Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa mara kila apatapo nafasi kuwa yeye ni mwanamke wakati kila mtanzania anajua kuwa yeye ni mwanamke.

Carol Ndosi anasema kuwa Rais Samia yeye ni Rais hapaswi kuendelea kujificha nyuma ya kimvuli cha uanamke kwani hilo si jambo zuri na haipendezi kwa Rais kuwa na hofu ya uanamke wake bali anatakiwa ajue watu wanamuamini kama Rais si kama mwanamke.

Amesema pengine Rais Samia anapitia mambo mengi kwenye chama chake au kwa watu wanaomzunguka kwa sababu ya uanamke wake lakini yeye kama Rais atakiwi kuitumia kama ngao kwani yeye ni Rais na watu wanajua ni mwanamke atakiwi kuwakumbusha watu, haipendezi.

Chanzo: TV-E/E-FM
Point kabisa maana tumemchoka kwa muda mfupi sn
 
Huyu mbona muda tu anakosoa, hata jiwe alimkosoa na tena akaenda mbali kuandika waraka wa kusupport maandamano ya mange. Tafuta bandiko lake humu utaona
wana JF NI WEPESI WA KUPOTEZA KUMBU KUMBU
 
Hata yeye hajui kitu,mwanamke hakuumbwa aongoze watu hata angekuwa yeye huyo Ndosi lazima angekuwa na wenge.miezi saba sasa inakatika still anathibitisha jinsia yake kwa wananchi kwani wao hao wananchi hawamjui mwanamke kwa kumtizama?avue nguo basi ili tufunge hesabu!!!

Hakuna mwanamke anayeweza kufanya kitu kwa 100% akaweza bila kumshirikisha mtu hii yote inatokana na uwezo wao mdogo wa kuhakiki mambo that's why anajificha nyuma ya pazia la jinsia yake.
Ameshindwa kuongoza amebaki kupambania jinsia yake
 
Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa mara kila apatapo nafasi kuwa yeye ni mwanamke wakati kila mtanzania anajua kuwa yeye ni mwanamke.

Carol Ndosi anasema kuwa Rais Samia yeye ni Rais hapaswi kuendelea kujificha nyuma ya kimvuli cha uanamke kwani hilo si jambo zuri na haipendezi kwa Rais kuwa na hofu ya uanamke wake bali anatakiwa ajue watu wanamuamini kama Rais si kama mwanamke.

Amesema pengine Rais Samia anapitia mambo mengi kwenye chama chake au kwa watu wanaomzunguka kwa sababu ya uanamke wake lakini yeye kama Rais atakiwi kuitumia kama ngao kwani yeye ni Rais na watu wanajua ni mwanamke atakiwi kuwakumbusha watu, haipendezi.

Chanzo: TV-E/E-FM
Yeye hajui tu kuwa wanawake hawawapagi Kura wa jinsia yao, wengi wanamchora tu. Kutwa na mchana oooh mi mwanamke, 2025 ntasimama. Kwa post hiyo hazihitaji unaharakaji wa jinsia..makongamano kibaoo. Anyaway
 
Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa mara kila apatapo nafasi kuwa yeye ni mwanamke wakati kila mtanzania anajua kuwa yeye ni mwanamke.

Carol Ndosi anasema kuwa Rais Samia yeye ni Rais hapaswi kuendelea kujificha nyuma ya kimvuli cha uanamke kwani hilo si jambo zuri na haipendezi kwa Rais kuwa na hofu ya uanamke wake bali anatakiwa ajue watu wanamuamini kama Rais si kama mwanamke.

Amesema pengine Rais Samia anapitia mambo mengi kwenye chama chake au kwa watu wanaomzunguka kwa sababu ya uanamke wake lakini yeye kama Rais atakiwi kuitumia kama ngao kwani yeye ni Rais na watu wanajua ni mwanamke atakiwi kuwakumbusha watu, haipendezi.

Chanzo: TV-E/E-FM
Yaani wanawake!
Anataka aseme yeye ni mwanaume?
 
Huyu mama iko wazi uwezo wa kua kiongozi wa nchi hana.

Kila hotuba yake yeye anatanguliza jinsia yake, kila hotuba atatangazia watu jinsia yake.

