Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Ukiweka chuki pembeni utagundua mchina pace yake yake ya maendeleo ni kubwa hadi huyo mmarekani anaogopa
Muarabu hahitaji hivyo amebarikiwa watahangaika wakihitaji hela watamtafuta
 
Ukiweka chuki pembeni utagundua mchina pace yake yake ya maendeleo ni kubwa hadi huyo mmarekani anaogopa
Muarabu hahitaji hivyo amebarikiwa watahangaika wakihitaji hela watamtafuta
Mchina hawezi kumfikia mareakani kwa sababu mchina hafanyi research ana copy na ku paste. Hakuna nchi inaweza kuifikia marekani kwa sababu nchi nyingi zinatoa fursa kibaguzi. Marekani na Ulaya ukiwa na Taaluma haijalishi wewe unatoka wapi watakuhsehimu na utafanikiwa. Mchina, Mwarabu na Nchi zingine wanaojiona wanauwezo hawawezi kumfikia U.S kwa sababu hawajafungua nchi zao. Kuna boss gani mkubwa China ambye sio mchina.Uarabuni unafanya kazi una cheo sawa na Muarabu lakini wewe unalipwa kidogo. Na huyo Mwarabu uliye naye analipwa kidogo kuliko mwenzake kwa sababu ukoo wake ni wa tabaka la chini kuliko mwenzake. Huku wote mna cheo kimoja. Marekani kuna watanzania ni Ma C.E.O kwenye mabenki makubwa na makampuni makubwa ya ujenzi. Ujerumani ukizaa unalipwa haijalishi kabila, dini au ngozi yako.
 
Bado unaongea OP mkuu.
Mzozo wa Palestina na Israel kaufuatilie kuanzia 1946.
Hiyo Israel mbona influence yake kwa Imperialists ilishindwa kufua dafu Yemeni na Iran na Lebanon??
Kuna mpaka wa maji wenye mafuta na gesi Israel alijimilikisha Lebanon ilitia fujo kupitia Hizbollah hakukuchimbwa mafuta wala kuvunwa gesi mpaka mwaka jana wakarudi mezani na kuleta proposal kuwa wagawane ule mpaka wa maji ili wanufaike pamoja.
 
Wewe unaona ujanja ni kujipendekeza kwa wazungu, thats your mentality obvious utaona solution ya Wapalestina ni wao kuwa watumwa wa wazungu.

Narudia tena wewe umesema wapalestina Wakijaza coaster ya Viongozi itasolve huo Mgogoro, wahindi wanajaza coaster 10 ama 100 zimewasaidia nini?

Wa Iran leo wamemdindia Marekani miaka kibao si kwa kujaza coaster, Urusi hajazi coaster, Mchina Hajazi coaster etc. Waache wanaume wapambane, kama mtu alikua mkimbizi miaka 50 iliopita na sasa hivi ni raisi mwenye nguvu ya kupigana na cartel za madawa ya kulevya ambazo zipo supported na West huyo sio mjinga mjinga kama unavyofikiria wewe, ni watu wenye plan zao.

Viongozi wa west hawajawahi kamwe kuwa decision makers, hapo Usa kuna Mass shooting za maana, watoto wadogo wanamiliki Bunduki, hazipigwi marufuku sio sababu Wa Marekani majority wanazitaka, Bali hao wanaotengeneza silaha wana nguvu kushinda senate na maraisi wa hio Nchi, hao ndio viongozi halisi wa hizo nchi na sio puppets unaowaona kwenye tv. Kushindana nao unahitaji akili kubwa na sacrifice akili kisoda haiwezi elewa.
 
Unazungumzia copy and paste ama innovation??
 
Tanzania ina wahitimu kiasi gani vyuo vikuu vya kimataifa???
Kwani nchi za kiarabu hazina vyuo vikuu??
Au kuhitimu nje tu ndio njia sahihi ya kuwa na elimu??
MBONA UNA MITIZAMO FINYU WE JAMAA???
Au tukuletee vyuo vikuu vya kiarabu uvione??
Nimeipenda hii
 
Umesema Yemeni na Iran na Lebanon? Lebanon na Yemen unajua hali zao sasa zikoje. Nimeweka link hapa na leo ni siku ya 155 ya vita kati ya Israel na wavivu wa kufikiri. Wayahudi waliuliwa milioni 30 na Hitler, shida walizopitia ndio iliwafanya wapambane na kujazana katika taasisi kubwa za kimataifa. Wapalestina wakae chini wajifanye wajinga na wajipange wakiamua waamue. Tatizo tunakazana na wapalestina je unajua technolojia zinazotumika katika vita ya Ukraina na Urusi ? Kuna drone ndogo inakaa kwenye begi inaweza kudondosha grenade kulipua zaidi ya platoon moja kwa siku. Jiulize hii technologia ni rahisi kupewa muisrael au mpalestina. Wapalestina wajifanye wajinga na watulie maana wa-Israel wanawachokoza ili wapate sababu ya kuwamaliza. Ni kutulia na kujipanga kwa ajili ya maamuzi ya muda mrefu.
 
Doh!!!
Kaka unaenda OP tena aisee.
Huijui Palestina,hukijui kizazi chake na hujui imepelekea nini wao kuwa hapo.
Bado unaongea OP uwe na usiku mwema.
 
