Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha

Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?

Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k. wala hakuna shida. Mfano ni hapa Tanzania bara wakristo ni kama asilimia 65 lakini waislam wana uhuru wa kiimani.

Ila sasa nchi / state ikiwa na waislam hata asilimia 51 kuna uwezekano mkubwa imani nyingine zikaanza kuminywa, kunakuwa hakuna tolerance ya imani zingine.

Na hii sio tuhuma ama tetesi, ni uhalisia wenye shahidi kibao

inapotokea nchi ina waislam wengi basi hata sheria za nchi zinakuwa hazina nguvu mbele ya sheria za kiislam na wote inabidi mzifuate, nchi inahama kutoka secular kuwa religous

MIFANO.

Makanisa yanavunjwa, Ujenzi wa makanisa unaminywa, makanisa kuwa machache huku misikiti ikijengwa kwa uhuru

Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza

Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa

View attachment 2909299


Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,

Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.

View attachment 2909283

Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa

Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja

View attachment 2909277

Eneo likijaa waislam watataka kuanzisha mahakama za sharia na kila mtu afate sharia hata kwa wakristo, katika nchi kama Indonesia ni kawaida kukuta mkristo anapewa adhabu ya sharia hasa viboko,

Huyu kakutwa amelewa huko Zanzibar

View attachment 2909278

Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kisha usubiri uamuzi wa baraza, mfano nchi kama Malaysia
Huwezi kuweka giza na nuru pamoja lazima giza lififie mwanga ukiingia, hilo halina mjadala kabisa,
 
Unajua hao watu wanatokea sehemu gani ?😅😅Sunn na shia hawapo kweny vitabu vya waislamu na uislamu unatambua madhehebu ni upotofu kwa vile hakuna kitu kama hicho ..

Sunni na shia wametokana na koo mbili zilizotaka kutawala yaani kusimamisha uongozi wa kutawala ila hawana uhusiano na uislamu ,kama vile CCM na Chadema ngoma haikai chungu kimoja.
Mimi nauliza tu, hao Sunni na Shia wanataka kutawala nini hadi wagombane kama Uislamu ni mmoja ?​
 
Mimi nauliza tu, hao Sunni na Shia wanataka kutawala nini hadi wagombane kama Uislamu ni mmoja ?​
Niambie ni nchi gani haina utawala wa sehemu mbili ?😅😅😅

Mtume alisema kila ummah una fitna ila ummah wake fitna ni mali , uongozi kwa ujumla wealthy kwa aina yeyote utagawa watu.

Hao ni sehemu ya siasa na tamaa za watu ila sio uislamu ,nenda hata makanisa bado watu wanagombana hata uende ndani ya CCM na Chadema wanapingana pale vatican wapo wanampinga papa..Hate uende pale Bakwata watu bado wanapingana .

Kumuita mtanzani sunni au shia sio saw maana ni jamii ya kule sio sio Tanzania.
 
Ushaanza kutetea 😅😅😅ulikuwa mdogo sana Nyerere wale walipigania uhuru mpaka Bi titi alimsweka ndani..


Nenda kamuulize babu yako palikuwa na haja gani kulimaliza jiji la pili kiuchumi miaka ile .
Bibi titi huyu aliyepanga njama za mapinduzi?,kwahiyo ulitaka wachekewe na kwa taarifa tu wakristo walikuwepo walioswekwa ndani pamoja nao lakini hata hivyo walisamehewa.
 
Bibi titi huyu aliyepanga njama za mapinduzi?,kwahiyo ulitaka wachekewe na kwa taarifa tu wakristo walikuwepo walioswekwa ndani pamoja nao lakini hata hivyo walisamehewa.
Ile safu ya kupambania uhru wakristo hata 10% hawafiki, kiufupi Nyerere ndio kusaidia kukuza ukatoliki Tanganyika haipingwi ndio karudisha nchi nyuma
 
Utawala wa Kiislamu uko wapi sasa hadi Sunni na Shia waendelee kugombana ?​
Sunni na shia ni jamii mbili tofauti kila mmoja anaishi sehemu yake ...wanajitegemea kwani ulishasikia hapa Tanzania wakipigana ? Wale wapo sehemu moja kwingine wanafuata mkumbo ... Waislamu 80% hata hawajui sunni ni wpi na shia ni wap?

Hapa kwetu hata ukisikia mkristo anasema tumeshindwa kuoana kwa vile ni msabato na mkatoliki
 
Pamoja na kuwa sikusudii kubadilisha mada yako
Naomba unitajie Nchi walau 5 zenye Wakristo kwa asilimia 90 (hata sio hiyo 99% uliyo iliyotaja) kwani nikisema 99% unaweza ukaambulia sifuri
Mkuu angalia uingereza sasa hasa hasa london
 
Uwe unajielimisha mkuu,hayo madhehebu ya kiislamu kila mmoja ana taratibu zake na hata miundo ya misikiti ipo tofauti na ni hapa bongo,lete maneno
😅😅Hamna muundo wa msikiti kwa sababu mambo mengi ni uzushi hayapo ,kama wanatumia kitabu kimoja inakuwaje pawe na miundo tofauti?