Miezi 7 sasa mila hotuba ni jinsia yake, kila akisimama lazima ataje jinsia yake. Hii ni ile kitaalam tunaita inferiority complex disorder, ni ugonjwa wa akili.

Huyu mama uwezo wa kua raia hana. Hilo liko wazi. Kuna mataahira yake yanataka apewe hadi 2030, tatizo uwezo hana.

Ukitaka kujua huyu mama hakuna kitu, ahutubir bila kusoma hutuba, unaweza kulia, vyote atakavyoviongea havina maana yoyote.

Hii nchi ina safari ndefu ya maendeleo.
Uwezo wa Urais upi ambao hana? Kwani Rais wa Tanzania ni nani kwa miezi hii 7?
Au mlizoea Rais Magufuli anayeropoka na kutukana majukwaani naye huyu mlitaka aropoke?

Au mlitaka kikundi cha WASIOJULIKANA kiendelee kuteka na kuua ndiyo mseme mna Rais mzuri.

Rais Samia endelea hivyo hivyo, wanaokubeza kwa vitu vidogo vidogo kimoyo moyo wanakukubali sana ila hawana namna. Heko kwa kuondoa wamachinga mitaani bila kuogopa kelele
 
Carol Ndosi ni ACT chama washiriki wa serikali ya umoja Zanzibar!
Carol Ndosi ni opposition members
Ambae alikuwa anaogopa kujitokeza wakati wa jiwe..naona sasa ana launch her political career upya...
 
Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa mara kila apatapo nafasi kuwa yeye ni mwanamke wakati kila mtanzania anajua kuwa yeye ni mwanamke.

Carol Ndosi anasema kuwa Rais Samia yeye ni Rais hapaswi kuendelea kujificha nyuma ya kimvuli cha uanamke kwani hilo si jambo zuri na haipendezi kwa Rais kuwa na hofu ya uanamke wake bali anatakiwa ajue watu wanamuamini kama Rais si kama mwanamke.

Amesema pengine Rais Samia anapitia mambo mengi kwenye chama chake au kwa watu wanaomzunguka kwa sababu ya uanamke wake lakini yeye kama Rais atakiwi kuitumia kama ngao kwani yeye ni Rais na watu wanajua ni mwanamke atakiwi kuwakumbusha watu, haipendezi.

Chanzo: TV-E/E-FM
Ndiyo Kisha sema sasa yeye ni Rais wa kwanza mwanamke Tanzania kwani uwongo? Naye Carol Ndossi ni mwanamke wa kwanza mchoma nyama.

Hivi Carol Ndossi angepata ule u DC aliokuwa anautegemea sana, leo angeweza kwenda redioni na kuongea aliyoongea?
Kila mmoja ashinde mechi zake, usimpangie
 
Bashite alivuruga nyama choma yake akarudi kundini.
Huyu mbona muda tu anakosoa, hata jiwe alimkosoa na tena akaenda mbali kuandika waraka wa kusupport maandamano ya mange. Tafuta bandiko lake humu utaona
 
Alikosoa na nyama choma ikawa hailiki tena baada ya Bashite kutia mikono yake.
Hata Nyerere tuna mu attack humu na alishakufa....
Viongozi hujadiliwa hata baada ya kifo..
But wewe Una attack anaechangia hoja simply sababu kaongea tofauti na unacho amini....

Actually sijasema alichoongea Ndosi sio sahihi
Nimetazama angle ingine mbona hakuwahi kukosoa chochote wakati wa Magufuli?
Why anakosoa now?
Ohhh sababu Uhuru wa kukosoa umerudi?
Ohhh nani kaurudisha?Ohhh Samia....

There you are
 
Ni kituko anayekosolewa kupanga akasolewe vipi, ni ujuha.
Wewe ni mkongwe kwenye hili jukwaa ila naona mahaba yanakuchosha au na wewe umepata uteuzi nini? Maana watz kwa njaa mna sifa zisizo za kawaida.

