Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

Watu walionyamaza kimya wakati wa jiwe..
Wakati watu wanapigwa risasi na kutekwa
Wanyamaze kimya na sasa..
Nawaheshimu mno watu waliokosoa utawala wa jiwe na wanakosoa utawala wa sasa..
But mijitu minafiki iliyonyamaza wakati watu wanatekwa na kuuwawa ..sasa inajifanya mabingwa wa kukosoa...kwangu naona wanafiki tu
Wewe unauhakika unachokisema? Kwa hiyo huyo Tundu Lisu kupigwa risasi ndo ishakuwa ajenda yenu? Kila siku Tundu Lisu kamlambe matakaoni! Kama aliyekuwa adui yake alishafariki mbona haji nyumbani? Endeleeni kumshabikia huyo Lisu wenu!
 
Kwa akili yako wakati wa Maguguli mlikuwa hamkosoi? Hivi mtandaoni ulikuwepo wewe tu wengine hamkuwepo! Unataka kutuaminisha kana kwamba wakati wa magufuli mlizuiwa kutoa maoni yenu! Wewe ni stupid mkubwa!

Acha nitoe ya moyoni,,,,wengi wao hawamchukii mama kwa sababu ya jinsia yake bali IMANI yake na pia ni mzanzibari. Hawakupendezewa kuongozwa na Muisilamu. Kama na wewe uko katika ilo kundi basi nendeni kwa pamoja mukamfufue magufuli.
 
Nyerere anakua attacked humu lakini ulichokiandika kuhusu Magufuli sijawahi kuona mtu anakiandika kuhusu marehemu yeyote. Wewe unashangilia kufa kwa Magufuli.

Ndio maana nikakwambia mtu mwenye akili hawezi kushangilia kifo cha mwingine maana kifo ni obvious kila mtu atakufa, lini haijulikani.

Umesema marehemu ameshakufa hata umpambe vipi ameshakufa. Hii kauli tu inaonyesha wazi umejaa chuki dhidi ya marehemu.

Sijawahi kuona wanaomkosoa Nyerere ama mkapa humu waliokufa wakaandika hivyo.

Why wewe ikuume Mimi kushangilia?Unajuaje?Labda Ben Saanane Ndugu yangu wa damu?Unajua hata maiti yake ilipo?
Labda Roma binamu yangu unajua yaliyomkuta alipotekwa??

Wapo watu wanashangilia kifo cha Hitler kila mwaka ...

Ka.a Magufuli alikuwa dear kwako why utulazimishe na Sisi wengine tuhuzunike!?

Actually sishangilii but hata kama ningeshangilia wewe unajuaje labda aliniumiza katika personal level ambayo kushangilia ni sehemu ya Ku heal kwangu?

Wewe Nani utuapangie hisia zetu? We
 
Sasa umeona ulivyo wewe stupid?
Wakati wa Magufuli kuna mtu anaweza kumkosoa Magufuli kwenye TV?Tena EATv?

Sisi wa Jf anonymous ni Sawa na kipindi cha TV? Umesahau kesi alizopewa Maxence humu analazimishwa ataje I'd za watu humu wanaomkosoa Magufuli?..
Carol Ndosi aliwahi mkosoa Magufuli kwenye Tv?..

Umeona sasa nani stupid??
Kwa hiyo kama hawakumkosoa Magufuli! Wewe unageuka vipi kuwazuia watu kumkosoa Rais wenu mwenye maumbile ya kike wakati unajidai mwana demokrasia! Hujui hapo tu unaonesha ulivo mpumbavu! waache watu waongee!
 
Wewe ndo unazidi kuonesha upumbavu wako

Wapo nimezuia watu wasimkosoe?
Actually nimesema watu wanampokosoa Samia wanazidi kumuonesha ni Kiongozi mzuri sababu kaacha Uhuru wa kukosoa...

Wapi nimesema wasimkosoe?
 
Huyu mama iko wazi uwezo wa kua kiongozi wa nchi hana.

