Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

Biblia moja ya kitabu pendwa sana waislamu wameacha quran wanatumia biblia Ahsante yesu

Bwana Yesu alisema:

Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.

Mathayo 7.6

Mbwa na nguruwe ni watu wa mataifa yasiyokuwa wana wa Israili.

Ukristo haufai kufundishwa watu wo wote isipokuwa Mayahudi.

Hayo ndiyo mawazo ya Yesu, au ya hao walioandika Injili na wakatia maneno hayo kinywani mwa Yesu.
 
YESU KATUMWA KWA WANA WA ISRAELI TUUUUUUUUUUU

Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akisema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana, unisaidie. akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani za bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.

Mathayo 15.21-28

Kwa maneno yasiotatanisha Yesu Kristo anasema kuwa yeye hakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."

Hakuwajia Waarabu,

wala Wazungu,

wala Wahindi,

wala Waafrika,

wala Machina.

Kama hayo hayakutosha kuonyesha kuwa yeye hakuwajia wasio Mayahudi anazidi kufahamisha kwa mfano wa kumkata mtu kiu: Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
Biblia moja ya kitabu pendwa sana waislamu wameacha quran wanatumia biblia Ahsante yesu
 
Biblia moja ya kitabu pendwa sana waislamu wameacha quran wanatumia biblia Ahsante yesu

Tukiendelea na isemavyo Biblia juu ya ujumbe wa Yesu tunapata ushahidi zaidi kutokana na Injili ya Mathayo:

Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Mathayo 10.5-6

Hao Thenashara ni wanafunzi wake kumi na mbili aliowateua mwenyewe Yesu kutangaza mafunzo yake.

Hapo anawapa amri zilizo wazi kuwa wasiwaendee watu wa Mataifa, yaani wasiokuwa Waisraili.

Hao wanafunzi kumi na mbili ndio wanaoitwa katika Biblia "mitume" kwa kuwa walitumwa na Yesu.

Na wao kama yeye mwenyewe hawakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa Israel" kwani "si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa."
 
Kwa nini Yesu alisema maneno kama haya ya kukataa na kukataza kuwafunza dini ila Waisraili tu?

Kwa nini alitumia mifano mibaya kama hivyo "mbwa" na "nguruwe" kwa kuwakusudia hao watu wengine wasio Mayahudi, yaani ndio mimi na wewe mwenzangu?

Wataalamu wa Kikristo na wasio Wakristo wamestaajabishwa na maneno hayo.

Ni maneno machache katika aliyoyasema Yesu ambayo yamewatatiza wasomaji Wakristo kuliko maneno haya.

Wapo wanaoona kuwa Yesu alitumia matusi yale kuwaita wote wasio Mayahudi kufuata mwenendo wa Kiyahudi, yaani ndio hivyo Mayahudi wawaonavyo binaadamu wote wasio kuwa wao.

Na wapo wasemao kuwa Yesu akipenda kufunza kwa mifano, na hivyo anafananisha kama kwamba yeye anaamini hiyo imani mbovu ya Kiyahudi ya kudharau watu wasiokuwa kabila yao.
 
Biblia moja ya kitabu pendwa sana waislamu wameacha quran wanatumia biblia Ahsante yesu

Yesu alionya, lakini Paulo hakusikia:

"Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie.

Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.

Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na wakawararua."

Yaliyosemwa yamekuwa.

Kwa kitendo cha Paulo kuwaingiza mapagani wa Kizungu katika dini ya Yesu sharia ya Mwenyezi Mungu ikaambiwa ni laana, ikatolewa ruhusa kula nyamafu, nguruwe na damu, na kila kiuzwacho sokoni bila ya kutia wasiwasi wo wote katika dhamiri.

Tohara aliyoamrishwa Ibrahimu na Mwenyezi Mungu na Manabii wote wakaifuata mpaka mwenyewe Yesu na wanafunzi wake, Paulo aliipuuza kuwaridhi makafiri.