Unazungumzia copy and paste ama innovation??
Hawa vijana wa siku hizi ni kuwaacha kwenye mijadala kama hii ili waendee kujazana ujinga. Yaani anadiriki kusema kabisa mchina hafanyi utafiti?!

Hii ajabu!
 
Hawa vijana wa siku hizi ni kuwaacha kwenye mijadala kama hii ili waendee kujazana ujinga. Yaani anadiriki kusema kabisa mchina hafanyi utafiti?!

Hii ajabu!
Leo nimecheka sana humu ndani aisee kaka.
🤣🤣🤣🤣
 
Safi sana
 
Elimu ni kwa wasaka tonge mkuu, kama unatonge unawapa kazi wasakaji, badala ya wewe kulihangaikia, ndo maana Kazi ya America ni kubuni Sports Car ila watumiaji ni hao wasio na elimu.

Kumbuka engineer hawezi miliki Lamborghini wala Porsche.
Vipi waarabu wa Yemen?
 
Waarabu wana mafuta. Hawana shida ya kuumiza vichwa kusolve physics
Yale mafuta wanachimba makafir. Tena wanachimba huko uarabuni kwao wamahifadhi tu kwanza. Waulize wametengeneza machine ngapi sisi waarabu. Kama Gold inavyochimbwa huku na sisi weusi hatuna lolote angalau waarabu wana pata pata si haba.
 
Leo nimecheka sana humu ndani aisee kaka.
🤣🤣🤣🤣
Wanashangaza sana!

Hata ukisema wanacopy wanadhani ku copy hususani kwenye masuala ya teknolojia ni kitu rahisi?

China ana space station ya kwake kitu ambacho hata USA hana. Space station ambayo China wanaiendesha wenyewe.

Vijana wa siku hizi ni janga! Na mbaya zaidi hawajishughulishi kutafuta maarifa mbali na wanayoyaona kwenye tv kwao inawatosha.

Wao wanadhani teknolojia dunia nzima imevumbuliwa na wazungu wa west, kumbe ni tofauti.
 
Unazungumzia copy and paste ama innovation ?
Nazungumzia ku-copy na ku-paste
Sijipendekezi kwa wazungu ila naongea ukweli kwamba kuna kitu kinaitwa humanitarian acts. Wazungu wanazitthamini sana kuliko ncho zozote. Wazungu watakubagua na kukupa tabu kama hauna taaluma na hautaki kujiendeleza kitaaluma. Lakini kama una proffesion hawawezi kukubagua utaishi kama wao na kama ukikaza matako utawazidi.

Naona umeuliza "wahindi imewasaidia ?" nini naomba nikuulize ushawahi kusikia kuna mgogoro wowote ndani ya India ? Lakini mambo kwa ground India ina matatizo mengi na makubwa sana lakini hatuyaoni yakisemwa hata U.N. Kuna ubaguzi wa kiislamu na kitabaka na ubakaji mkubwa sana India lakini haya mambo hayasemwi. Unajua India kuna matabaka ya wafanyabiashara, viongozi n.k. Yaani kuna tabaka linaitwa Dalit ukizaliwa katika tabaka hilo kazi yako ni kufanya usafi mpaka kufa. Hauwezi kufanya kazi nje ya tabaka lako. Hivi vitu watanzania hatujui tunakazana kuwaona wahindi wana akili kuliko sisi.

Umeongelea kuhusu Iran, wa-Iran wamejazana Ulaya na Marekani. Tena wa-Iran wana akili sana wakija huku kuna maisha bomba kuliko ya Nyumbani warudi kwa ajili ya nini ? Nguvu ya Marekani na Ulaya mnaiona ya kawaida sana. Hizo nchi mnazozitetea haziwathamini watu kutokana na uwezo wao au vipaji vyao. Lakini hivyo vitu wanavipata Marekani na Ulaya. Bila watu Imara kichwani mtaanzaje ku-influence dunia ?

Decision Makers wa west sio viongozi wa kisiasa kama watanzania bali matajiri na makampuni makubwa katika ncho zao. Ndio maana nilikuambia kuwa wahindi, wakorea na wataiwan wanakimbiza ligi ya kuwa viongozi wa haya makampuni. Na nikakusisitizia ili Wapalestina wafike mbali wakazane na shule na sio Madrasa. Ulaya mzima waarabu ndio wanaongoza kwa biashara za dawa za kulevya.
 
Hawa vijana wa siku hizi ni kuwaacha kwenye mijadala kama hii ili waendee kujazana ujinga. Yaani anadiriki kusema kabisa mchina hafanyi utafiti?!

Hii ajabu!
Naomba uniletee uvumbuzi mkubwa ambao china imefanya ndugu yangu siongei ushabiki. Taiwan imewazidi china katika uzalishaji wa SMC(Semi Conductor Chips) kwa sababu hio technology inahitaji constant research na innovation kitu ambacho china hawezi kukifanya.
 
China ni LEADER OF INNOVATION.
Labda kama hujamfuatilia.
Kuhusu hayo mengine huyo atakujibu.
 
Wayahudi waliouliwa na Hitler leo hii ni pro palestine, wanaoua wapalestina leo ni zionist, Zionist na Nazi ni Chanda na Pete, hebu nitafute holocaust survival leo ambaye sio pro palestine utakesha siku nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…