Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Badala ujiulize kwani i waafrika hatumo wewe unawaza waarabu?
Yani badala usikitike tanzania haimo wewe umeenda na waarabu.
Wenzako wameanza kuamka sana na wana ela. Saudia sasa hivi wamejipanga kuwa na vyuo bora, wanachukua wakufunzi na kuwalipa mishahara minono toka duniani kote.
Sisi ndio kwanza tuko kwenye kujenga madarasa kila mwaka na kuchonga dawati.
Charity begins at home. Kabla ya kuwasema wao tujiulize kwanza sisi tuko wapi.
Umemaliza mkuu.Sio watanzania tu angejiuliza waafrika wapo wangapi?Kwa sababu ameorodhesha South Afrika katika Bara zima lenye watu zaidi ya bilioni 1.4.
Atoe boriti kwenye jicho lake kabla ya kuona ubanzi kwenye jicho la mwenzake.UAE wana sattelite 4 angani sisi hata kutengeneza baiskeli mgogoro.
 
Ndugu mtanzania, hujui kwamba Hong Kong ni sehemu ya nchi ya China?

Umeshawahi kusikia kitu kinachoitwa one country two systems? Kwamba Hong Kong ina sheria zake za kujitawala lakini ni sehemu ya nchi ya China? Unafahamu kwamba Hong Kong na China jeshi ni moja tu?

Au unatuigizia ndugu mtanzania?
Sikuigizii nimekaa nao wengine nimesoma nao ndio maana nikakuambia naweza kuwatofautisha kwa kukaa nao na kuongea nao bila hata ya wao kuniambia wanatokea wapi. Demography inamdefine mtu kwa kiasi fulani ndio maana naendelea kukusitizia mtu kutoka Taiwan, Hongkong na Mainland China ni watu tofauti kabisa . Kufanana ngozi yu sura kukusichanganye ukifanya kazi nao ndio utajua kuwa wapo tofauti.
 
Tofauti inaweza ikawa kwenye mtazamo, kifikra na kadhalika na hii kutokana na aina ya life style ni tofauti ambazo zimechangiwa kutokana na aina ya mfumo wa kiutawala.

Lakini hao wote ni jamii moja, ni wachina. Tamaduni yao wote ni moja.
Kaka kuna wewe ni mtanzania mwenzangu lakini nakuhakikishia ukikaa na wakongo, wakameruni na watu wa afrika magharibi utashangaa sana japokuwa wote ni weusi. Na hata kama mnafanya kazi pamoja mtaona tofauti zenu. Na angalau watu wa Afrika Mashariki kidogo mnaweza mkaelewana.
 
Sasa huwezi watofautisha wachina wa kabila moja, tamaduni moja kwa mtindo huo.

Mchina hata akiwa Tanzania ni yule yule na aliyepo Beijing na ndio maana mahali popote wakienda katika nchi yoyote wao huanzisha mji wao kwa madhumuni ya kulinda tamaduni na mfumo wao wa maisha wataishi mahali wanapo elewana zaidi wao kwa wao.

Wachina walipo Hongkong, Beijing, Taiwan, Macao, Singapore, Indonesia, Thailand, Vietnam, New York n.k huwezi watofautisha. hawa maisha yao yameathiriwa na tamaduni zao na ndio maana sherehe na matamasha yao watasherehekea sehemu yoyote ile duniani iliyopo jamii yao.
 
Kuhusu 5G nchi zinazoongoza kwa tafiti ni hizi hapa chini china ikiongoza.
View attachment 2929880
Haya tutumie hizi data Zako China ni wa kwanza ana Article 2491 ambazo ni zaidi ya mara 2 za anaemfatia Usa mwenye 1244, je huoni kama hii picha inaonesha uliandika uharo huko juu kwa kusema China hagundui vitu bali ana copy na ku paste?

Mtu anaecopy na ku paste anapata citation 83,000 na ambao hawa copy na ku paste hakuna hata mmoja aliepata citation 50,000?
 
Moja kati ya innovator wakubwa Saudi Arabia ni Hayat sind,
View attachment 2929802

Huyu bibie yeye field yake ni gunduzi za maabara ambazo hazitumii umeme na ni rahisi kifedha, kama vile vikaratasi wadada wanavyojipimia mimba, wanaoangalia siku zao, vipimo vya ukimwi vya makaratasi na magonjwa mengine.

Huyu dada hakugundua hivi vipimo sababu Saudia wana shida na hawawezi ku afford vipimo vya kisasa, la hasha, Bali aligundua sababu ya mapopoma kama wewe, unaongea saaana ukiumwa tu Hospitali ipo kilomita kadhaa na mpaka ndugu wajichange ndio unatibiwa na gharama kubwa. Amegundua hivi kwa ajili yetu sisi masikini.
Mwajuma povu linakutoka kinyama. Kila sehemu yako ya uwazi inatoa povu. Ungesoma vizuri ungeona nliandika wapo wachache wenye vipaji. Ila wengi ni matungunyenye kama wewe.
 
