CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

Ungeongelea suala la mabaunsa lililenga nini ningekuona wa maana. Vinginevyo ni mihemuko yako tu ya kishabiki.
 
Hapo mbona sentsi Moja tuu inamaliza kesi??? Tuliuahirisha mchezo kwasababu kulikuwa na viashiria VYA uvunjifu wa amani hivyo tukausitisha Ili tufanye uchunguzi na baada ya uchunguzi tulibaini Moja mbili tatu,,,,,Simba sioni kama anachochote Cha kijibu
 
Labda Simba kama shahidi. Anaulizwa mfano;
CAS: Kwa nini haukwenda uwanjani?
Simba: Kwa sababu mechi ilihairishwa na TPBL.

Hapa kwa vyovyote vile mwenye kubeba dhamana kubwa katika kesi hiyo ni TBPL
Sawa. Hapo nimekupata
 
Habari yenyewe mbona Iko kipande?

Simba wajibu nini? Maana tungeona Simba wanachotakiwa kujibu, labda mjadala ungekuwa wa maana.

Kwa hivi habari ilivyoletwa, ni utopolo mtupu kujadili.
Nilikuwa sijaiona hii barua hadi sasa hivi. Kuna upotoshaji umefanywa na mleta mada na hao vyura waliocharuka katika uzi huu. Sijajua labda shida ni kinyamwezi.

Waliopewa siku 10 ni Yanga wenyewe, wao ndiyo wameambiwa ndani ya siku 10 wawe wametuma viambatanisho na mambo mengine na wasipofanya hivyo ndani ya muda huo itachukuliwa kama wameondoa rufaa yao.
 

Huu ndo ukweli wenyewe kama barua ni ya kweli. Wameambiwa wapeleke mashitaka/madai rasmi na vielelezo vyao na kama wasipofanya hivyo ndani ya siku 10 kesi inakuwa imekufa kwa sheria za CAS.

Wakipeleka mashitaka/madai na vielelezo, wajibu mashitaka watapewa mashtaka husika na pia siku 20 kwa mjibu wa sheria kuandaa majibu ya utetezi na kuwasilishwa CAS.

Baada ya hapo ndo kuanza kwa kesi kusikilizwa.
 
Sahihi kabisa
 
Mjukuu wa RAGE katika ubora wako.
 
Moto utawaka
Acha TFF, bodi ya ligi na mambumbumbu
Acha aibu iwapate
Kwa vile huna akili,unaamini Simba atanyang'anywa pointi.

Ila akili wote nyie hamna.
Mmeleta tishio la usalama kwa wachezaji na kuwatoa mchezoni ,ninyi ndio mtaaibika
 
Kwa vile huna akili,unaamini Simba atanyang'anywa pointi.

Ila akili wote nyie hamna.
Mmeleta tishio la usalama kwa wachezaji na kuwatoa mchezoni ,ninyi ndio mtaaibika
Tishio lipi la usalama
 
CAS wawape Young Point 3 na Goli 3 ili uhuni wa MAKOLO ufike mwisho ,kama timu yao ilikuwa na majeruhi wengi wangeandika barua mapema sana .kuomba kughairisha mechi kuliko kuwatia hasara wafanyabiashara.
Huko ni wawili tu najua wewe sio kikwete au mzee manara .kwahiyo nawewe ni miongoni mwa kundi kubwa.
 
sio kweli ni siku ya wajinga leo
 
Habari yenyewe mbona Iko kipande?

Simba wajibu nini? Maana tungeona Simba wanachotakiwa kujibu, labda mjadala ungekuwa wa maana.

Kwa hivi habari ilivyoletwa, ni utopolo mtupu kujadili.
Muwambieni Hao CAS kuwa Simba haina cha kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…