Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

Carol huwa ana kiherehere flani hivi Rais naye ana utashi kuongea hisia zake sio dhambi as long as havunji sheria anapoongea, waache kumu undermine Rais ingekuwa magufuli asinge dhubutu kusema hvo
Mbona hata wakati wa Magufuli alisema, au umesahau? Aliweka Hadi waraka humu
Kifupi huyu sio mnafki
 
Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Rais Samia ameturudishia uhuru tuliopokonywa na jambo zuri zaidi ni kwamba anakubaliana na changamoto za kutuweka huru. Tumshukuru bwana Mungu wetu...
 
Tunao msapoti Samia tunajua kuna makosa atafanya ni ruksa kukosolewa..
Nyinyi mnae abudu Marehemu ndo kazi kwenu ..
Marehemu keshakufa hata mkimpamba ndo keshakufa
Wape vipande vyao, wakimeza, wakitema shauri yao wimbo safi sana huu, nazichadema mtakula mchanga...piga kelele kwa raisi wetu samia...yaani umewapa la uso
 
Ni kweli mwanzo alikuwa anampa kongole lakini Sasa eti anaponda ni vizuri kumkosoa mtu in positive way na sio Sasa kukosoa opinions za mtu, Rais si mjinga kusema hivo na jamii yetu na mifumo dume na alichopitia ni njia ya kuji express ku heal inner soul, why wamshambulie sasa
 
Anatumia uanamke kama koti la kujikinga asipigwe spana[emoji16]

Au akikoselewa aseme kuwa anaklosolewa kwakuwa yeye ni mwanamke. Ndio maana ya kuwaambia wanawake kuwa wana jambo lao. Nadhani washauri wake wanampoteza kwa kuamua kucheza hiyo karata ya uanamke.
 
Kwa hiyo unahisi waislam wote hawajitambui kama wewe pimbi? Kwa taarifa yako waislam tunaishi nao vizuri! Wewe tu ndo unaona udini maana ndo uliokujaa!

Nani amesema waisilamu wote hawajitambui????

Kuna baadhi ya waisilamu wafuata mkumbo na co wote. Labda ni2mie lugha rahisi unierewe "Waisilamu wengi wanampenda uyu mama, na vilevile wakristo wengi wanampenda uyu mama. Ila wachache wanamchukia kutokana na IMANI/UISLAMU wake na uzanzibari.
 
Walokole wengi hawampendi kwa sababu tu ya udini na uzanzibari wake.
 
Mwanamke ameumbwa kuongoza mwili wake tu ingawa hata huo unamshinda

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Tunao msapoti Samia tunajua kuna makosa atafanya ni ruksa kukosolewa..
Nyinyi mnae abudu Marehemu ndo kazi kwenu ..
Marehemu keshakufa hata mkimpamba ndo keshakufa
hata wewe pia ujue kuna siku utakufa pia na hata unaowasapoti nao hakika watakufa.biblia kwa waamini wa kikristo tunasena dunia na fahari zitapita lkn maneno ya mungu yatabaki kama yalivyo hivyo hata unaowasapoti watapita.ogopa sana kumtegemea mwanadamu sababu hata siku zake za kuishi hapa duniani ni chache tena zinahesabika.
 
Huyo mpumbavu hawezi kukuelewa! Yeye amekariri kila kitu kusifia! Ilitokea unakosoa anaanxa kusema Magufuli!
 
very subjective statement you have to qualify it.hata mwanamme hawezi kuwa 100% perfect but to some extent.
 
Kazi ipo 😁😁:

Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Yule mchora katuni amekamatwa na nani?

Wewe ni mtu wa ndugu yetu katika imani
 
Tunao msapoti Samia tunajua kuna makosa atafanya ni ruksa kukosolewa..
Nyinyi mnae abudu Marehemu ndo kazi kwenu ..
Marehemu keshakufa hata mkimpamba ndo keshakufa
Huoni aibu kumuingiza marehemu kwenye hii mada?
 
Hangaya hajiamini kabisa, kapata nafasi hiyo kama zali tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…