Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wewe mtu wa ajabu sana. Nikikwambia ulete uthibitisho wa majibu ya vipimo kuonesha blue na dully wameungua, utaweza kuleta ?Blue kaungua kitambo na duly kitambo sana FA ndo hana...duly ndo kabisaa.sis wengne tunawajua had madem zao waliodanja na ngwengwe tena huyo blue ndo alikua anatembea na dem m1 alikua anasoma st anthonys.kaungua.yaan hyo ilikua 2005..maanina
Yaani kwa mwezi malaria inaua watu 1200-1500 hao Ni watotoTakwimu ya 2019,kwa mwezi malaria ilikua unaua watoto 16-54,hao ni watoto tu.
Kuanzishwa dawa si mpaka CD4 ziwe chini ama?
Mkuu namafamu mama mzee,nimezoea kumwita mama pia mana ni mama wa marafiki zangu ambao tumecheza nao utoto,sasa ni 20+ ana ngoma hata kabla ya RV anadunda,na ajifichi huwa anasema waziwazi yeye anao lakini atumii dawa na hatuoni akiumwa mara kwa mara.unazungumziaje hilo.Ilikua zaman, ikagundulika mtu anayechelewa kuanza dawa, mwitikio utendekazi kazi wa dawa mwilin unakua ni hafifu sana.
Na wengine, wanakuj wakiwa hoi ,na wanapoanza tu wanasepa nakusepa kutokana na Nguvu za Dawa.
Kwaivo , Shirika la Afya Duniani likahitaji wote wanaogundulika kuambukizwa, kuanza dawa mara moja.
Hakuna ukimwi unaosababishwa na HIV. Hakuna HIV na haijawahi kuwepo.Hapa tunazungumzia Ukimwi unaosababishwa na HIV na Sio Ukimwi wa Stress!!
Mkuu hizi ndio scenario tunazozizungumza hapa kuwa zipo ila watu wanaleta ubishi. Hizo contradiction zipo nyingi Sana zinazohitimisha kwa kuwa huu ugonjwa ni porojo na propaganda tuMkuu namafamu mama mzee,nimezoea kumwita mama pia mana ni mama wa marafiki zangu ambao tumecheza nao utoto,sasa ni 20+ ana ngoma hata kabla ya RV anadunda,na ajifichi huwa anasema waziwazi yeye anao lakini atumii dawa na hatuoni akiumwa mara kwa mara.unazungumziaje hilo.
Sasa ukiwa connected kwenye grid ndo utaumwa magonjwa yote ayo ambayo wewe unaya ona ni hatari zaidi.....Wabongo bana Kuna magonjwa hatari Kama kansa au homa ya ini , kisukari na kufeli kwa Figo ndio magonjwa mnapaswa kujiepusha nayo na sio Huo upuuzi eti HIV ... Hizo ni biashara za watu.Ukimwi kila mtu anao.. Kwani nani Hana ukimwi !! Nani Kinga zake huwa hazishuki ? Hata stress zinashusha kinga Sasa mnashangaa Nini.
Achaneni na huo utumwa wa wazungu kuwageuza soko la hizo ARVs zao zinazoenda kuharibu Figo, ini na kusababisha kansa ya shingo ya kizazi kwa wanawake (cervical cancer). Ukifuatilia watu wote wanaotumia ARVs mwisho wa siku hufa na moja ya hayo magonjwa.
Kwa hizi network zilizotajwa humu Kama kweli kungekuwa na uhalisia wa huo upuuzi HIV Basi nchi nzima ingekuwa na waathirika wa ukimwi maana ni nadra kwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja. Halafu hivi tangu lini Kinga zangu kuwa chini zinaweza kumuambukiza mtu mwingine ???
Hivi mnajua stress zinashusha kinga ? Sasa nitawezaje kumuambukiza mtu mwingine mwenye Kinga na mzima kabisa !!! ... Mambo mengine sio mpaka muende vyuon tumien common sense
Acheni ngono zembe msije kupata homa ya ini na magonjwa mengine na sio eti HIV ... Hakuna hicho Kitu guys. Mnateketea kwa kukosa maarifa.
Sawa mtaalamu umepewa offer ukaonyeshwa Demu wa Ambiance mwenye ngoma upige DRY Kisha Utatupa mrejesho maendeleo yako ya kiafya baada ya mechi.Hakuna ukimwi unaosababishwa na HIV. Hakuna HIV na haijawahi kuwepo.
Unataka mimi ndio nipige ???Sawa mtaalamu umepewa offer ukaonyeshwa Demu wa Ambiance mwenye ngoma upige DRY Kisha Utatupa mrejesho maendeleo yako ya kiafya baada ya mechi.
