Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Wayahudi waliouliwa na Hitler leo hii ni pro palestine, wanaoua wapalestina leo ni zionist, Zionist na Nazi ni Chanda na Pete, hebu nitafute holocaust survival leo ambaye sio pro palestine utakesha siku nzima'
Narudia tena Israel ni mpango wa muda mrefu na kuna nguvu kubwa sana imetumika mpaka Israel ikaanzishwa. Hivyo basi ukitaka kumdhibiti Israek na wewe inabidi ujipange. Mimi si-support Israel lakini pia si-support wapalestina kuwalilia watu wengine wakati wamezaliwa waarabu ambao wako bright ile mbaya.
 
Yale mafuta wanachimba makafir. Tena wanachimba huko uarabuni kwao wamahifadhi tu kwanza. Waulize wametengeneza machine ngapi sisi waarabu. Kama Gold inavyochimbwa huku na sisi weusi hatuna lolote angalau waarabu wana pata pata si haba.
Moja kati ya innovator wakubwa Saudi Arabia ni Hayat sind,

Huyu bibie yeye field yake ni gunduzi za maabara ambazo hazitumii umeme na ni rahisi kifedha, kama vile vikaratasi wadada wanavyojipimia mimba, wanaoangalia siku zao, vipimo vya ukimwi vya makaratasi na magonjwa mengine.

Huyu dada hakugundua hivi vipimo sababu Saudia wana shida na hawawezi ku afford vipimo vya kisasa, la hasha, Bali aligundua sababu ya mapopoma kama wewe, unaongea saaana ukiumwa tu Hospitali ipo kilomita kadhaa na mpaka ndugu wajichange ndio unatibiwa na gharama kubwa. Amegundua hivi kwa ajili yetu sisi masikini.
 
Asante kwa kujipinga mwenyewe na kusuport hoja yangu.
 
Mfano wa kwanza gunpowder.
Unaongelea uvumbuzi wa miaka ya zamani China hakuna uvumbuzi mpya wanafanya nakubali walivumbua gun-powder na karatasi. Mimi naongelea tafifti zinanoleta teknolojia mpya katika wakati uliopo.
 
Wewe dogo upo ujerumani 🤡 huko ujerumani umeenda kufuata ujinga au elimu ?
 
Unaongelea uvumbuzi wa miaka ya zamani China hakuna uvumbuzi mpya wanafanya nakubali walivumbua gun-powder na karatasi. Mimi naongelea tafifti zinanoleta teknolojia mpya katika wakati uliopo.
Asa hivi kuna innovations nyingi inventions zilishapitaga.
Na China ndio anaongoza kwa innovation kaka.
 
Wataiwan ni wachina au wataiwan ni wazungu ?
 
Asante kwa kujipinga mwenyewe na kusuport hoja yangu.
Mimi sijajipinga nimejipinga wapi point yangu ni kuwa waarabu waache uvivu wasome na wa-infiltrate system za wamarekani. Bila hivyo hawawezi kuipiga Israel maana hela waliyonayo waarabu inatoka marekani. Na hela waliyonao Israel inatoka pia Marekani.
 
Unaongelea uvumbuzi wa miaka ya zamani China hakuna uvumbuzi mpya wanafanya nakubali walivumbua gun-powder na karatasi. Mimi naongelea tafifti zinanoleta teknolojia mpya katika wakati uliopo.
Kafuatilie innovations kama za electric trains,railway technology hususan Maglev railways,electric vehicles n.k n.k.
 
Mchina hawezi kumfikia marekani kwa sababu mchina hafanyi research ana copy na kupaste. Kweli taifa hili letu lina wasomi wajinga wengi🤡

Kukusaidia kasome kuhusu maendeleo ya China katika Electric Vehicle, Solar energy, Nuclear energy, Semiconductor, Train anza na hii kwanza kwa sasa itakuwa rahisi zaidi kuelewa.

Kapitie government policies, budget, five year plans, RD, two sessions nini China wanafanya katika hayo maeneo niliyo kutajia ya kuanza nayo kujifunza
 
Unaongelea uvumbuzi wa miaka ya zamani China hakuna uvumbuzi mpya wanafanya nakubali walivumbua gun-powder na karatasi. Mimi naongelea tafifti zinanoleta teknolojia mpya katika wakati uliopo.
Tafiti gani mpya unataka kutoka kwa China iliyo wekwa chini ya ukoloni wa mataifa ya nje na juzi tu miaka 40 kuelekea 50 ikautwaa uhuru wake ?
 
Wataiwan sio wachina ndugu yangu umeshasema wataiwan. Ukikaa na mtaiwan na mchina utajua kuna tofauti hata katika uwezo wa kufikiri.
Duuh! sasa hili ni tatizo la akili zaidi ulilo nalo sidhani kama nitaweza kulitatua

Kwamba Han Chinese aliyepo Taipei ana tofauti na aliyepo Shanghai. Aiseeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…