Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Wayahudi waliouliwa na Hitler leo hii ni pro palestine, wanaoua wapalestina leo ni zionist, Zionist na Nazi ni Chanda na Pete, hebu nitafute holocaust survival leo ambaye sio pro palestine utakesha siku nzima'
Narudia tena Israel ni mpango wa muda mrefu na kuna nguvu kubwa sana imetumika mpaka Israel ikaanzishwa. Hivyo basi ukitaka kumdhibiti Israek na wewe inabidi ujipange. Mimi si-support Israel lakini pia si-support wapalestina kuwalilia watu wengine wakati wamezaliwa waarabu ambao wako bright ile mbaya.
 
Yale mafuta wanachimba makafir. Tena wanachimba huko uarabuni kwao wamahifadhi tu kwanza. Waulize wametengeneza machine ngapi sisi waarabu. Kama Gold inavyochimbwa huku na sisi weusi hatuna lolote angalau waarabu wana pata pata si haba.
Moja kati ya innovator wakubwa Saudi Arabia ni Hayat sind,
440px-Hayat_Sindi_-_PopTech_2012_-_Camden_Maine_USA_(8103609979).jpg


Huyu bibie yeye field yake ni gunduzi za maabara ambazo hazitumii umeme na ni rahisi kifedha, kama vile vikaratasi wadada wanavyojipimia mimba, wanaoangalia siku zao, vipimo vya ukimwi vya makaratasi na magonjwa mengine.

Huyu dada hakugundua hivi vipimo sababu Saudia wana shida na hawawezi ku afford vipimo vya kisasa, la hasha, Bali aligundua sababu ya mapopoma kama wewe, unaongea saaana ukiumwa tu Hospitali ipo kilomita kadhaa na mpaka ndugu wajichange ndio unatibiwa na gharama kubwa. Amegundua hivi kwa ajili yetu sisi masikini.
 
Narudia tena Israel ni mpango wa muda mrefu na kuna nguvu kubwa sana imetumika mpaka Israel ikaanzishwa. Hivyo basi ukitaka kumdhibiti Israek na wewe inabidi ujipange. Mimi si-support Israel lakini pia si-support wapalestina kuwalilia watu wengine wakati wamezaliwa waarabu ambao wako bright ile mbaya.
Asante kwa kujipinga mwenyewe na kusuport hoja yangu.
 
Mfano wa kwanza gunpowder.
Unaongelea uvumbuzi wa miaka ya zamani China hakuna uvumbuzi mpya wanafanya nakubali walivumbua gun-powder na karatasi. Mimi naongelea tafifti zinanoleta teknolojia mpya katika wakati uliopo.
 
Nazungumzia ku-copy na ku-paste

Sijipendekezi kwa wazungu ila naongea ukweli kwamba kuna kitu kinaitwa humanitarian acts. Wazungu wanazitthamini sana kuliko ncho zozote. Wazungu watakubagua na kukupa tabu kama hauna taaluma na hautaki kujiendeleza kitaaluma. Lakini kama una proffesion hawawezi kukubagua utaishi kama wao na kama ukikaza matako utawazidi.

Naona umeuliza "wahindi imewasaidia ?" nini naomba nikuulize ushawahi kusikia kuna mgogoro wowote ndani ya India ? Lakini mambo kwa ground India ina matatizo mengi na makubwa sana lakini hatuyaoni yakisemwa hata U.N. Kuna ubaguzi wa kiislamu na kitabaka na ubakaji mkubwa sana India lakini haya mambo hayasemwi. Unajua India kuna matabaka ya wafanyabiashara, viongozi n.k. Yaani kuna tabaka linaitwa Dalit ukizaliwa katika tabaka hilo kazi yako ni kufanya usafi mpaka kufa. Hauwezi kufanya kazi nje ya tabaka lako. Hivi vitu watanzania hatujui tunakazana kuwaona wahindi wana akili kuliko sisi.

Umeongelea kuhusu Iran, wa-Iran wamejazana Ulaya na Marekani. Tena wa-Iran wana akili sana wakija huku kuna maisha bomba kuliko ya Nyumbani warudi kwa ajili ya nini ? Nguvu ya Marekani na Ulaya mnaiona ya kawaida sana. Hizo nchi mnazozitetea haziwathamini watu kutokana na uwezo wao au vipaji vyao. Lakini hivyo vitu wanavipata Marekani na Ulaya. Bila watu Imara kichwani mtaanzaje ku-influence dunia ?