Wewe mtu wa ajabu sana. Nikikwambia ulete uthibitisho wa majibu ya vipimo kuonesha blue na dully wameungua, utaweza kuleta ?
Kumbe kafara huyu shammy kaniuma SanaUwiiiiiiiih kashafariki huko, chezea ubunge weyeeeeeeh kafara muhimu, japo nae tayari alikuwa kweny Grid ya Taifa.
At leastMkuu ngoja nikuambie kitu kimoja. Ni kweli inawezekana hawa wanaoleta hizi habari hawana uthibitisho wa moja kwa moja (mfano cheti cha daktari) kuonyesha hao wasanii wana ngwengwe.
Ila kumbuka unapokua msanii, au mtu maarufu, ni vigumu sana kuficha siri! Hii ni kwasababu mambo mengi unayoyafanya lazima kuna watu watakuona tu. Mfano ukienda hospitali, kuanzia madaktari, manesi, wahudumu kila mtu atakua interested kujua unaumwa nini? Na katika hao wote mmoja tu akishajua ni rahisi kuvujisha taarifa kwa marafiki, mke/mume, nk na hapo ndio habari kama hizi zinafika mitaani na huku JF. Au mfano unakula ARV, hata ufiche vipi lakini kumbuka lazima kuna daktari/nesi anajua, kuna mtu anaekuletea hata kama huendi kupanga foleni, so mmoja wapo anaweza kuvujisha siri.
Mfano mzuri angalia stori za wasanii waliokua wanakula unga. Nyingi zilianzia mitaani na humu JF miaka mingi sana kabla hawajaanza kuugua na kuonyesha dalili zozote. Watu wanajua vitu mkuu, japo hawana hard evidence.
Hii supply chain sio ya nchi hiiDazen alikuwa na jasiri yeaah, but waliachana muda tyuuh kwan jasiri alilowea kwa penzi la mtoto wa kipemba, ndipo majizzo akachukua jimbo kwa dazen, na jasiri alimpiga pin dazen hakuna kutoka paleee, sasa jasiri alivyosepa mazima majizoo akaona achukue mzigo wake aumiliki vizuri, na huyo mtoto wa kipemba now ana milikiwa na jamaa wa kimakonde Jux. Uwiiiiiiiih
Anajua sana sema ndio hivyo anaweka defense mechanism ili ionekana habari za uongo kwasababu hakuna ushahidi wa vipimo kuwa wazi!! Kwani issue ya kibz kuungua si Ma Dr ndio walivujisha ila pia kwa watu waliokuwa nae karibu miaka ya 2007/2008 alikonda balaa!!Mkuu ngoja nikuambie kitu kimoja. Ni kweli inawezekana hawa wanaoleta hizi habari hawana uthibitisho wa moja kwa moja (mfano cheti cha daktari) kuonyesha hao wasanii wana ngwengwe.
Ila kumbuka unapokua msanii, au mtu maarufu, ni vigumu sana kuficha siri! Hii ni kwasababu mambo mengi unayoyafanya lazima kuna watu watakuona tu. Mfano ukienda hospitali, kuanzia madaktari, manesi, wahudumu kila mtu atakua interested kujua unaumwa nini? Na katika hao wote mmoja tu akishajua ni rahisi kuvujisha taarifa kwa marafiki, mke/mume, nk na hapo ndio habari kama hizi zinafika mitaani na huku JF. Au mfano unakula ARV, hata ufiche vipi lakini kumbuka lazima kuna daktari/nesi anajua, kuna mtu anaekuletea hata kama huendi kupanga foleni, so mmoja wapo anaweza kuvujisha siri.
Mfano mzuri angalia stori za wasanii waliokua wanakula unga. Nyingi zilianzia mitaani na humu JF miaka mingi sana kabla hawajaanza kuugua na kuonyesha dalili zozote. Watu wanajua vitu mkuu, japo hawana hard evidence.
Juma n mmakonde wa huko mtwara.Juma ni mmakonde au mpogoro ?
Nilitegemea aunganishe nguvu na konde BoyJuma n mmakonde wa huko mtwara.
Dea jomoneeeeh ubunge mtamu uwiiiiiiiih, usisahau jojo kasababisha mtu aachishwe ugali, mambo n mengi lol.Kumbe kafara huyu shammy kaniuma Sana
Sasa yule yupo town tangu kitambo, huyu konde kachelewa kuja mjini na pia aina za muzic wao n tofauti. Na sidhan km wana connection.Nilitegemea aunganishe nguvu na konde Boy
Dea mjini patamu heri ushinde njaa kuliko kukosa bundle. LolHii supply chain sio ya nchi hii