Kila hotuba yake yeye anatanguliza jinsia yake, kila hotuba atatangazia watu jinsia yake.

Miezi 7 sasa mila hotuba ni jinsia yake, kila akisimama lazima ataje jinsia yake. Hii ni ile kitaalam tunaita inferiority complex disorder, ni ugonjwa wa akili.

Huyu mama uwezo wa kua raia hana. Hilo liko wazi. Kuna mataahira yake yanataka apewe hadi 2030, tatizo uwezo hana.

Ukitaka kujua huyu mama hakuna kitu, ahutubir bila kusoma hutuba, unaweza kulia, vyote atakavyoviongea havina maana yoyote.

Hii nchi ina safari ndefu ya maendeleo.
Mimi naomba mtusaidie kuondoa huyo.
 
Acha nitoe ya moyoni,,,,wengi wao hawamchukii mama kwa sababu ya jinsia yake bali IMANI yake na pia ni mzanzibari. Hawakupendezewa kuongozwa na Muisilamu. Kama na wewe uko katika ilo kundi basi nendeni kwa pamoja mukamfufue magufuli.
Mimi hata udini sina! Wewe ni mdini ndo maana unaona kila anayemkosoa Rais mwenye maumbile ya Kike ni mkristo! Kwa hiyo uko humu kumshabikia kisa mwislam, wewe nikikuuitaa taahira utanilaumu?
 
Wewe ndo unazidi kuonesha upumbavu wako

Wapo nimezuia watu wasimkosoe?
Actually nimesema watu wanampokosoa Samia wanazidi kumuonesha ni Kiongozi mzuri sababu kaacha Uhuru wa kukosoa...

Wapi nimesema wasimkosoe?
Usibweke tulia sasa! Kama haikuumi unaingilia nini?
 
Ndugu mpaka leo mnajicha kwenye kivuli cha marehemu, ni muda wa kufanya kazi. Hizo comparison mnazozifanya hazisaidii nchi, kama marehemu aliharibu ni muda wa kuonyesha serikali mpya imefanya nini au inapaswa kufanya nini. Mambo ya kujificha kwenye msiba wa mtu ni utoto, suala la kufa ni la muda tu, sijui kama hujawah kufiwa? Ikiwa hujawahi kufiwa basi ndugu zako watakuja kufiwa ukiwa wewe upo chini ya futi sita kaburini. Ni suala la muda tu.
Mwambie huyo! Maana kifo cha Magufuli alichakifanya ndo refreshment yake! Hata akikosa hela analia Magufuli!
 
Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation

Mkuu boss,,,Acha nitoe ya moyoni kuhusu hawa viumbe wenye chuki,,,,wengi wao hawamchukii mama kwa sababu ya jinsia yake bali IMANI yake na pia ni mzanzibari. Hawakupendezewa kuongozwa na Muisilamu. Wakati wa magufuli waisilamu hawakujitokeza kumtukana na kumkashifu magu. Ameingia mama kelele nyiingi mara oh mdini, mara oh mzanzibari, mara oh mtoto wa haram n.k.
 
Mimi hata udini sina! Wewe ni mdini ndo maana unaona kila anayemkosoa Rais mwenye maumbile ya Kike ni mkristo! Kwa hiyo uko humu kumshabikia kisa mwislam, wewe nikikuuitaa taahira utanilaumu?

Co wakristo tu hata waisilamu wasiojitambua pia wako wanaomchukia, wafuata mkumbo. But asilimia kubwa wanaomchukia na kumsema vibaya ni wakristo. Acha ubishi, fanya research ujionee mwenyewe.

Na usiniambie mimi ni mdini, so ukiongea ukweli bac ni mdini!!!!
 
Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa mara kila apatapo nafasi kuwa yeye ni mwanamke wakati kila mtanzania anajua kuwa yeye ni mwanamke.

Carol Ndosi anasema kuwa Rais Samia yeye ni Rais hapaswi kuendelea kujificha nyuma ya kimvuli cha uanamke kwani hilo si jambo zuri na haipendezi kwa Rais kuwa na hofu ya uanamke wake bali anatakiwa ajue watu wanamuamini kama Rais si kama mwanamke.