Ujnzi wa majengo kama msikitini kuna vigezo vya kisheria hata nyumba ile ya kawaida inaweza kuwa msikitini, halafu kuna kufanya sehemu ya ibada ivutie inawezekana hata Mtume hakuwahi kuswali kweny majengo kama ya sasa...Sio mbaya kuwa na majengo mazuri na makubwa ila hayana maana mbele ya ibada nyumba nyingi zina prayer room pia ni msikiti.

Ujenzi hauna tija maana hata mmoja anaweza kumuiga mwenzie kikubwa uelekeo ndio uniformity mengine hata mavazi hayana tija kikubwa yafunike uchi kisheria kwa wanawake na wanaume.
 
Nyerere ana ushawishi gani aukuze ukatoliki,japo mimi sio mkatoliki lakini nikupe tu taarifa,idadi ya waumini wa katoliki duniani inazidi ya waislamu wote.
Basi huyo ndio kakuza ukatoliki nakupa task ndogo sana ,siku ya kumbukumbu ya Nyerere makanisa katoliki wanakuwa na ibada maalamu ili kuenzi mchango wake.
 
Sunni na shia ni jamii mbili tofauti kila mmoja anaishi sehemu yake ...wanajitegemea kwani ulishasikia hapa Tanzania wakipigana ? Wale wapo sehemu moja kwingine wanafuata mkumbo ... Waislamu 80% hata hawajui sunni ni wpi na shia ni wap?

Hapa kwetu hata ukisikia mkristo anasema tumeshindwa kuoana kwa vile ni msabato na mkatoliki
Kama Uislamu ni mmoja kwanini kuwe na makundi mbalimbali yanayovutana ?

Hapa Tanzania Sunni wapo na Shia wapo, hata kama hawavutani ila hawakai pamoja. Ni wewe tu ambaye unataka kulazimisha ionekane kwamba kila kitu kiko sawa, ila haiko hivyo. Hata sisi tunapoangalia sheria za kiislamu, tunaambiwa Tanzania ndani ya Sunni kuna dhehebu dogo la Shafii (Shafi Moslems) ambalo ndiyo kubwa hapa Afrika Mashariki. Wewe unavyopinga nakushangaa kweli.​
 
Kama Uislamu ni mmoja kwanini kuwe na makundi mbalimbali yanayovutana ?

Hapa Tanzania Sunni wapo na Shia wapo, hata kama hawavutani ila hawakai pamoja. Ni wewe tu ambaye unataka kulazimisha ionekane kwamba kila kitu kiko sawa, ila haiko hivyo. Hata sisi tunapoangalia sheria za kiislamu, tunaambiwa Tanzania ndani ya Sunni kuna dhehebu dogo la Shafii (Shafi Moslems) ambalo ndiyo kubwa hapa Afrika Mashariki. Wewe unavyopinga nakushangaa kweli.​
Sasa hayo makundi hayana uhusiano na uislamu ni jamii zao binafsi ,kuhitilafiana kulikuwepo mpaka Mtume anaondoka alishasema watu wafuate Uislamu tu hayo makundi mengine yatazuka ni upotofu..
 
Ni ujinga tu waislamu wa huku Buza. Nimetembea Senegal ina 95% Waislamu lakini hawana hizi ushamba kwanza za kuwa na sigida usoni, kunyanyasa Wakristu hata kuwabagua. Ni hawa wa huku kwetu tu akina Ponda ndiyo wana mambo ya kindezi
Unachosema sahihi kabisa. Kwangu waislamu wa Senegal ni watu exceptional. Nimefika pia. Hakuna waislamu wa kufananishwa nao. Wale watu wamepevuka mno. Ni waislamu wa tofauti na waislamu wa dunia nzima naweza kusema. Inapaswa waislamu wakajifunze kwa waislamu wa Senegal.
Kuna waislamu wajingawajinga wengi hapa duniani.
 
Sikia ndugu kabla ya hawa jamaa kuingia nchi za kiislamu palikuwa tulivu ,ubaya wa wakristo wanataka kulazimisha tamaduni zao za hovyo ulimwengu.

Vita ya kwanza duniani walichapana ila Adolf Hitler pamoja na kuwaua mamilion ya waisrael mpake leo hajawahi kuitwa "Gaidi" ...Hawa jamaa wanalazimisha domination hapo lazima pawe na tatizo.


Wanapandikiza watawala weny itikadi zao kweny nchi za watu yaani mpaka korea kule wanazidi kufitinsha majirani ,hapo china bado wanachochoa .


Dunia haitokuwa sawa mpaka hawa watulie nchi mwao ,Qur an ilishasema hawa ni chanzo cha matatizo na hawafai kabisa kuwa duniani kama hawatobadili.


Leo hapo USA uislamu unakuwa kwa kasi yale majimbo yenye waislamu wengi hata vurugu hakuna.
Mkuu tukifuata historia sehemu kubwa ya uislamu imeteka kwenye uenezi wake
 
Back
Top Bottom