. Ni hawa wa huku kwetu tu akina Ponda ndiyo wana mambo ya kindezi
Unachosema sahihi kabisa. Kwangu waislamu wa Senegal ni watu exceptional. Nimefika pia. Hakuna waislamu wa kufananishwa nao. Wale watu wamepevuka mno. Ni waislamu wa tofauti na waislamu wa dunia nzima naweza kusema. Inapaswa waislamu wakajifunze kwa waislamu wa Senegal.
Kuna waislamu wajingawajinga wengi hapa duniani.
 
Mkuu tukifuata historia sehemu kubwa ya uislamu imeteka kwenye uenezi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…