Kabla hata hajazuiliwa nadhani hana. Mpango wa kukanyaga huko kabisa. Hata hivyo marekani sio nchi ya kumpa mtu mawazo akizuiliwa kuingia,mimi nikizuiliwa kuingia Asia,ndo nitaumia otherwise, marekani na wote wanoisupport ni mknd tu.Viongozi wa kitaifa wanenda kuingia katika ile list ya watu wasiokubaliwa kuingia Ulaya na marekani, Muda utatupa majibu
Nani aliyeileta? Na umejuaje kama limemtawala hilo neno? Na mada inayohusu tamko libalotoka taifa la mashoga unasemaje ni mada inayohusu jambo lingine?Sio mm niliyeleta mada hiyo kwenye mada inayohusu jambo jingine.
Wacha waisome namba tena hawa wanawake sio wa kuwaonea huruma ndo wapiga kura wa kijani
😂😂 Achana nae mkuu, yaani hapo jibu ni jepesi kabisa.huyo jamaa ni mnafiki sana yaani sijui kama anatumia akili vzuri mbona yeye hajauwawa
Ni kweli hawajataja neno mauaji, wameongelea ukiukwaji wa haki za binadamu na kuchukua hatua. Ukiua umekiuka haki ya binadamu ya kuishi.Hamna sehemu wametaja mauaji, usitunge story yako
Hao Asia wenyewe wanakimbia hukoKabla hata hajazuiliwa nadhani hana. Mpango wa kukanyaga huko kabisa. Hata hivyo marekani sio nchi ya kumpa mtu mawazo akizuiliwa kuingia,mimi nikizuiliwa kuingia Asia,ndo nitaumia otherwise, marekani na wote wanoisupport ni mknd tu.
Nyie mataga muda si mrefu mtajua kuwa hamjuiHawa wanasiasa wa upinzani ni wajinga sana.
Hawajifunzi.
Yaani hadi sasa bado hawajajitambua kuwa waonekana wanatumika.
Yaani huyu
Salary Slip
Quinine ndo waongoza kwa hizi nosense agendas.
😂😂 Achana nae mkuu, yaani hapo jibu ni jepesi kabisa.
Yeye hajafa kwasababu hajaleta chokochoko,wale wamekufa kwasababu wakileta chokochoko za kijinga.Hata yeye akileta chokochoko atawafuata wenzake huko waliko.
hahaha, yupo mzee wetu bwana pole pole......Nchi haina the elders?
Hadi nchi zingine ziseme?
Mm zamani nilikuwa najiuliza huyu Mmarekani mbona nimuonezi hivi kila nchi yeye anadai kunamakosa yamefanyika anaingiza jeshi lakini kuna kitu kilikuwa kinanijia kwani majeshi ya uvamizi kutoka Marekani yanashangiliwa nawananchi waliovamiwa wakati vyombo vyahabari vya nchi zilizovamiwa zinasema utawala wao unawaheshimu raia wake ila kwa nini haya majeshi ya kigeni yashangiliwe na hao raia wakati wamevamiwa?Viongozi wa kitaifa wanenda kuingia katika ile list ya watu wasiokubaliwa kuingia Ulaya na marekani, Muda utatupa majibu
Unajuwa magu ni mjanja sana alitupa chambo hawa wamenasa kwa kuwa alisema kuna makazi mengi na wakikumbuka mgombea Urais wa 2015 kupitia ACT Wazalendo alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa na wao wanahitaji hilo shida ni matumbo yao ndio maana katika kampeni zao utasikia nikishinda mimi nitamchagua Magu nifanye nae kazi wengine wakasema watampa Uwaziri wa ujenzi sasa wao wamelenga walicho kilenga sasa ni zamu yamshindi kulikumbuka hilo atakavyo ona inafaaHawa wanasiasa wa upinzani ni wajinga sana.
Hawajifunzi.
Yaani hadi sasa bado hawajajitambua kuwa waonekana wanatumika.
Yaani huyu
Salary Slip
Quinine ndo waongoza kwa hizi nosense agendas.
Kisa Chadema imepigwa kipigo cha mbwa mtu?Magu atengwe kimataifa.
Tulishazuia safari za nje kitambo sana, sasa sijui watazuia nini?Viongozi wa kitaifa wanenda kuingia katika ile list ya watu wasiokubaliwa kuingia Ulaya na marekani, Muda utatupa majibu
Matamko Kama haya Yana impact yeyote? Wasipotekeleza Kuna lolote litafanyika?Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania to investigate and prosecute those who have violated human rights.
Definitely, lkn haitoshi, only Bombs!Viongozi wa kitaifa wanenda kuingia katika ile list ya watu wasiokubaliwa kuingia Ulaya na marekani, Muda utatupa majibu
Weka uchaguzi usimamiwe na EU au tume huru kama mtapata hata viti 5 na kama Magu atapata hata 20%Mgejitenga na kauli hizi za hao jamaa! Ingewasaidia sana Kisiasa kiasi cha baadhi ya watanzania kurejesha imani yao kwenu. Lakini kadri mnavyozidi kujihusisha na matamko ya jamaa hawa ndiyo mnazidi kuwachefua watanzania!
Aisee, umemaliza hoja yako ?Weka uchaguzi usimamiwe na EU au tume huru kama mtapata hata viti 5 na kama Magu atapata hata 20%