Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Nimeyaona na nimekujibu kwa ulivyoona hapo juu.Maoni yangu nazani umeyaona kuhusiana na hili swala la mahakama na jumuiya za kimataifa....
Kwa sasa huwezi kupeleka tena kesi kwenye hiyo mahakama kama mtu binafsi au taasisi binafsi kwa sababu nchi imeshawithdraw declaration ya kuruhusu kesi zipelekwe mahakama hiyo na taasisi binafsi au mtu.