Chawa wa Zamani
Senior Member
- Mar 12, 2023
- 145
- 224
- Thread starter
- #61
nonsensical!Mbona kujadili Simba na Yanga husemi ni petty issues?
Kwa hiyo hili suala moja tu ndio unaona ni petty issue?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nonsensical!Mbona kujadili Simba na Yanga husemi ni petty issues?
Kwa hiyo hili suala moja tu ndio unaona ni petty issue?
Luteni vijana wa kikosi chako wamejawa na Ugumu vichwani.Ngono ndio kitu Wabongo tunaweza kujadili kwa ufanisi
senseless!Time never do lie
Limekupataaaaaa...wewe ni nyani typical, hujafika kny civilizationnonsensical!
seriously?? UBAKAJI unaingilianaje na uchumi bro??unauhakika ? nin kilimpeleka
n muhimu kuliko niliyoyataja ,hv s n umasikini na tamaa ndivyo vlvyompeleka hapo.Unadhan angekuwa imara kiuchumi angefanyiwa hvyo? ...tushikamane kweny kuimarisha uchumi achana na petty issues
Sema wewe maana mm sipo kwenye hiyo sisi.SHIDA ZAKO PAMBANA NAZO MWENYEWE.
Sisi tunamuonea huruma huyo binti NA USITUPANGIE.
Watakaotukana ni washamba tuu na ole wao wachukuwe waume za watu au wake za watu dawa yao saiv inajulikana.Kupitia uzi huu tegemea kutukanwa sana mleta mada.
NIna siku 30 sina maji bombani na sijui yanatoka liniWaliofanya iko kitendo inasemekana ni watumishi wa JWTZ sasa watu tuliowaamini kujenga na kulinda nchi wanafanya hivyo unasemaje kuwa ni petty issues?
Siku ngoja wamkamate ndugu yako wamfirimbe uje useme tena ni petty issues.
Au wewe ni miongoni mwa hao washenzi?
NAUNGANA NA WEWE.unauhakika ? nin kilimpeleka
n muhimu kuliko niliyoyataja ,hv s n umasikini na tamaa ndivyo vlvyompeleka hapo.Unadhan angekuwa imara kiuchumi angefanyiwa hvyo? ...tushikamane kweny kuimarisha uchumi achana na petty issues
Itaje hiyo jinai.Jinai ngapi zinatokea na zingine zimetokea leo hazipewi mjadala mpana namna hii?
Kuna yule mama ambaye watoto wake watano waliuwawa kwa kuwekewa sumu kwenye chakula.Itaje hiyo jinai.
Wa wapi mkoa gani!?Kuna yule mama ambaye watoto wake watano waliuwawa kwa kuwekewa sumu kwenye chakula.
Saiv wataogopa waume za watuuuuuuuuu.Ukikaa uswahilini utajua mambo mengi hawa watoto sio wakuwafanyia hivyo wanatembea na wanaume za watu kupata chochote kitu cha kuweka mdomoni so kumuandalia gang rape is shit
e
Nakutafutia video then ntaiweka hapaWa wapi mkoa gani!?
Maana Tanzania yanatokea mengi.
Halafu anaamini yeye ndio ana akili kubwa.Unaita military ordered revenge gang rape petty issue?
Yaani pamoja na kuziangalia zile video unahisi walikubaliana pale?unauhakika kabakwa vip kama walikubaliana? na kwanin achukue mume wa mtu?
kabsa mkuu wamezee na Bia tu hakuna namna ..kweny ukweli tutasema
Dah! Aisee! Kumbe tuna mitazamo tofauti. Binafsi, sioni kama ni petty issue. Ila kwamba baadhi ya Watanzania ni very sensible - they feel bad when something bad happens to others. Kwa upande mwingine, kwa watu kama wewe don't care mpaka nao wapitie katika hali kama hiyo! Mambo kama haya si lazima yampate mtu mwenyewe, lakini yanaweza kumpata close friend, relative, etc na sidhani kama ikitokea hivyo mtu aliyepatwa na mkasa kama huo kupitia close friend au relative bado ataita petty issue. Kwetu kuna msemo 'buli kuundi buli kumbali' (jambo lisilokuhusu utaliona kama siyo lako). Unaweza kuchukulia tatizo, ugonjwa etc.Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa!
Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka ..Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa waume wanasema jambo hilo tu...
Hivi hilo tukio n la kwanza ?? mbona yule aliyefanyiwa kule Tanga na kina said mbona hamkuungana kama hv kumtetea ?..mbona yule mbunge Gekul wa kule manyara hamkuungana kama hv ? au kisa alifanyiwa mwanaume?
Wagoni wangap wanakamatwa wanafanyiwa umafia na wanaume wenzao ? nikisema Double standard mtakataa nyie wanafki?
Na Je Kwa akili zenu zilizodumaa Lina athari ipi kubwa Kwa jamii?
Hiko kihoja kina athari kuliko matrilioni yanayoibiwa na wachache Tena kila kukicha mbona hapa hamshikaman kama mlivyokazania hiko kiissue?
Dollar Kwa Sasa n adimu na athari kibao zinaonekana ikiwemo kupanda maradufu Kwa bidhaa nyng sana na hvyo kuzdsha ugumu wa maisha yenu ambayo Yapo kweny Lindi la umasikin mbona hapa amshikamani kuihoji serikali?
Mpk Sasa Bado mnaongozwa na katiba mbovu iliyopita na wakati ,hili mnaliona sio Lenu eehhh!...na Wala haliwaumiz ila la huyo' mwiz wa mapenz na hao wagon wenzake mnaona la maana saaanaa...Je n lamaana kuliko katiba mpya ?
Kuna Juha hapa anaweza tokea kusema eti Kwa Sababu sio ndugu yako n Hiv niliyoyaeleza n muhimu Kwa mustakabali wa kizazi na kizazi kuliko hizo petty issues mlizokomaa nazo !
Ambazo tunajua kabisa wataishia kulindanalindana Kisha hakuna hatua yoyote ya maana itakayochukiliwa juu ya hao wagoni!!
Na ndio maana Kwa akili Hz mambo ya hovyo yatazd kutendwa na Viongoz wa juu..Kwa kuwa wanajua n kwanamna gan akil zenu zlivyo !
Mpk naanza kupata mashaka na huyo' Jamaa wa TLS alivyorukia hiko kihoja ataweza kutupeleka kule ? kama na yey ameanza kudandia Vitu vya wagoni? ...inafikrisha mno !
Niwaulize tena yaan mnaumizwa na hilo kuliko mikataba mibovu,ufisad umasikin ,ujinga ,maradhi na upumbavu uliyowajaa?
Ntarudi niwasalimie!!!!
Mi namwonea huruma sana.SHIDA ZAKO PAMBANA NAZO MWENYEWE.
Sisi tunamuonea huruma huyo binti NA USITUPANGIE.