Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
Katiba mpya ni lazima, atake asitake.Atabana ataachia tu. Tuendelee kumtekenya.
Siungi mkono katiba mpya maana inataka kutumiwa kama kichaka na viongozi wa upinzani wakiongozwa na chadema ili kupiga hela kupitia vikao vya katiba. Lakini zanzibar tayari imeshatawaliwa na wabara wawili baba na mtoto. Mzee Ali Hassan Mwinyi na mh Hussein Ali Mwinyi.Wazazibar tena wanabahati Sana,washukuru hata kwa hii katiba,mzazibar anakuja kutawala wabara wala hakuna chokochoko,ila wa bara akienda kutawala huko hapo hapakaliki
Macho kwani we Mkenya?Naona vuguvugu linazidi kupamba moto! Sisi yetu macho...
Halafu akilinda maslahi ya Zanzibar atalaumiwa kama JPM kwa "ukanda/ukabila.""Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
Siyo,huyu katibu wa BAWACHAHivi huyu si covid19?
Anafanya nini huko?
Yule mbunge alifiwa na mchepuko juzi anaitwa naniSiyo,huyu katibu wa BAWACHA
Hili dai sizani kama linatakiwa kusemwa na kiongozi wa chama."Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
ukisema anapendwa na watanzania unakoseaHalafu akilinda maslahi ya Zanzibar atalaumiwa kama JPM kwa "ukanda/ukabila."
Dear Chadema, jitahidini kufahamu vipaumbele vya Watanzania kisha muwe kipazasauti cha vipaumbele hivyo. Kadhalika, jibidiisheni kusoma upepo wa kisiasa ulivyo. Mama Samia anapendwa na Watanzania, pengine kutokana na kuwa Rais wa kwanza mwanamke. Lakini pia anaongea lugha ya kistaarabu. Sasa mkicheza ovyo karata zenu, mtaishia kuonekana mnam-bully.
Mwisho, mjibidiishe kuwa proactive. Anzisheni mijadala itakayowafanya Watanzania wafanye tafakuri badala ya sasa ambapo mnaendeshwa kwa matukio. Mnasubiri Mama Samia atamke hili au lile mpate cha kuongea.
Povu ruksa 😊
... anaupiga mwingi...Atabana ataachia tu. Tuendelee kumtekenya.