Wenye akili huwa hawafanyi kazi ngumu. Bali wanawafanyisha wasomi kazi. Hata kina bakhressa wao hawafanyi kazi ngumu.

Ukiona umeajiriwa kuwafanyia watu kazi ngumu. Tambua huna akili ndio maana unafanyishwa kazi ngumu
SIjui kazi ngumu ni zipi. Harvard wanafundisha kazi ngumu zipi? Muwe mnatumia akili hata kabla ya kujibu.
 
Haya tutumie hizi data Zako China ni wa kwanza ana Article 2491 ambazo ni zaidi ya mara 2 za anaemfatia Usa mwenye 1244, je huoni kama hii picha inaonesha uliandika uharo huko juu kwa kusema China hagundui vitu bali ana copy na ku paste?

Mtu anaecopy na ku paste anapata citation 83,000 na ambao hawa copy na ku paste hakuna hata mmoja aliepata citation 50,000?
Hiyo ni research katika field moja ya 5G sijisifu ila ninafanya masters ya Industrial Engineering and Management. Research paper za wachina zipo nyuma sana katika tafiti nyingi sana za teknolojia na uhandisi mpaka mimi mwenyewe nashangaa. Sikutegemea nilichokiona mpaka aibu.
 
Sasa huwezi watofautisha wachina wa kabila moja, tamaduni moja kwa mtindo huo.

Mchina hata akiwa Tanzania ni yule yule na aliyepo Beijing na ndio maana mahali popote wakienda katika nchi yoyote wao huanzisha mji wao kwa madhumuni ya kulinda tamaduni na mfumo wao wa maisha wataishi mahali wanapo elewana zaidi wao kwa wao.

Wachina walipo Hongkong, Beijing, Taiwan, Macao, Singapore, Indonesia, Thailand, Vietnam, New York n.k huwezi watofautisha. hawa maisha yao yameathiriwa na tamaduni zao na ndio maana sherehe na matamasha yao watasherehekea sehemu yoyote ile duniani iliyopo jamii yao.
Ndio maana nimekujibu huko Texas na Alabama kuna wazungu ukiwaaambia Umetoka Tanzania watakushangaa wanajua kila mtu mweusi anatoka Afrika wote mnafanana . Lakini ukiangalia wewe na Mnigeria hamuwezi kuwa sawa. Hata mkongo na mtanzania hawawezi kukaa pamoja naongea kwa sababu haya mambo yapo yani wewe mwenyewe unajishtukia. Umesema mchina aliyepo Tanzania lakini mimi nakuambia kuwa binadamu tipo tofauti na mazingira yanatubadilisha sana kuliko tunavyoamini. Mchina. MTaiwan, MHonkong ni watu tofauti siongei maisha ya nadharia ukiiishi nao utagundua. Ukizurura sana unaweza hadi kumtambua Mmarekani kwa jinsi anavyovaa na posture yake ya kukaa na kusimama.
 
SIjui kazi ngumu ni zipi. Harvard wanafundisha kazi ngumu zipi? Muwe mnatumia akili hata kabla ya kujibu.

Sijajibu havard. Nimejibu ulivyouliza mbona hawachimbi mafuta. Wanachimbiwa. Ndio nikakujibu matajiri huwa hawafanyi kazi ngumu. Huwa wanaajiri watu wa kuwachimbia.

Mfano kampuni ya mafuta ya saudi arabia inayoitwa Aramco. Pato lake la mwaka ni kubwa kuliko GDP ya africa mashariki yote tukijumlisha nchi zote.

Imagine hiyo ni kampuni moja tu. Sasa why wasaudi wahangaike na shuke sana ili kwenda havard
 
Hiyo ni research katika field moja ya 5G sijisifu ila ninafanya masters ya Industrial Engineering and Management. Research paper za wachina zipo nyuma sana katika tafiti nyingi sana za teknolojia na uhandisi mpaka mimi mwenyewe nashangaa. Sikutegemea nilichokiona mpaka aibu.
China ndio inaongoza kwa ku
publish papers duniani in science and engineering wewe taarifa zako unapatia wapi au unajitungia tu.

