Umemaliza mkuu.Sio watanzania tu angejiuliza waafrika wapo wangapi?Kwa sababu ameorodhesha South Afrika katika Bara zima lenye watu zaidi ya bilioni 1.4.Badala ujiulize kwani i waafrika hatumo wewe unawaza waarabu?
Yani badala usikitike tanzania haimo wewe umeenda na waarabu.
Wenzako wameanza kuamka sana na wana ela. Saudia sasa hivi wamejipanga kuwa na vyuo bora, wanachukua wakufunzi na kuwalipa mishahara minono toka duniani kote.
Sisi ndio kwanza tuko kwenye kujenga madarasa kila mwaka na kuchonga dawati.
Charity begins at home. Kabla ya kuwasema wao tujiulize kwanza sisi tuko wapi.
Atoe boriti kwenye jicho lake kabla ya kuona ubanzi kwenye jicho la mwenzake.UAE wana sattelite 4 angani sisi hata kutengeneza baiskeli mgogoro.