Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Nimemwambia huyo jamaa kwamba kama HiV hayupo aende pale ambiance nimwonyeshe mala.ya mwenye ngwengwe aende akapige kavu kavu tuone kama atakubal..hao watu wanaoongeaga sana ndo waoga ajabu
Unazungumzia kwenda kavu tu ? Kuna watu wamekuwa injected HIV positive Blood ili kuprove Hilo unalosema na hakuna lolote lilitokea ... Bahati mbaya uko nyuma ya taarifa ... Go and search unadhani hayo maswali yako ndio Mara ya kwanza kuulizwa.

Hilo unalotaka nifanye mbona kuna evidence nyingi humu watu wako kwenye ndoa mmoja ni positive na mwingine ni negative. Au hizi evidence huziamini ???

Nenda Vituo vya kupima ukachukue results contradiction zipo tele
 
Kusudio la kutumia ARV kwa mtu mwenye ukimwi ni kuongeza life span,ni kweli ARV zinaathiri figo na ini ndo maana wagonjwa wa ukimwi waliotumia dawa muda mrefu lazima wapimwe renal function test na liver function test kuangalia effect for management,mtu asiyetumia ARV kutoboa miaka 3 ni vigumu sana,lakini anayetumia huishi miaka mingi kidogo japo huwa ghafura baadae kwa sababu ini hufeli

California love
 
Naomba uweke microscopic image za Huyo HIV hapa .. Na ukifanikiwa kumuweka hapa naomba mnitoe Jamii forum !!!

Kwab hiyo unabishana na Kary Mullis ? Msikikize Kary Mullis mgunduzi wa hicho kifaa Cha PCR na kazi uliyoonesha eti ndio PCR inachokifanya.
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi

Hapo mwisho, kwahiyo ni bora mtu asinywe dawa kama hana uhakika wa kuzimeza mpaka mwisho?
 
Ndio mkuu mtumiaji mzuri wa ARVs kwa muda wa zaidi ya miezi sita nakuendelea, huwa anaishia kua na viral load ambayo ni undetectable ..napindi mtu anapofikia hapa, huwa hana uwezo wa kuambukiza kwa njia ya ngono.
Na je mkienda kupima, ataonekana -ve?

Nitamgunduaje mwenye HIV kwa macho, yaan kwa haraka haraka kabla ya kupima?
 
Duuuuuuh aseeeeeh hatareeeh sana, kwan Ruge alikuwa ameungua? Sasa km n hivyo mbona wasanii wote wameoza, maan ruge amewala sana wasanii sio wa kike wala kiume. [emoji24][emoji24][emoji24]
Duu mpaka wakiume???
 
Hivi unajua ARV ilikuwa ni Dawa ya cancer ikiitwa AZT? UNAJUA kwanini yenyewe ndio ilikuwa opted kuingizwa kwenye hizi issues ?

Unajicontradict unaposema kusudi la kutumia ARVs kwa mtu mwenye ukimwi ni kuongeza life span, Niambie ni binadamu gani ambae Hana ukimwi!!!! Wewe una ukimwi , Mimi Nina ukimwi na hata watoto wetu wana ukimwi kwa Maana ya AIDS Sasa hiyo life span ya kutokana na ARVs inatokea wapi ... Mbona wewe na Mimi tuna ukimwi na hatutumii ARVs na tunadumu kwanini unataka wenzako watumie na baadae wafe kwa issue za ini na mapafu.

Otherwise uwe hauelewi nini maana ya Ukimwi (aids). Ila kwa maana ya Ukimwi kila mtu ana ukimwi.
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi

Hapo mwisho, kwahiyo ni bora mtu asinywe dawa kama hana uhakika wa kuzimeza mpaka mwisho?
Mtu mmoja ali kataa kuanza kutumia baada ya kugundulika miezi sita tu akaletwa akiwa hoi.

Mwingine alikua mtumiaji mzuri tu sijui alikumbwa nann, akaacha na kaanza kua mlevi, yeye alisepa ghafla .

Mtu mgonjwa asojijua , yeye anaweza kwenda mpaka miaka 10 kwa kuzingatia ana maisha safi lkn hiyo miaka 10 hapo kati anaumwa sanaaaa yaan sanaa tu , kwa hapa bongo na maisha yetu haya, haaaa miaka miwili tu

Mtu alopima leo kaambiwa ni.mgonjwa, akakataa kunywa dawa, kutokana na aina ya maisha atakayopitia, mawazo n.k huyu ana maisha mafupi zaidi kushinda asiyejijua.

Kwaiyo hapa, Watu watumie Dawa pindi tu atakapogundulika, na atumie Dawa kwa usahihi na muda sahihi, nakufuata maelekezo yote apewayo CTC. usipotumia Utaondoka mapema, ukitumia dawa kisha ukaacha utaondoka mapema zaidiii.
 
Hii

California love
 
Hata Sugu Moto chinii, big up kwake[emoji119]
 
Huwezi mgundua kwa macho .

Ukimpima hata kama yupo kwa dozi miaka 10 ataonekana +Ve tu .

Vipimo hivi vinaangalia antibodies against HIV.

Ukipata maambukizi leo, mwili unaanza kuzalisha jeshi(antibodies ) kupambana na HIV, jeshi hili litabakia damuni miaka yote ya maisha yako.

Na kwa maana hiyo, vipimo vitasoma +Ve hata kama viral load ni undetectable
Na je mkienda kupima, ataonekana -ve?

Nitamgunduaje mwenye HIV kwa macho, yaan kwa haraka haraka kabla ya kupima?
 
Asante kwa comments zako ngoja niingie chimbo nirudie kusoma then narudi

California love
 
Duuuh Asante sana mkuu kwa kunitoa tongongo!

Na je zile story za kunywa coca asubuhi kwa mwenye virus akipima inaonesha nega ni uzushi kumbe?

Kwahiyo mtumia mbaazi kuambukiza kwa ngono ndo ngumu ukienda nae dry? But ukimpima ataonesha + ve right away?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana kwahiyo wakininywa mie nawaponesha mweeeeeeh, basi waje waninunue kwa wingi npo dukan kwa mangi nmejaa tele. Bei cheeeh 500 chupa, take away 1000, uwiiiiiiiih
 
Tatzo utamu kaka...sio kwamba wanapenda.tatzo utamu


Ingakuwa wanatafuta utamu basi wangewakubali hadi wanaume Malofa wasio na pesa kama vile wapiga debe wa kwenye vituo vya madaladala[emoji108][emoji108]

Nazani kinawasukuma hasa ni tamaa ya kutaka pesa ya kununua simu za gharama kubwa kwaajili ya show off.

Kupata pesa ya kununua vitu vya ziada vya tamaa n.k

Watoto wafindishwe kuridhika na vitu wala vyonavyo.

Waambiwe wasome wakijapata kazi wataweza kujinunulia mahitaji yao kwa usalama.

Pesa za wanaume zinahatari ya uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa yasiyo na tiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…