Decision Makers wa west sio viongozi wa kisiasa kama watanzania bali matajiri na makampuni makubwa katika ncho zao. Ndio maana nilikuambia kuwa wahindi, wakorea na wataiwan wanakimbiza ligi ya kuwa viongozi wa haya makampuni. Na nikakusisitizia ili Wapalestina wafike mbali wakazane na shule na sio Madrasa. Ulaya mzima waarabu ndio wanaongoza kwa biashara za dawa za kulevya.
Wewe dogo upo ujerumani 🤡 huko ujerumani umeenda kufuata ujinga au elimu ?
 
Unaongelea uvumbuzi wa miaka ya zamani China hakuna uvumbuzi mpya wanafanya nakubali walivumbua gun-powder na karatasi. Mimi naongelea tafifti zinanoleta teknolojia mpya katika wakati uliopo.
Asa hivi kuna innovations nyingi inventions zilishapitaga.
Na China ndio anaongoza kwa innovation kaka.
 
Naomba uniletee uvumbuzi mkubwa ambao china imefanya ndugu yangu siongei ushabiki. Taiwan imewazidi china katika uzalishaji wa SMC(Semi Conductor Chips) kwa sababu hio technology inahitaji constant research na innovation kitu ambacho china hawezi kukifanya.
Wataiwan ni wachina au wataiwan ni wazungu ?
 
Asante kwa kujipinga mwenyewe na kusuport hoja yangu.
Mimi sijajipinga nimejipinga wapi point yangu ni kuwa waarabu waache uvivu wasome na wa-infiltrate system za wamarekani. Bila hivyo hawawezi kuipiga Israel maana hela waliyonayo waarabu inatoka marekani. Na hela waliyonao Israel inatoka pia Marekani.
 
Unaongelea uvumbuzi wa miaka ya zamani China hakuna uvumbuzi mpya wanafanya nakubali walivumbua gun-powder na karatasi. Mimi naongelea tafifti zinanoleta teknolojia mpya katika wakati uliopo.
Kafuatilie innovations kama za electric trains,railway technology hususan Maglev railways,electric vehicles n.k n.k.
 
Mchina hawezi kumfikia mareakani kwa sababu mchina hafanyi research ana copy na ku paste. Hakuna nchi inaweza kuifikia marekani kwa sababu nchi nyingi zinatoa fursa kibaguzi. Marekani na Ulaya ukiwa na Taaluma haijalishi wewe unatoka wapi watakuhsehimu na utafanikiwa. Mchina, Mwarabu na Nchi zingine wanaojiona wanauwezo hawawezi kumfikia U.S kwa sababu hawajafungua nchi zao. Kuna boss gani mkubwa China ambye sio mchina.Uarabuni unafanya kazi una cheo sawa na Muarabu lakini wewe unalipwa kidogo. Na huyo Mwarabu uliye naye analipwa kidogo kuliko mwenzake kwa sababu ukoo wake ni wa tabaka la chini kuliko mwenzake. Huku wote mna cheo kimoja. Marekani kuna watanzania ni Ma C.E.O kwenye mabenki makubwa na makampuni makubwa ya ujenzi. Ujerumani ukizaa unalipwa haijalishi kabila, dini au ngozi yako.
Mchina hawezi kumfikia marekani kwa sababu mchina hafanyi research ana copy na kupaste. Kweli taifa hili letu lina wasomi wajinga wengi🤡

Kukusaidia kasome kuhusu maendeleo ya China katika Electric Vehicle, Solar energy, Nuclear energy, Semiconductor, Train anza na hii kwanza kwa sasa itakuwa rahisi zaidi kuelewa.

Kapitie government policies, budget, five year plans, RD, two sessions nini China wanafanya katika hayo maeneo niliyo kutajia ya kuanza nayo kujifunza
 
Unaongelea uvumbuzi wa miaka ya zamani China hakuna uvumbuzi mpya wanafanya nakubali walivumbua gun-powder na karatasi. Mimi naongelea tafifti zinanoleta teknolojia mpya katika wakati uliopo.
Tafiti gani mpya unataka kutoka kwa China iliyo wekwa chini ya ukoloni wa mataifa ya nje na juzi tu miaka 40 kuelekea 50 ikautwaa uhuru wake ?
 
Wataiwan sio wachina ndugu yangu umeshasema wataiwan. Ukikaa na mtaiwan na mchina utajua kuna tofauti hata katika uwezo wa kufikiri.
Duuh! sasa hili ni tatizo la akili zaidi ulilo nalo sidhani kama nitaweza kulitatua

Kwamba Han Chinese aliyepo Taipei ana tofauti na aliyepo Shanghai. Aiseeh
 
Back
Top Bottom