Unasema upo kwenye industrial engineering na haufahamu mambo mambo madogo kama haya elimu yako ina walakini
 
Ndio maana nimekujibu huko Texas na Alabama kuna wazungu ukiwaaambia Umetoka Tanzania watakushangaa wanajua kila mtu mweusi anatoka Afrika wote mnafanana . Lakini ukiangalia wewe na Mnigeria hamuwezi kuwa sawa. Hata mkongo na mtanzania hawawezi kukaa pamoja naongea kwa sababu haya mambo yapo yani wewe mwenyewe unajishtukia. Umesema mchina aliyepo Tanzania lakini mimi nakuambia kuwa binadamu tipo tofauti na mazingira yanatubadilisha sana kuliko tunavyoamini. Mchina. MTaiwan, MHonkong ni watu tofauti siongei maisha ya nadharia ukiiishi nao utagundua. Ukizurura sana unaweza hadi kumtambua Mmarekani kwa jinsi anavyovaa na posture yake ya kukaa na kusimama.
Tatizo lako una compare vitu visivyo fanana huwezi walinganisha watu weusi walio tapakaa bara zima la Afrika katika makabila tofauti na nchi tofauti ulinganishe na wachina kabila moja wenye tamaduni moja nimekuambia tamaduni za kichina ndio mfumo mzima wa maisha wa mchina yoyote pale duniani iwe ni Beijing, Tanzania, London, Taipei au sehemu yoyote ile.

Wachina wa Han unawafahamu lakini ?
 
Tatizo lako una compare vitu visivyo fanana huwezi walinganisha watu weusi walio tapakaa bara zima la Afrika katika makabila tofauti na nchi tofauti ulinganishe na wachina kabila moja wenye tamaduni moja nimekuambia tamaduni za kichina ndio mfumo mzima wa maisha wa mchina yoyote pale duniani iwe ni Beijing, Tanzania, London, Taipei au sehemu yoyote ile.

Wachina wa Han unawafahamu lakini ?
China ndio inaongoza kwa ku
publish papers duniani in science and engineering wewe taarifa zako unapatia wapi au unajitungia tu.

Unasema upo kwenye industrial engineering na haufahamu mambo mambo madogo kama haya elimu yako ina walakini
🤲🤲🤲🤲🤲🤲Kuna vitu siwezi kuvielezea hadi uvi-experience first hand.
 
bora wasisome siunaona wanasayansi wa irani wanavyorutubisha uranium kimya kimya
 
Hiyo ni research katika field moja ya 5G sijisifu ila ninafanya masters ya Industrial Engineering and Management. Research paper za wachina zipo nyuma sana katika tafiti nyingi sana za teknolojia na uhandisi mpaka mimi mwenyewe nashangaa. Sikutegemea nilichokiona mpaka aibu.
Unajikanganya, umeweka mwenyewe screenshot na inaonesha paper za wachina zipo cited zaidi, its not like paper zina bei kwamba za wachina ni rahisi, hizo ni academic papers na watu wana cite kutokana na umuhimu wao.

Na hatutaki maneno ya kanga na trust me bro evidence, weka ushahidi hapa kwamba field yako paper za kichina ni low quality.
 
Wapalestina hawako kwenye system katika mataifa makubwa. Wapalestina walikuwa mbele ya wahindi, wachina na wakorea katika kupewa hifadhi Ulaya na Marekani. Lakini angalia against all odds wahindi ndio Ma CEO wa makampuni makubwa marekani. Wapalestina wakifika ulaya na marekani wanafanya biashara za kikuda badala ya kuinfiltrate system. C.E.O wa makampuni makubwa kama Adobe, Nvidia, Alphabet, Google na Microsoft wana influence kubwa katika serikali za first world countries. Wao wakifika Ulaya wanakazana na kujilipua na kukesha na swala tano kila siku.
Typical nyani IQ
Unalinganisha Palestine population 5 million na India 1.5 billion
Kweli elimu ya kibongo ni takataka
 
Mwafrika maskini anamjadili mwarabu tajiri aliyekuzidi kila kitu. sisi waafirika sijui nani katuroga? mbona hujaonyesha idadi yetu sisi niggas wa afirika hapo?
Acha kabisa mkuu!!! Kuna wakati unakaa unawazaaa basi unaamua kumshukuru Mungu kwa maisha haya tu basi. Ila mi namjua (na wote wenye aiili timamu humu wanajua kwanini anashambuliwa mwarabu)
 
Typical nyani IQ
Unalinganisha Palestine population 5 million na India 1.5 billion
Kweli elimu ya kibongo ni takataka
Silinganishi Palestine na India tu bali nalinganisha Palestine supporters (Arabs and Muslim population) na India. Kama unafikiria kwa kwa kipopulation naomba ufikirie kihivyo. Hakuna kitu Palestine supporters wamefanya ambacho kinaweza kikawapa nguvu ya kuiondoa Israel katika ramani ya dunia.
 
Tuonyesheni vyuo vya labda tuseme Africa Mashariki viko namba ngapi kwenye kwenye Global score? Mbuzi brain
Inaniuma sana wewe kama Mwafrika kumthamini Mwarabu au Mhindi yupo juu kuliko wewe. Mimi silinganishi Afrika na Uarabuni, au Afrika na India. Nina linganisha Israel na Palestine na watu walio nyuma yao. Kwa hiyo hata kwenye hili suala la vyuo nalinganisha Israel Backers na Palestine Backers. Ukizunguka dunia utakuja kugundua waarabu na wahindi hawana utu kabisa. Wao kwa wao wana matabaka makubwa sana.
 
Back
Top Bottom