Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

Mkuu uliposema wakrsto wanapenda kuzini kwenye ule uzi wewe lengo lako lilikua nn?????? Sio personal feeling too na kutaka kudhalilisha dini zingine???
Hapana lengo ilikua kutoa awareness katika jamii ya watanzania wa ache kazini kuna watu wana ona kuka na mwanamke bila ndoa miaka 8 sio dhambi kabisa, je huyu mtu angependa dada ake au mama akae bila ndoa mda wote huo, tuungane tupinge zina ndo chazo cha masingo maza na ukimwi.
 
Ni kweli asilimia kubwa ya niliosoma nao wanakua wanaishi na mama tu na baba anakua anawasupoort kwa mbali au ni victim wa kua na mama wawili

Yaan baba yao anakua na wake wawili
 
Mleta mada ulikuwa na lako jambo hata FaizaFoxy akikunanga kwa swala la udini tusijuane. Hakuna cha Wakristu wala Waislam wanaume wengi wakitoka kazini wanapitia vijiwe mbalimbali wakirudi nyumbani watoto wamelala. Wakristu hasa wanaume siku hizi idadi kubwa hawaingii kanisani sijui maadili ya kuwafundisha watoto wanayapata wapi.
 
Mkuu sisi ni wataalamu wa saikolojia za binadamu so stop lying.
 
Mkuu nime kujibu lengo lilikua kufanya awareness ila kupinga uzinifu, kweli wewe unasapoti mtu azini kwa miaka 8 na bint wa mtu?
Lengo lilikua kukashifu ili moyo wako usikie raahaaa.Lakini kumbúka hizi díini zimeletwa na wakóloni wa kiarabu na kizungu.Kama mwafrika jitambue
 
Lengo lilikua kukashifu ili moyo wako usikie raahaaa.Lakini kumbúka hizi díini zimeletwa na wakóloni wa kiarabu na kizungu.Kama mwafrika jitambue
Hoja dhaifu hii, kumbuka kuna mkoloni aliekua ananyanyasa na yule ambae lengo lake ni kusambaza dini ni watu wawili tofauti.

au hujui kwamba ukristo na uislam jmefika hata ethiopia ambako hawakuwahi kutawaliwa? uingereza na ujerumani je?
 
Hoja dhaifu hii, kumbuka kuna mkoloni aliekua ananyanyasa na yule ambae lengo lake ni kusambaza dini ni watu wawili tofauti.

au hujui kwamba ukristo na uislam jmefika hata ethiopia ambako hawakuwahi kutawaliwa?
Mkuu kwahiyo mkoloni mwarabu alikua hanyanyasi??????? Alikua anasambaza dini tu hapa kwetu afrika mashariki??? Au ndio brain wash ya wakoloni ilivyokufunza mkuu????
 
Uliyajuaje hayo kama si umbea mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…