Umekosea kabisa kufananisha vitu hivyo viwili. Kwanza ndoa kuna nyingi; kipagani, kikristu, kiislamu, kitamaduni, kiserikalu na madhehebu mengine.
Watanzania siyo watoto wa ndoa bali Muungano ni mtoto wa Zanzibar na Tanganyika. Wazazi wanaweza kummhoji mtoto
Ndoa za dini zote zinafanana....
Misingi yake mikuu ni ileile...wawepo wana ndoa ,mashahidi na mkataba wenyewe(makubaliano).....
Niliposemea kuwa hatuwezi kuhoji ndoa za wazazi wetu Nina maana ifuatayo:
Hwenda wazazi walifunga ndoa kimila ama kiserikali ,mtoto aliyepatikana leo amekuwa mkubwa na mwanadini mzuri....anataka kufunga ndoa msikitini ama kanisani.....je ana uhalali wowote wa kuhoji ndoa ya wazazi wake?!!! anataka nini?!!
MUUNGANO ulivyoundwa iwe una makosa ana sahihi ni kuwa sote tumezaliwa miaka mingi baada ya 1964......
Rejea yetu ni miungano ya nchi tofauti.....mingi wala WANANCHI HAWAKUSHIRIKISHWA?!!!
Mingi ilikuwa ni miungano iliyoshinikizwa KIHISTORIA NA KIULINZI....na mingine KIVITA(kwa pande kushinda ama kushindwa)....leo bado ipo....mathalani GREAT BRITAIN na US......
Kwa mfano US ,wananchi hawaruhusiwi kuuvunja MUUNGANO wao.....state(nchi) inayotaka KUJITENGA basi katiba inasema ITASHUGHULIKIWA KUSHURUTISHWA KIJESHI kubaki katika MUUNGANO HUO.....
*********************
MUUNGANO wetu ni wa KIHISTORIA ...baina ya watu wa BARA NA VISIWANI....haohao wabara ndio waliokwenda huko visiwani miaka mingi nyuma....ukitoa baadhi yao kutoka nje ya TANGANYIKA(Malawi,Msumbiji ,Comoro ,Kenya ,Kongo na Burundi).
Kuuhoji muungano na kutaka uparanganyike ni UMIMI TU WA KISIASA AMA KIKABILA(TAMADUNI)....
Kuuhoji muungano uvunjike ni kusahau MAZURI YAKE na kushikilia mapungufu tu ...ni kujitia katika "nakama" na "msambweni tu"!!!!
#NdimiMfiaMuungano
#NdimiMbara
#KaziIendelee