Sass naleta hoja, katika hayo mazungumzo ya caorl ni wapi alipomtweza utu au dhalau kwa raisi samia?
Ni mambo ya kawaida na ni ushauli mzuri wenye hekima na wala hauna madhara kwake.
Narudi kwa wakosoaji wa magufuli,
Mtu ana andika kwamba kiongozi mpuuzi na mjinga au anasema dikteta uchwara au meko na pengine ansema raisi mpumbavu alafu uanataka mkosoaji aheshimike?
Kwa akili yako unataka raisi acheke kwa hayo madhalau?

Jana nilisema ulete andiko la mkosoaji asiyejificha nyuma ya keyboard amabaye amesema neno hata moja kuwa raisi ni mjinga na mpumbavu na anadunda mtaani tumjue hapa.

Hta wachora katuni walikuwa wanamchora magufuli ila kwa huyu mama mbona wamekaa kimya?
Wachole basi tuone hata matiti yako kwenye magoti kama wanna sura za kejeli tuone kama atafulahi?

Akina masoud wako kimya sijui ndo mwisho wa uchoraji au wako likizo?

Ukosoaji uwe wa heshima na sio wa kukejeli na hakuna mtu atanuna
 
Co wakristo tu hata waisilamu wasiojitambua pia wako wanaomchukia, wafuata mkumbo. But asilimia kubwa wanaomchukia na kumsema vibaya ni wakristo. Acha ubishi, fanya research ujionee mwenyewe.

Na usiniambie mimi ni mdini, so ukiongea ukweli bac ni mdini!!!!
Kwa hiyo unahisi waislam wote hawajitambui kama wewe pimbi? Kwa taarifa yako waislam tunaishi nao vizuri! Wewe tu ndo unaona udini maana ndo uliokujaa!
 
Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa mara kila apatapo nafasi kuwa yeye ni mwanamke wakati kila mtanzania anajua kuwa yeye ni mwanamke.

Carol Ndosi anasema kuwa Rais Samia yeye ni Rais hapaswi kuendelea kujificha nyuma ya kimvuli cha uanamke kwani hilo si jambo zuri na haipendezi kwa Rais kuwa na hofu ya uanamke wake bali anatakiwa ajue watu wanamuamini kama Rais si kama mwanamke.

Amesema pengine Rais Samia anapitia mambo mengi kwenye chama chake au kwa watu wanaomzunguka kwa sababu ya uanamke wake lakini yeye kama Rais atakiwi kuitumia kama ngao kwani yeye ni Rais na watu wanajua ni mwanamke atakiwi kuwakumbusha watu, haipendezi.

Chanzo: TV-E/E-FM
Huyu bibi anajichukulia smart lakini Hanna kitu ni box na mpenda dogodogo tu baada ya kujua at a idea ya nyama choma haikuwa yake,nikagundua ni mlafi mwingine tu.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Una akili fupi kama mavi ya asubuhi.

Sio kila anaempinga huyo mama basi ni mfuasi wa Magufuli. Na hata angekua mfuasi hilo halimuondolei haki ya kumkosoa huyo mama yenu mwenye uwezo mdogo kichwani.

Halafu unaona kufa kama big deal sana? Mtu yoyote anaeona kifo cha mwenzake ama anashangilia unajua wazi kua hana akili maana kifo ni obvious kila mtu atakufa, hata huyo mama yako kesho anaweza kua amekufa, hivyo watu wengine waje kumnanga hapa kisa kafa? Mambo ya kipumbavu kabisa.

Hope watu mngeweza kutumia akili ndogo mlizonazo kujadili hoja.
Umeongea ukweli mtupu hiyo njemba haina akili hata kidogo......
ni rahisi sana kuwabaini watu wenye akili fupi kupitia maoni yao
 
Why wewe ikuume Mimi kushangilia?Unajuaje?Labda Ben Saanane Ndugu yangu wa damu?Unajua hata maiti yake ilipo?
Labda Roma binamu yangu unajua yaliyomkuta alipotekwa??

Wapo watu wanashangilia kifo cha Hitler kila mwaka ...

Ka.a Magufuli alikuwa dear kwako why utulazimishe na Sisi wengine tuhuzunike!?

Actually sishangilii but hata kama ningeshangilia wewe unajuaje labda aliniumiza katika personal level ambayo kushangilia ni sehemu ya Ku heal kwangu?

Wewe Nani utuapangie hisia zetu? We
Huna akili
 
Back
Top Bottom