Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Hivi we mtu Kiswahili si unakijua vizuri tu?
Hata uandike kijerumani ila inatakiwa utoe pesa bwana we. Acha kudumaa mwisho utaanza kujitafuta wakati its too late.
Mimi natoa sana pesa kwa mwanamke ambae akili yake ina akili pia, mwanamke ambae akili yake haina akili pesa yangu hapati, 6ki mwanamke ambae ni too much dependent sana kwangu, Huko kwetu Marango, Kilimanjaro kuna watu wengi wanahitaji sana pesa Yangu.
 
Unafikiri kipaumbele chetu huwa ni pesa basiii[emoji1787] tunawapenda kweli kweli. Hata huko kuombwa pesa ni dalili nzuri za kupendwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki we ni kimeo sijapata kuona
 
Msidhani wale wanaokwendaga kuombewa wapati waume kwa upepo kisurisuri WALIPENDA..!!! Kwenye usichana wao walikuwa na mitazamo kama hii.... Hela kwanza....!!! Wakapewa hela wazitakazo, watu wakawafanya matusi, wakaona si tumeishiana banaa.... ni kama umenipa bidhaa, nikakupa hela.. hakuna cha zaidi...

WENGI WANOWASUMBUA MITUME NA MANABII KUTAKA KUOBEWA, WALIKUWA NA MITAZAMO HII
 
Siyo nimempata ninaye.

Na anasemaga angekuwa Rais wa nchi angenipa mkoa kabisaaaaa.

Na huduma ninampa next level sasa kwanini nimbanie?

Hajawahi kuona biashara.
Na huwa yuko so proud na hilo.
Sisemi kwamba hawapo.. Wapo... ila wachache... wenzio wataingia mkenge
 
Back
Top Bottom