Can you date a guy without asking him for Money?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ndio maana una hasira, tafuta pesa hadi wote utuone wazuri.
Pesa ninazo,kama una bisha leta namba ya wakala wa hapo mtaani kwenu buza nikurushie hela ya wine,pussy wewe!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ndio maana una hasira, tafuta pesa hadi wote utuone wazuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Hata hamjachelewa mjini, mjini pia watu wanapenda wasio omba omba
 
tatizo hapo unasema utaona Yaan huwa hamuoni jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallahi nimecheka kwa nguvu, huwa wanasema wataona ila ndiyo hadi waone sasa. [emoji2296][emoji2296]
 
Jael, Atu, Zoe na wenzako niwape rai moja kwamba, ukipenda kuomba pesa kuwa na tabia ya kuitafuta hiyo pesa, usipenda kupenda pesa huku unategemea pesa ya kutoka mfukoni mwa mwanaume wako. Wanawake wengi mnanyanyasika kwa sababu wengi wenu hamna FINANCIAL FREEDOM.
 
tatizo hapo unasema utaona Yaan huwa hamuoni jamani
Tehteh...msomali wapo tunaoona saana.....

Ila wasioona wapo wengii.

Mwanamke anayeomba pesa anatabia mbaya au alikuwa kwenye mahusiano na mwanaume aliyekuwa hamsaidii matatizo yake hivyo akamzoesha kuomba.
 
Mkuu kule juu si nilishakueleza kuwa pesa tunatafuta ila lazima na zenu tuzitumiepo kidogo acheni uchoyo watoto wa kiume
 
Pesa ninazo,kama una bisha leta namba ya wakala wa hapo mtaani kwenu buza nikurushie hela ya wine,pussy wewe!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu kunywa maji ulale, ndoto njema.
 
Hata hamjachelewa mjini, mjini pia watu wanapenda wasio omba omba
Inakuwaje gavana wa Dar, Bashite anawafukuza wale watoto wa kigogo kama ombaomba pale cbe na posta anawaacha hawa ombaomba wa kimapenzi, hili kundi la ombaomba la kimapenzi limekuwa kubwa na kero sana kwa sasa. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😝 😝 😝, Yesu watu watu watanishambulia kama nn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…