Imani za kipagani za mungu mwana na utatu zilizoenea katika mila za Mithra, Osiris, Attis n.k. zikaingizwa katika dini ya Kikristo.
 
Biblia moja ya kitabu pendwa sana waislamu wameacha quran wanatumia biblia Ahsante yesu

Katika ufalme wa mbinguni Yesu ana yakini kuwa hatokuwa nao ila wana wa Israili tu.

Injili ya Mathayo inasema:

Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.

Mathayo 19.28

Hata katika maombi yake inaonyesha kuwa Yesu alikuwa anajua mipaka yake na uwezo wake.

Madai ya kuwa yeye ni mwombezi, mbali kuwa ni mwokozi, wa ulimwengu mzima ni kumsingizia jambo ambalo mwenyewe hakulidhania.

Kumpa mtu cheo asichokuwa nacho ni kumtukana, ni kumvika kilemba cha ukoka, kama Mayahudi walivyotaka kumkejeli kwa kumvika taji la miba.

Cheo alicho nacho kwa hakika si kidogo.

Kuwa ni Mtume wa Mwenyezi Mungu miongoni mwa Mitume na Manabii watukufu ni jambo kuu kweli kweli.

Kuwa mtumishi wa Mwenyezi Mungu mwenye kupendeza si utukufu mdogo.

Na Yesu alitafakhari nao, na alitafakhari kuwa yeye hakutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa Ki-Israili.

Na hayo si kwa upungufu wo wote kwa upande wake, ila ni kuutumikia ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa kuulinda usiharibiwe na washirikina mpaka ufike wakati wa kuja huyo atayekuwa kazi yake ni kuitangazia risala ya Mungu kwa ulimwengu mzima.

Katika Injili ya Yohana ananukuliwa Yesu kusema:

Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa.

Yohana 17.9
 
Yesu hakuhusu wewe sio muisraeli

Yesu hakuhusu wewe so muisraeli

Katika Injili ya Yohana ananukuliwa Yesu kusema:

Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa.

Yohana 17.9
Biblia moja ya kitabu pendwa sana waislamu wameacha quran wanatumia biblia Ahsante yesu
 
Biblia moja ya kitabu pendwa sana waislamu wameacha quran wanatumia biblia Ahsante yesu
Yesu hakuhusu usijipakazie
Katika Injili ya Yohana ananukuliwa Yesu kusema:

Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa.

Yohana 17.9
 
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha

Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ?

Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru wa kiimani kuanzia kujenga misikiti bila figisu, kuweka spika za adhana, kuvaa hijab, kufunga barabara wakisali, n.k.

mifano tunaweza kuzitizama nchi jirani Ghana na Nigeria, kwa upande wa Ghana wakristo ni wengi 71% lakini imani za waislam zinaheshimiwa, wakati huo huo nchi jirani ya Nigeria waislam wapo 53% lakini kumekuwa na matukio ya kuukandamiza ukristo, pia hapa kwetu Tanzania Bara wakristo ni wengi zaidi huku imani za kiislam zikiheshimiwa lakini visiwani Zanzibar kulikojaa waislam hali ni tofauti.

Nchi zilizojaa uislam ni kawaida sana kusikia makanisa yamechomwa, yamebomolewa, n.k. wala sio jambo la kushangaza

Mfano ni hapo Zanzibar mwaka 2022 Kanisa pamoja na makazi ya Mchungaji wake, yalibomolewa kwa kisingizio cha hali ya hewa

View attachment 2909299

Hii ni juzi tu hapo jumamosi iliyopita kanisa la katoliki lilishambuliwa.
View attachment 2909578

Nchi hizi nyingi kikifika kipindi cha mfungo, huwa hakuna kula hadharani, ukikamatwa unaweza kufungwa, kupigwa, n.k. hakuna uhuru kabisa wa kiimani. Cha ajabu ni kwamba wanashindwa kufata sheria zilizoainishwa kwenye Quran kwamba mfungo ni wa watu maalum tu, sio kila mtu inabidi afunge,

Kwa Zanizbar mfungo wa Ramadhani ukikutwa unakula hadharani utapigwa na hata kufungwa rumande wiki kadhaa, Pichani ni wakristo wakipigwa baada ya kukutwa wanakula mchana huko Pemba.

