Sawa kabisa. Sasa kwanini msikusanye huo ushahidi wote then mkaenda mahakamani. Ni muhimu kutumia huu uzalendo ulionyesha hapa kwa kusema ukweli utumike huko, uwe shahidi upande wa kina mbowe ili wapate haki yao otherwise utaonekana ni mnafiki au unatumiwa tu...
Kama hayakutumika kwenye majumuisho,mgombea ubunge alikubali kusaini matokeo wakati matokeo ya kituo kimoja hayajafika? Akili za kuambiwa changanya na...!
Ok, tufanye hajasaini, kwa nini haendi mahakamani?Amesaini mpaka sasa au unarukia jambo usilolijua?
Ongeza nguvu ya ushahidi kwenye hoja yako, ili iweze kunoga zaidi.Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Acha kulialia leta ushahidi wa maana kwani kuwahi kutoa matokeo imekuwa shida tena mbona wakicherewesha kutoa matokeo mnalalamika tena? Kweli upinzani wa TZ ni shida.Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Kuna mahakama nchi hii, au mitume wa jiwe?Ok, tufanye hajasaini, kwa nini haendi mahakamani?
Signature yako ilionesha kuwa mtu mweredi, lakini koments zako zinakuonesha kuwa mtu wa hovyo hovyo, unajua kwamba anenavyo mtu kwa kinywa chake ndivyo alivyo nafsini mwake, umeandika mambo ya kijinga, ungekaa kimya ukabaki na heshima yakoUchaguzi ulishapita tupigeni kazi tuache haya, maana hata ukisema hivi haitabadilisha matokeo, njia mbadala na nzuri ni kwenda mahakamani kupiga matokeo na sio kuja huku mitandaoni kulia lia
Mkuu hata hiyo sababu aliyoitoa huyo msiamamizi wa uchaguzi ya kwamba matokeo ya mwisho yalifikishwa kituoni siku ya pili haikukufanya ushituke ?Acha kulialia leta ushahidi wa maana kwani kuwahi kutoa matokeo imekuwa shida tena mbona wakicherewesha kutoa matokeo mnalalamika tena? Kweli upinzani wa TZ ni shida.
Hilo ndio tatizo la watz, kama Chadema ingeshinda ungesema mahakama ipo huru na tume ipo huru.Kuna mahakama nchi hii, au mitume wa jiwe?
Mkuu umeongea kweli, mimi nilikwenda kupiga kura muda wa saa 5 nikakuta vyumba vya madarasa zaidi ya kumi vilivyokuwepo pale shuleni vikiwa havina mtu hata mmoja anaesubiri kupiga kura, watu waliojiteza kupiga kura walikuwa wachache sana, huu ushindi wa mamilioni ya kura ccm wameutoa wapi ??, inathibisha walikuwa na karatasi feki zilizokuwa zimejazwa, na ndio maana nawaambia wadau wote magufuri hafai kuwa rais wa nchi yetuUshahidi upo kwenye numbers
Inatatakiwa kuziangalia namba kituo kwa kituo na ku note discrepancies. Numbers dont lie na mwizi siku zote huacha alama hata awe smart vipi.Advantage kubwa waliokuwa nayo CCM ni low voter turn out. Watu waliopiga kura hawakuwa wengi ukilinganisha na waliojiandikisha na hii loop hole wameitumia vilivyo.
naona umekuja kuandika upuuzi wako hapa.Kuiangamiza nchi ni kukalia kimya upuuzi wa dictator? Ukora wa ccm ndio unaita nchi? Ni hivi, ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Inawezekana.Mahakama ni Mali ya CCM
Ndio akili za ma ccm,anakiri Wazi Dogo kasimamia wizi.Mbowe kadhibitiwa na dogo janja.
Safi sana Sabaya, wewe ni shujaa.
Unajisifia kabisa kwa watu wenye akili kuwa Tanzania ni nchi.naona umekuja kuandika upuuzi wako hapa.
Sasa Tanzania sio nchi?
Na kama uchaguzi haujafanyika, wanacholalamika upinzani ni nini? si wasubiri uchaguzi ufanyike basi.
Toa upumbavu wako huko.
Sijakalia kimya haki ya mtu yoyote, ndio maana nimemshauri mtoa mada asiishie hapa, coz yeye ni muhusika wa moja kwa moja, anaweza kushirikiana na upinzani kuwapa ushahidi utakao saidia kupata haki yao na sio kukaa kimya.
Nyie ndio mnataka akae kimya eti sabb ya maisha.
Ushauri tu; kama hujaelewa mtu anachomaanisha ni bora ukaa kimya.
Mkuu unapoteza muda na nguvu zako kuwaelewesha bavicha. Hawajawahi kueleweka wanahitaji nini. NEC hawaiamini lakini chaguzi zake wanashiriki. Matokeao yakitoka wameshindwa wanalaumu. Ukiwashauri waende mahakamani hawataki. Viongozi wao wakiwambia waandamane, barabarani hawatokei.. We unadhani utawaambia nini kama ushauri wakuelewe?naona umekuja kuandika upuuzi wako hapa.
Sasa Tanzania sio nchi?
Na kama uchaguzi haujafanyika, wanacholalamika upinzani ni nini? si wasubiri uchaguzi ufanyike basi.
Toa upumbavu wako huko.
Sijakalia kimya haki ya mtu yoyote, ndio maana nimemshauri mtoa mada asiishie hapa, coz yeye ni muhusika wa moja kwa moja, anaweza kushirikiana na upinzani kuwapa ushahidi utakao saidia kupata haki yao na sio kukaa kimya.
Nyie ndio mnataka akae kimya eti sabb ya maisha.
Ushauri tu; kama hujaelewa mtu anachomaanisha ni bora ukaa kimya.
How comes kila msimu wa uchaguzi mnashiriki kwenye hayo maonyesho?Kuiangamiza nchi ni kukalia kimya upuuzi wa dictator? Ukora wa ccm ndio unaita nchi? Ni hivi, ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
How comes kila msimu wa uchaguzi mnashiriki kwenye hayo maonyesho?
Tanzania hakuna Amani bali kuna uvumilivu uliotukuka tu, Tanzania ni kisiwa cha uvumilivu tu hakuna Amani tenaMkuu japo umesoma lakini elimu yako hhaijakusaidia. Unadhani kila anayechangia humu ni mwanachama wa vyama vya siasa?
Nimetoa mawazo yangu jinsi jamaa anavyoweza kusaidia kupatikana haki kwa upinzani. Unahisi akijificha ndio itasaidia?
Mwisho wa siku tunahitaji amani katika ngazi zote, kuanzia familia hadi taifa, na yeye nina imani anataka hilo. Mbowe na upinzani wanahitaji ushahidi, hata familia zetu wanahitaji.
No no no no..., Usimshut risasi. Wewe mwenyewe unaijua nchi yetu jinsi inavyodhibiti watu wakweli. Mara nyingine shinikizo linakuwa kubwa kuzid ukweli.Sawa kabisa. Sasa kwanini msikusanye huo ushahidi wote then mkaenda mahakamani. Ni muhimu kutumia huu uzalendo ulionyesha hapa kwa kusema ukweli utumike huko, uwe shahidi upande wa kina mbowe ili wapate haki yao otherwise utaonekana ni mnafiki au unatumiwa tu...