Amesema pengine Rais Samia anapitia mambo mengi kwenye chama chake au kwa watu wanaomzunguka kwa sababu ya uanamke wake lakini yeye kama Rais atakiwi kuitumia kama ngao kwani yeye ni Rais na watu wanajua ni mwanamke atakiwi kuwakumbusha watu, haipendezi.

Chanzo: TV-E/E-FM
Hili hata mimi namuunga mikono na miguu

Sisi tunajua ni Mwanamke na tunaheshimu sana kua ni RAIS wetu,yamkini ana presha za aina mbili kwamba ndani ya chama waliomvusha labda hawamkubali, lakini pia Imani yake ya kidini nadhani kwa %kubwa haikubali kuongozwa na Mwanamke,labda hayo yanampa hofu ya kumfanya aongee mala kwa mala
 
Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Wewe ni mkongwe kwenye hili jukwaa ila naona mahaba yanakuchosha au na wewe umepata uteuzi nini? Maana watz kwa njaa mna sifa zisizo za kawaida.

Sass naleta hoja, katika hayo mazungumzo ya caorl ni wapi alipomtweza utu au dhalau kwa raisi samia?
Ni mambo ya kawaida na ni ushauli mzuri wenye hekima na wala hauna madhara kwake.
Narudi kwa wakosoaji wa magufuli,
Mtu ana andika kwamba kiongozi mpuuzi na mjinga au anasema dikteta uchwara au meko na pengine ansema raisi mpumbavu alafu uanataka mkosoaji aheshimike?
Kwa akili yako unataka raisi acheke kwa hayo madhalau?

Jana nilisema ulete andiko la mkosoaji asiyejificha nyuma ya keyboard amabaye amesema neno hata moja kuwa raisi ni mjinga na mpumbavu na anadunda mtaani tumjue hapa.

Hta wachora katuni walikuwa wanamchora magufuli ila kwa huyu mama mbona wamekaa kimya?
Wachole basi tuone hata matiti yako kwenye magoti kisha waweke na sura za kejeli tuone kama mama atafulahi?

Akina masoud wako kimya sijui ndo mwisho wa uchoraji au wako likizo?

Ukosoaji uwe wa heshima na sio wa kukejeli na hakuna mtu atanuna
 
Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Huyu Carol Ndosi alikuwa anansifia hata mwendazake!
 
Hata yeye hajui kitu,mwanamke hakuumbwa aongoze watu hata angekuwa yeye huyo Ndosi lazima angekuwa na wenge.miezi saba sasa inakatika still anathibitisha jinsia yake kwa wananchi kwani wao hao wananchi hawamjui mwanamke kwa kumtizama?avue nguo basi ili tufunge hesabu!!!

Hakuna mwanamke anayeweza kufanya kitu kwa 100% akaweza bila kumshirikisha mtu hii yote inatokana na uwezo wao mdogo wa kuhakiki mambo that's why anajificha nyuma ya pazia la jinsia yake.
aiseeeee
 
Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa mara kila apatapo nafasi kuwa yeye ni mwanamke wakati kila mtanzania anajua kuwa yeye ni mwanamke.

Carol Ndosi anasema kuwa Rais Samia yeye ni Rais hapaswi kuendelea kujificha nyuma ya kimvuli cha uanamke kwani hilo si jambo zuri na haipendezi kwa Rais kuwa na hofu ya uanamke wake bali anatakiwa ajue watu wanamuamini kama Rais si kama mwanamke.

Amesema pengine Rais Samia anapitia mambo mengi kwenye chama chake au kwa watu wanaomzunguka kwa sababu ya uanamke wake lakini yeye kama Rais atakiwi kuitumia kama ngao kwani yeye ni Rais na watu wanajua ni mwanamke atakiwi kuwakumbusha watu, haipendezi.

Chanzo: TV-E/E-FM
Nataka nioe demu wa kipemba naombeni mbinu
 
Back
Top Bottom