Case study; Binti wa Yombo Dovya kaifanya nchi nzima kujadili(petty issues) ili Hali Kuna mengi ya msingi mno katika maisha yao wameyakalia Kimya!

Case study; Binti wa Yombo Dovya kaifanya nchi nzima kujadili(petty issues) ili Hali Kuna mengi ya msingi mno katika maisha yao wameyakalia Kimya!

unauhakika ? nin kilimpeleka

n muhimu kuliko niliyoyataja ,hv s n umasikini na tamaa ndivyo vlvyompeleka hapo.Unadhan angekuwa imara kiuchumi angefanyiwa hvyo? ...tushikamane kweny kuimarisha uchumi achana na petty issues
seriously?? UBAKAJI unaingilianaje na uchumi bro??
 
Kupitia uzi huu tegemea kutukanwa sana mleta mada.
Watakaotukana ni washamba tuu na ole wao wachukuwe waume za watu au wake za watu dawa yao saiv inajulikana.
Yan unafanya kitu hadi taifa linaomba pooo.

Ikumbukwe sipendezeshwi na aina yoyote ya ukiukwaji wa sheria ana kujichukujia sheria mkononi.
 
Waliofanya iko kitendo inasemekana ni watumishi wa JWTZ sasa watu tuliowaamini kujenga na kulinda nchi wanafanya hivyo unasemaje kuwa ni petty issues?
Siku ngoja wamkamate ndugu yako wamfirimbe uje useme tena ni petty issues.
Au wewe ni miongoni mwa hao washenzi?
NIna siku 30 sina maji bombani na sijui yanatoka lini
 
unauhakika ? nin kilimpeleka

n muhimu kuliko niliyoyataja ,hv s n umasikini na tamaa ndivyo vlvyompeleka hapo.Unadhan angekuwa imara kiuchumi angefanyiwa hvyo? ...tushikamane kweny kuimarisha uchumi achana na petty issues
NAUNGANA NA WEWE.
ACHA TUWE WAWILI KATIKA HILI
 
Ukiona mtu yeyote anataka kukupangia hoja ya kuongea kwa mujibu wa maoni yake halafu anakukataza wewe kuongelea hoja yako unayoiona inafaa wewe, ujue mtu huyo ama ni mjinga ama ana wivu.

Pengine ni mjinga na ana wivu pia.

Mtu mwenye uwezo anaanzisha hoja yake yeye, kama ina mantiki na mvuto, watu wataijadili.

Wala hana haja ya kuponda hoja mada ya uzi au mazungumzo ya watu wengine.
 
Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa!

Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka ..Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa waume wanasema jambo hilo tu...

Hivi hilo tukio n la kwanza ?? mbona yule aliyefanyiwa kule Tanga na kina said mbona hamkuungana kama hv kumtetea ?..mbona yule mbunge Gekul wa kule manyara hamkuungana kama hv ? au kisa alifanyiwa mwanaume?

Wagoni wangap wanakamatwa wanafanyiwa umafia na wanaume wenzao ? nikisema Double standard mtakataa nyie wanafki?

Na Je Kwa akili zenu zilizodumaa Lina athari ipi kubwa Kwa jamii?

Hiko kihoja kina athari kuliko matrilioni yanayoibiwa na wachache Tena kila kukicha mbona hapa hamshikaman kama mlivyokazania hiko kiissue?

Dollar Kwa Sasa n adimu na athari kibao zinaonekana ikiwemo kupanda maradufu Kwa bidhaa nyng sana na hvyo kuzdsha ugumu wa maisha yenu ambayo Yapo kweny Lindi la umasikin mbona hapa amshikamani kuihoji serikali?

Mpk Sasa Bado mnaongozwa na katiba mbovu iliyopita na wakati ,hili mnaliona sio Lenu eehhh!...na Wala haliwaumiz ila la huyo' mwiz wa mapenz na hao wagon wenzake mnaona la maana saaanaa...Je n lamaana kuliko katiba mpya ?

Kuna Juha hapa anaweza tokea kusema eti Kwa Sababu sio ndugu yako n Hiv niliyoyaeleza n muhimu Kwa mustakabali wa kizazi na kizazi kuliko hizo petty issues mlizokomaa nazo !

Ambazo tunajua kabisa wataishia kulindanalindana Kisha hakuna hatua yoyote ya maana itakayochukiliwa juu ya hao wagoni!!

Na ndio maana Kwa akili Hz mambo ya hovyo yatazd kutendwa na Viongoz wa juu..Kwa kuwa wanajua n kwanamna gan akil zenu zlivyo !

Mpk naanza kupata mashaka na huyo' Jamaa wa TLS alivyorukia hiko kihoja ataweza kutupeleka kule ? kama na yey ameanza kudandia Vitu vya wagoni? ...inafikrisha mno !

Niwaulize tena yaan mnaumizwa na hilo kuliko mikataba mibovu,ufisad umasikin ,ujinga ,maradhi na upumbavu uliyowajaa?

Ntarudi niwasalimie!!!!
Dah! Aisee! Kumbe tuna mitazamo tofauti. Binafsi, sioni kama ni petty issue. Ila kwamba baadhi ya Watanzania ni very sensible - they feel bad when something bad happens to others. Kwa upande mwingine, kwa watu kama wewe don't care mpaka nao wapitie katika hali kama hiyo! Mambo kama haya si lazima yampate mtu mwenyewe, lakini yanaweza kumpata close friend, relative, etc na sidhani kama ikitokea hivyo mtu aliyepatwa na mkasa kama huo kupitia close friend au relative bado ataita petty issue. Kwetu kuna msemo 'buli kuundi buli kumbali' (jambo lisilokuhusu utaliona kama siyo lako). Unaweza kuchukulia tatizo, ugonjwa etc.
 
Back
Top Bottom