Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Naunga mkono hoja kwa asilimia zote
case closed 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja kwa asilimia zote
umeolewa?? wanawake kama nyie mmebaki wachache sanaBinafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila mtu akae na chake hadi pale atakapoamua kuwa mwanaume.
umeolewa?? wanawake kama nyie mmebaki wachache sana
Siyo nimempata ninaye.Tuseme umempata anayetoa hela... atapata huduma yenye thamani ya pesa yake? Mana hapo sasa ni biashara
Nimewaza sana mkuu mtoto down to earth kama huyu anastahili kupata hitaji la moyo wake. Inabidi tufanye kitu tumnusuru na mabaharia waharibifu au unasemaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee dah sijui umewaza nn mkuu haha dah
Mimi natoa sana pesa kwa mwanamke ambae akili yake ina akili pia, mwanamke ambae akili yake haina akili pesa yangu hapati, 6ki mwanamke ambae ni too much dependent sana kwangu, Huko kwetu Marango, Kilimanjaro kuna watu wengi wanahitaji sana pesa Yangu.Hivi we mtu Kiswahili si unakijua vizuri tu?
Hata uandike kijerumani ila inatakiwa utoe pesa bwana we. Acha kudumaa mwisho utaanza kujitafuta wakati its too late.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki we ni kimeo sijapata kuonaUnafikiri kipaumbele chetu huwa ni pesa basiii[emoji1787] tunawapenda kweli kweli. Hata huko kuombwa pesa ni dalili nzuri za kupendwa.
Mnazingua mbuz nyinyi,shida zimewajaa mpaka makalionSi njaa zako ndio zilikupeleka kwake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivyo mshibishane tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli, bora viote kutu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila mtu akae na chake hadi pale atakapoamua kuwa mwanaume.
Halafu hilo jina ni la kwako braza vipi tenaOyaa braza hebu twende tukapike.
Sasa si ungesema tangu awali bwana we, tunahangaika hapa kumbe hii ndio shida[emoji134][emoji134]Huko kwetu Marango, Kilimanjaro kuna watu wengi wanahitaji sana pesa Yangu.
Sisemi kwamba hawapo.. Wapo... ila wachache... wenzio wataingia mkengeSiyo nimempata ninaye.
Na anasemaga angekuwa Rais wa nchi angenipa mkoa kabisaaaaa.
Na huduma ninampa next level sasa kwanini nimbanie?
Hajawahi kuona biashara.
Na huwa yuko so proud na hilo.
Mkuu kama hautaki kuhudumia funga zipu tuliaHawa waswahili wana njaa mno,shida zake zote anazihamishia kwako
Kwani unahitaji tuwe wapenzi Jael 🙂 🙂Sasa si ungesema tangu awali bwana we, tunahangaika hapa kumbe hii ndio shida[emoji134][emoji134]
Sasa malizana na watu wa kwenu ndio utafute mwanamke ili nawe ujisikie ni mwanaume.
Ndiyoumeolewa?? wanawake kama nyie mmebaki wachache sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnazingua mbuz nyinyi,shida zimewajaa mpaka makalion
AfadhaliHii lugha sijui lugha gani.
Ukiandika Kiswahili nistue.