Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hata mie sijui kwa kweliWanawake wazuri ni aina gani ya hao wanawake???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie sijui kwa kweliWanawake wazuri ni aina gani ya hao wanawake???
We mazoea hebu nenda kasonge ugali bhana! Me wanawake wa jf nawajua 95% vibungo humu ndan
Daaaaah eti mm mdogo wako duuuuh aya bwanaNimekuuliza tu mdogo wangu.
kwa hyo umesema bila kujua kwani.Hata mie sijui kwa kweli
Pesa ninazo,kama una bisha leta namba ya wakala wa hapo mtaani kwenu buza nikurushie hela ya wine,pussy wewe![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ndio maana una hasira, tafuta pesa hadi wote utuone wazuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nigga dieWe mazoea hebu nenda kasonge ugali bhana! Me wanawake wa jf nawajua 95% vibungo humu ndan
Weka picha tuone bas kama kweli we mzuri,utakuta ebitoke tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nigga die
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ndio maana una hasira, tafuta pesa hadi wote utuone wazuri.
Hata hamjachelewa mjini, mjini pia watu wanapenda wasio omba ombaI definitely can date a guy without asking for money. There is something special about a woman who genuinely dates for love than money [emoji3531]
Kumuomba mwanaume hela anae kutongoza ama ambae mpo kwenye mahusiano KWA MTAZAMO WANGU mie Binti1 :
Inaondoa heshima mwanamke kwasabu thamani yako unaifananisha na pesa. Sasa mwanaume atakupa kiasi gani kufikia thamani yako?
Mwisho wa siku unaonekana rahisi....Imagine kupewa 20k,50k, 100k a woman is way worth than that!!
Ku date kwa hela ina maana siku mwanaume akiishiwa au akiyumba hatamdate...so hapo anakua hana upendo wa kweli!!
Nadhani mwanaume pia atakua comfortable kumheshimu mwanamke asiyeomba hela .Na ikitokea ameomba ni kwasababu genuine labda amekwama kwenye jambo na anahitaji support.
Sasa mwanamke anaepiga mzinga kila siku anaweza kupata na shida akakosa msaada mkubwa kwasababu siku zote anaomba hela zisizo na msingi.
Na sijui nani ametuharibu wadada wa siku hizi.Kigezo kikubwa cha ku date mwanaume lazima awe na hela. Matokeo yake unajikuta unakosa upendo wa kweli.
Tusio omba hela tutaonekana washamba na tumechelewa mjini [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallahi nimecheka kwa nguvu, huwa wanasema wataona ila ndiyo hadi waone sasa. [emoji2296][emoji2296]tatizo hapo unasema utaona Yaan huwa hamuoni jamani
Hapana twin exclude you!! We nakurespect sana twin...we ni level za juu!!twin ake hadi mimi?[emoji24][emoji24]
Sawa, nimeihukua tayari.We naye naona unataka kunichosha tu hapa
Sasa ni date au penpal?
Tehteh...msomali wapo tunaoona saana.....tatizo hapo unasema utaona Yaan huwa hamuoni jamani
Kwani ebitoke mbaya? Mbona mzuri tu dada wa watu eti!Weka picha tuone bas kama kweli we mzuri,utakuta ebitoke tu
Mkuu kule juu si nilishakueleza kuwa pesa tunatafuta ila lazima na zenu tuzitumiepo kidogo acheni uchoyo watoto wa kiumeJael, Atu, Zoe na wenzako niwape rai moja kwamba, ukipenda kuomba pesa kuwa na tabia ya kuitafuta hiyo pesa, usipenda kupenda pesa huku unategemea pesa ya kutoka mfukoni mwa mwanaume wako. Wanawake wengi mnanyanyasika kwa sababu wengi wenu hamna FINANCIAL FREEDOM.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pesa ninazo,kama una bisha leta namba ya wakala wa hapo mtaani kwenu buza nikurushie hela ya wine,pussy wewe!
HayaSawa, nimeihukua tayari.
Inakuwaje gavana wa Dar, Bashite anawafukuza wale watoto wa kigogo kama ombaomba pale cbe na posta anawaacha hawa ombaomba wa kimapenzi, hili kundi la ombaomba la kimapenzi limekuwa kubwa na kero sana kwa sasa. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😝 😝 😝, Yesu watu watu watanishambulia kama nn.Hata hamjachelewa mjini, mjini pia watu wanapenda wasio omba omba