AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Aloo! We unamtekenya Raisi?Atabana ataachia tu. Tuendelee kumtekenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aloo! We unamtekenya Raisi?Atabana ataachia tu. Tuendelee kumtekenya.
Katiba mpya KWANZA.Halafu akilinda maslahi ya Zanzibar atalaumiwa kama JPM kwa "ukanda/ukabila."
Dear Chadema, jitahidini kufahamu vipaumbele vya Watanzania kisha muwe kipazasauti cha vipaumbele hivyo. Kadhalika, jibidiisheni kusoma upepo wa kisiasa ulivyo. Mama Samia anapendwa na Watanzania, pengine kutokana na kuwa Rais wa kwanza mwanamke. Lakini pia anaongea lugha ya kistaarabu. Sasa mkicheza ovyo karata zenu, mtaishia kuonekana mnam-bully.
Mwisho, mjibidiishe kuwa proactive. Anzisheni mijadala itakayowafanya Watanzania wafanye tafakuri badala ya sasa ambapo mnaendeshwa kwa matukio. Mnasubiri Mama Samia atamke hili au lile mpate cha kuongea.
Povu ruksa 😊
Pole ndugu,Muungano ni kama NDOA YA WAZAZI WAKO iliyofungwa kabla ya wewe kuzaliwa.....
Hauhojiki KUPITILIZA....
Hauvunjwi......
Hauvunjiki......
Hapa "UAMSHO" wanaweza kutupa funzo kubwa......
#KaziIendelee
Amani ipo....Pole ndugu,
Sijui ni nani aliyekulisha porojo hizo.
Kilichokuja kwa 'maridhiano' chaweza pia kuhojiwa, kuboreshwa na pale itakaposhindikana, hata kufikiria kuvunjwa ili kuleta amani.
Waambie wanyamaze sana sana wamwambie ahakikishe anaiendelea sana zanzibar kwa Tanganyika kulipa gharama. katiba mpya haitaruhusu mzanzibar kutawala bara."Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
Huyo si Covid 19. Huyo kwa sasa ndiye mwenyekiti wa BAWACHAHivi huyu si covid19?
Anafanya nini huko?
Hakika kabisa.Ni vyema Wazanzibar wakaonesha msimamo wao mapema wakati huu Rais wa Tanzania akiwa ni Mzanzibari mwenzao. Badala ya kulilia usawa usio na tija kivile, wangeipambania Katiba Mpya inayotambua uwepo wa Serikali Tatu.
Kinyume na hapo, kero za Muungano hazitokuja kuisha kamwe.
Catherine Magige [emoji23][emoji23][emoji23]Yule mbunge alifiwa na mchepuko juzi anaitwa nani
Sio huyu jaman, mnafananisha lol [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mbunge anataka kutwambia kuwa katiba mpya itamzuia kuvamia harusi & misiba kama alivyofanya juzi
kwa kweli asitujuisheAnampenda yeye na familia yake