View attachment 2909283

Biashara za pombe zinaminywa sana tena kwa maksudi kabisa, mfano Zanzibar wanaofungua Bar huwa wanafanyiwa figisu za kutosha, sheria ya nchi inakuruhusu lakini itapuuzwa

Huko Nigeria kuna maeneo yana mpaka askari wa kiislam, ukikutwa unauza bia ni tatizo, hapa wanazivunja vunja

View attachment 2909277

Eneo likijaa waislam kuna uwezekano mkubwa watataka watu wa eneo hilo hata wasio waislam wafate sheria za kiislam na ataekiuka wanaona wana haki ya kumuadhibu,

Huyu kakutwa katulia anajinywea zake bia zake huko Zanzibar, wakaanza kumpiga bakora bila kujali kama imani yake inamruhusu kunywa,

View attachment 2909278

taasisi za elimu kama vyuo vya kikristo wala haviingilii uhuru wa wanafunzi wa kislam lakini kwa upande wa vyuo vya kiislam hali ni tofauti, mfano chuo cha kiislam cha Morogoro hairuhusiwi kwa mwanafunzi kutembea au kukaa wawili mwanamke na mwanaume hata kufanya discussion isipokuwa awepo mtu wa tatu, kuna video iliwahi kuvuja ikionyesha watu wazima wa chuo hicho wakidhibiwa kwa viboko.

View attachment 2910122

Nchi kadhaa zimepitisha sharia (sheria kwa mujibu wa uislam) zenye mahakama zake, inatakiwa wote mfuate sharia hata kama si muumini wa dini ya kiislam, Mfano nchi kama Malaysia, Ukiwa mwislam ukitaka kuhama dini inabidi utoe maelezo ya kina kwenye mahakama ya kiislam kisha usubiri uamuzi wao kama utakubaliwa
Dini ni ukristo,uislam ni kikundi cha kigaidi.
 
Biblia moja ya kitabu pendwa sana waislamu wameacha quran wanatumia biblia Ahsante yesu

yesu anakuambia wewe ni mbwa tu , hakuhusu

Yesu hakuhusu wewe sio muisraeli

Katika Injili ya Yohana ananukuliwa Yesu kusema:

Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa.

Yohana 17.9
 
yesu anakuambia wewe ni mbwa tu , hakuhusu

Yesu hakuhusu wewe sio muisraeli

Katika Injili ya Yohana ananukuliwa Yesu kusema:

Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa.

Yohana 17.9
Sawa mimi ni mbwa wewe, mimi nimeridhia Yesu kuniita mbwa we,
Yesu kasema mimi sio muisrael ila nimeamua kumfuata we unapungukiwa nini

Why don't you mind your own business
Ndo maana tunasema uislamu ni dini ya fujo na waislamu wengi hawana busara na ustaarabu

Mimi siwezi poteza mda kwa kutafuta mapungufu kwenye dini ya uislamu au hindu na kuwatukana ili insaidie nini

Mimi naheshimu dini yako lakin wewe hueshimu nachoamin ndo utofauti wangu mimi na wewe

"Biblia moja ya kitabu pendwa sana waislamu wameacha quran wanatumia biblia Ahsante Yesu"
 
Sijakuita wewe ni mbwa ni Bwana Yesu kwa mujibu wa Yohana ametuita hivyo , sisi tusio waisraeli ni mbwa

Sijakuambia utafute mapungufu, mimi nanukuu biblia kama ilivyo, wewe huna kitabu kinachoitwa biblia , unakasirika kitu gani ??

Mimi naelewa unacho amini isipokuwa biblia sio ya dini yako, kwani hakuna mahali imeandikwa ukristo ni dini , pia wewe ni mkristo wa kanisa lipi na biblia yako ni ipi ??

