Punguza machungu kwanza na hii kitu.1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!
2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.
3. Uzinifu kwa kijana kafiri ni kama kunywa maji tu.
nenda Zenj Tafuta Takwimu ya vijana waliooa na kuacha kwa talaka kisha edit uzi wako halafu urudi hapa, kijana wa miaka 30 unakuta kishaoa na kuacha zaidi ya mara 5 bado unamuhesabia kwenye kundi la waoaji.!Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.
shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Vijana wa kiislamu wanawahi kuoa kwasababu hawaendi mbali kielimu. Akishafeli fomfoo na kuhudhuria mihandara ya kipozeo atakua anawaza puchi tu. Huku kwingine kijana anajitahidi amalize chuo, aanze kazi na ajenge ndio aanze kuwaza puchi.Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.
shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Hii ni mantiki kabisa,yani Yesu yeye hakuoa halafu eti alitoa mafundisho kuhusu ndoa.khaaaNaam.
Bado sijajibiwa.
Narudia.
Kwani kuoa lazima?
Huyo Yesu mwenyewe hakuna rekodi kwamba alioa, sasa utalazimishaje wafuasi wake waoe?
Hawa wadau wanazuga utakatifu lkn in real sense hawapo hvo🤔🤔Kuna Moja nlikuwa namsafirisha nachill nae kama wiki then Nampa nauli anarudi anakokaa, huyo akiskia adhana kama unamla anasema tulia kwanza ikiisha unaendelea kupeleka motoYan hadi mfungo alikwa anakupa mzigo.
Mimi ndio Mwenyezi Mungu mbona siizitambui hizo dini zote za Uislam na Ukristo.Ukristo siyo dini.
Dini kwa Mwenyezi Mungu ni Uislam tu.
Amini upendavyo, Uislam upo kabla ya Adam kuwepo.Yaani Uislam uliozaliwa miaka zaidi ya 500 baada ya Uikristo, ndiyo uwe dini!! Kwa hiyo kama Uikristo ni nini sasa kama siyo dini!!
Kweli Mudi amewapofusha macho aisee.
Hongera sana.Mimi ndio Mwenyezi Mungu mbona siizitambui hizo dini zote za Uislam na Ukristo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amini upendavyo, Uislam upo kabla ya Adam kuwepo.
Hata hizo Ukristo mbwembwe unakuwa unazitaka mwenyewe,kwani ukimtaka binti ukaenda kwao ukasema una laki 1 au 2 kama mahali watakukatalia???Wakristo kuoa ni gharama sanaaa kulinganisha na waislaam, ndoa ya kiislam haitajiii mbwembweee kama za wakristo
Naona umejitwika jiko la mkaa.Mimi ndio Mwenyezi Mungu mbona siizitambui hizo dini zote za Uislam na Ukristo.
Hongera sana
Kijana mbona una hadithi sana,nitawezaje kujidhihaki mimi mwenyewe,Mimi ndio Mungu.Au huko kwenye dini zenu waliwambia Mungu yupo vipiNaona umejitwika jiko la mkaa.
Kila aliyemdhihaki Mungu majibu anayo
Msalimie malaika wako MaguKijana mbona una hadithi sana,nitawezaje kujidhihaki mimi mwenyewe,Mimi ndio Mungu.Au huko kwenye dini zenu waliwambia Mungu yupo vipi
Kweli Religion is an opium.Amini upendavyo, Uislam upo kabla ya Adam kuwepo.
nyie mmekariri 'haki za binadamu 'Auislamu dini ya kukariri wamekariri kuoa