Usikasirike kama hutaki mezea tu
 
Sijakasirika
Sisi tumekubali kuitwa mbwa wewe kinachokuuma ninini

Yesu alikuja kwa ajili ya waisraeli ila sisi tumeamua kumuamini wewe inakuhusu nini

Ndo maana nasema waislamu sio wastaarabu ungekua mstaarabu usingepoteza mda kutafuta mistari ambayo kwa akili yako unadhani ukiiweka huku utabadilisha watu misimamo yao

Maisha sio marahisi hivyo
 
Sawa mimi ni mbwa wewe, mimi nimeridhia Yesu kuniita mbwa we,
Yesu kasema mimi sio muisrael ila nimeamua kumfuata we unapungukiwa nini

Why don't you mind your own business
Ndo maana tunasema uislamu ni dini ya fujo na waislamu wengi hawana busara na ustaarabu

Mimi siwezi poteza mda kwa kutafuta mapungufu kwenye dini ya uislamu au hindu na kuwatukana ili insaidie nini

Mimi naheshimu dini yako lakin wewe hueshimu nachoamin ndo utofauti wangu mimi na wewe

"Biblia moja ya kitabu pendwa sana waislamu wameacha quran wanatumia biblia Ahsante Yesu"

Tukiyachungua vilivyo maneno ya Yesu kama yalivyosimuliwa na Mathayo na Marko ya kuwa yeye alitumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israili.

Maamrisho yake yalio wazi kuwapa "mitume" wake wasende kwenye mataifa mengine isipokuwa Mayahudi tu, na kuwa yeye na wanafunzi wake kumi na mbili watakaa katika viti vyao vya utukufu wakizihukumu kabila kumi na mbili za Israili katika ulimwengu mpya wa mbinguni.

Hatuwezi ila kuhukumu kuwa hao watu anaowaombea Yesu ni hao hao waliokwisha tajwa kabla, yaani wana wa Israili, sio ulimwengu, sio mimi na wewe.

Mimi na wewe si Wana wa Israili.

Mimi na wewe ni mataifa mengine.

Mimi na wewe na ulimwengu, usiokuwa wa Kiyahudi, Yesu kesha sema hatuombei, ikiwa tutakubali maneno yaliyoandikwa katika Injili zote.
 
Sawa Yesu hatuombei ila mimi na wakristo tumeamua kumfuata tatizo liko wapi au wewe unapungukiwa na nini
 
Sijakasirika
Sisi tumemubali kuitwa mbwa wewe kinachokuuma ninini

Yesu alikuja kwa ajili ya waisraeli ila sisi tumeamua kumuamini wewe inakuhusu nini

Ni jambo linalojuulikana katika historia - na hata ukisoma katika Biblia kitabu cha Matendo ya Mitume utaona - ya kuwa Ukristo kwanza haukuhubiriwa kwa mataifa mengine mpaka alipoingia Paulo.

Na yeye alipingwa vikali sana kwa kutoa shauri hiyo na wanafunzi wake Yesu waliomwona na wakawa naye siku zote na wakajifunza vilivyo mafunzo yake na makatazo yake ya kwenda kuwahubiria watu ambao bado ni makafiri.

Busara ya Mwenyezi Mungu kukataza mafunzo ya Yesu yasikiuke mipaka ya Israili ni kuwa isije dini ya haki ikaharibiwa na ushirikina wa makafiri ulioenea pande zote katika zama zile.

Ulimwengu ulikuwa bado haujawa tayari kupokea ujumbe wa ulimwengu mzima, na huyo mwenye kuweza kubeba ujumbe ule hajazaliwa, na umma wa kutimiza jambo hilo na kulieneza bado haujapikika ukawa tayari.

Yaliyotokea tumeyaona.

Ukristo tuuonao na ulioenea ulimwenguni sio Ukristo aliofundisha Yesu.

Wa Yesu ulitoweka na mwenyewe na wafuasi wake wa mwanzo wa kabila la Kiyahudi.

Paulo kaufuja Ukristo.
 
Back
Top Bottom